Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukawa wampa masharti Kikwete

Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).

Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).

NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), umetoa masharti manne kwa Rais Jakaya Kikwete, ikiwamo kumtaka asitishe shughuli za Bunge Maalumu la Katiba.

Mbali na hatua hiyo, pia wamemtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kufanya ukaguzi maalumu juu ya matumizi ya fedha za Bunge hilo, kuanzia Bunge la Bajeti lililopita wakidai wamebaini kuwapo ufisadi na kukosekana...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Wanachama Simba wampa masharti Rage

Mwenyekiti wA Simba, Ismail Aden Rage. Said Ally na Omary Mdose
KATIKA kuelekea kwenye mkutano mkuu wa Simba unaotarajiwa kufanyika keshokutwa Jumapili kwenye Bwalo la Polisi, Oysterbay, baadhi ya wanachama wa klabu hiyo wamempa masharti mwenyekiti wao, Ismail Aden Rage, kuhusu agenda ya mkutano huo. Simba inatarajiwa kufanya mkutano wao ambao una ajenda moja ya kubadilisha katiba yao ambayo imepangwa na uongozi mkuu ukiongozwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Serikali zimeanza kulegeza masharti ya kukabiliana maambukizi, Je kulegeza masharti ni hatari kiasi gani?

Nchini Uingereza watu wameanza kurejelelea shughuli zao za kawaida, watu kukutana, baadhi ya watoto wanarejea shuleni, maeneo ya maonyesho ya magari yanafunguliwa, na masoko kufunguliwa tena.

 

11 years ago

Tanzania Daima

UKAWA wamjibu Kikwete

SIKU moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kuwataka wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) warudi bungeni akidai hawana sababu ya kwenda kushitaki kwa wananchi kwa sababu watawacheka na...

 

10 years ago

Habarileo

Ukawa kukutana na Kikwete

Mwenyekiti wa TCD ambaye pia ni Mwenyekiti wa UDP, John Cheyo

VYAMA vyote vya siasa nchini vikiwemo vinavyounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vitakutana na Rais Jakaya Kikwete kabla ya mwisho wa wiki hii, kujadiliana na kushauriana juu ya maendeleo ya mchakato wa Katiba mpya.

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa wamgomea Kikwete

Viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), jana waligoma mbele ya Rais Jakaya Kikwete kuruhusu wajumbe wao kurejea katika Bunge Maalumu la Katiba, walipokutana katika kikao cha kusaka suluhu ya mkwamo wa mchakato wa Katiba.

 

10 years ago

Mtanzania

Kikwete awaita Ukawa Ikulu

Rais Jakaya Kikwete

Rais Jakaya Kikwete

NA WAANDISHI WETU, MOROGORO NA DODOMA

RAIS Jakaya Kikwete amesema yupo tayari kukutana na viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), ili kunusuru mchakato wa Katiba mpya.

Kauli hiyo ya Rais Kikwete imekuja siku chache baada ya baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani kupinga hatua ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumtuma Katibu Mkuu wake, Abdulrahman Kinana, kusaka suluhu na viongozi wa Ukawa.

Akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe mjini Morogoro juzi, mara...

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete- Ukawa wanapotosha, warudi

RAIS Jakaya Kikwete amewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), warudi katika Bunge hilo, watumie mifumo maalumu waliyojiwekea na kanuni walizojitungia wenyewe, kutafuta maridhiano.

 

10 years ago

Tanzania Daima

UKAWA fanyieni kazi kauli ya Kikwete

OKTOBA 8, mwaka huu wakati akipokea katiba inayopendekezwa , Rais Jakaya Kikwete katika hotuba yake amewapa kazi viongozi wa vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Wananchi (UKAWA). Akiwahutubia wananchi waliofika...

 

10 years ago

Raia Mwema

Kikwete amelijenga Bunge, Ukawa wasimsusie

BUNGE la 10 la Tanzania linatarajiwa kuvunjwa rasmi wiki hii na Rais Jakaya Kikwete katika tukio

Ezekiel Kamwaga

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani