Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanachama Simba kukamilisha akidi kesho

WENYEVITI wa matawi ya klabu ya Simba nchini wanatarajia kukutana kesho Jumamosi kukamilisha akidi ya wanachama kwa ajili ya kufanya Mkutano Mkuu wa Dharura, kama katiba ya klabu yao inavyosema....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wanachama Simba watwangana

>Pepo mbaya amezidi kuiandama Simba baada ya wanachama wanaodhaniwa kuwa wa klabu hiyo wanaotoka katika Matawi ya Mpira Pesa na Mpira Maendeleo kutwangana ngumi hadharani.

 

11 years ago

Mwananchi

Wanachama Simba chali

>Harakati za wanachama wa  Simba kuzuia uchaguzi wa klabu hiyo unaotarajiwa kufanyika kesho zimegonga mwamba baada ya Mahakama Kuu kutupilia mbali maombi yao.

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU MWENYEKITI UVCCM MBONI MHITA KUKUTANA NA WANACHAMA WA CCM KESHO JUMAMOSI DMV


Katibu mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi Tawi La Washington DC Virginia na Maryland Bi Salima Moshi akiwa na  Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa Mjumbe wa NEC CCM Taifa Chairperson for young Leader in Africa Mh Mboni Mhita siku ya Jumapili Novemba 9, 2014 walipokutana jijini Washington, DC kwa mazungumuzo, Mh Mboni Mhita atakutana na Wanachama Wa Chama Cha Mapinduzi siku ya JumamosiNov 15 saa 11jioni address 1801 saint george way Bowie 20721 tunaomba wote kuhudhuria
Mh Paul Makonda Katibu Hamasa na...

 

9 years ago

Mtanzania

Wanachama Simba wamtaka Kopunovic

kopunovicNA BARAKA JAMALI, MTWARA

WANACHAMA wa klabu ya Simba Mtwara, wameuomba uongozi wa timu hiyo umrudishe kocha wao wa zamani, Goran Kopunovic, ili kuweza kuirejesha heshima ya timu hiyo ya kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Wakizungumza na MTANZANIA kwa nyakati tofauti jana, wanachama hao walisema kuwa uongozi wa timu hiyo umekuwa ukibadili makocha kila mwaka jambo ambalo limewasababishia kufanya vibaya katika mashindano mbalimbali wanayoshiriki, pia kumfukuza kocha mzuri...

 

11 years ago

GPL

Wanachama Simba wampa masharti Rage

Mwenyekiti wA Simba, Ismail Aden Rage. Said Ally na Omary Mdose
KATIKA kuelekea kwenye mkutano mkuu wa Simba unaotarajiwa kufanyika keshokutwa Jumapili kwenye Bwalo la Polisi, Oysterbay, baadhi ya wanachama wa klabu hiyo wamempa masharti mwenyekiti wao, Ismail Aden Rage, kuhusu agenda ya mkutano huo. Simba inatarajiwa kufanya mkutano wao ambao una ajenda moja ya kubadilisha katiba yao ambayo imepangwa na uongozi mkuu ukiongozwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanachama Simba SC waaswa kutorejea kosa

WANACHAMA wa klabu ya Simba wametakiwa kufanya uamuzi sahihi katika uchaguzi mkuu wa viongozi unaotarajia kufanyika jijini Dar es Salaam Mei 4. Simba inatarajiwa kufanya uchaguzi huo baada ya uongozi...

 

10 years ago

GPL

WANACHAMA 7 WA SIMBA SC WAFARIKI KWA AJALI

Majeruhi wa ajali hiyo wakiokolewa. Gari lilivyopata ajali. Wanachama Saba (7) wa Klabu ya Simba ya Dar es salaam kutoka tawi la Mpira na Maendeleo (maarufu kama Simba UKAWA) ambalo limewahi kutangazwa kufutwa wamefariki dunia katika ajali ya basi jana Aprili 3, mkoani Morogoro. Akizungumza mmoja kati ya mashabiki hao Frank Ngowi amesema ajali hiyo iliyotokea eneo la Mkundi nje kidogo ya manispaa ya Morogoro imetokana na gari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani