Wanachama Simba wampa masharti Rage
Mwenyekiti wA Simba, Ismail Aden Rage. Said Ally na Omary Mdose KATIKA kuelekea kwenye mkutano mkuu wa Simba unaotarajiwa kufanyika keshokutwa Jumapili kwenye Bwalo la Polisi, Oysterbay, baadhi ya wanachama wa klabu hiyo wamempa masharti mwenyekiti wao, Ismail Aden Rage, kuhusu agenda ya mkutano huo. Simba inatarajiwa kufanya mkutano wao ambao una ajenda moja ya kubadilisha katiba yao ambayo imepangwa na uongozi mkuu ukiongozwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania13 Aug
Ukawa wampa masharti Kikwete
![Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/ukawa-viongozi.jpg)
Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), umetoa masharti manne kwa Rais Jakaya Kikwete, ikiwamo kumtaka asitishe shughuli za Bunge Maalumu la Katiba.
Mbali na hatua hiyo, pia wamemtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kufanya ukaguzi maalumu juu ya matumizi ya fedha za Bunge hilo, kuanzia Bunge la Bajeti lililopita wakidai wamebaini kuwapo ufisadi na kukosekana...
11 years ago
Tanzania Daima22 May
Rage awaonya wanachama
MWENYEKITI wa Simba anayemaliza muda wake, Ismail Aden Rage, amewaonya wanachama kuwa makini kuelekea uchaguzi mkuu, kwani kitendo cha kupandikiza maneno kwa Mgombea wa Urais Michael Wambura kitaharibu mchakato mzima...
11 years ago
Mwananchi27 Dec
Rage alalama Simba
11 years ago
Tanzania Daima25 Feb
Ushindi wa Simba SC wampa kiburi Minziro
KOCHA Mkuu wa timu ya JKT Ruvu, Feed Felix ‘Mniziro’, amezinanga timu za Simba na Yanga zinazoendekeza makocha wa Kizungu na kuachana na wazawa licha ya kuwa na uwezo na...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
Rage akabidhi ofisi Simba
HATIMAYE aliyekuwa Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage, jana alikabidhi rasmi ofisi Makao Makuu ya klabu hiyo kwa Rais Evans Aveva na kamati yake ya utendaji, ikiwamo mikataba mbalimbali iliyosaini...
11 years ago
Tanzania Daima13 Dec
Simba wamwendea Rage bungeni
HARAKATI za kumwondoa madarakani Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage ‘Tutuvengere’, zimezidi kushika kasi baada ya wanachama kuamua kufunga safari kutoka jijini Dar es Salaam hadi mjini Dodoma...