Ukawa wamgomea Kikwete
Viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), jana waligoma mbele ya Rais Jakaya Kikwete kuruhusu wajumbe wao kurejea katika Bunge Maalumu la Katiba, walipokutana katika kikao cha kusaka suluhu ya mkwamo wa mchakato wa Katiba.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mtanzania27 Jul
Ukawa wamgomea Samuel Sitta
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
WAJUMBE wa Kamati ya Mashauriano ya Bunge Maalumu la Katiba wamekutana jana kwa ajili ya kujadili hatima ya Bunge hilo linalotarajiwa kukutana Agosti 5, mwaka huu.
Kamati hiyo imekutana bila ya kuwepo kwa wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ambao pia ni wajumbe wa kamati hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa kikao hicho,...
9 years ago
Mwananchi12 Dec
Madiwani wamgomea DC
11 years ago
GPLHenry, Berko wamgomea Logarusic
11 years ago
Tanzania Daima29 Jul
Madiwani Kalambo wamgomea mkurugenzi
MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Philibert Ngaponda, amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya madiwani kugoma kuendelea na kikao cha Baraza la Madiwani kutokana na kile...
11 years ago
Mwananchi21 Dec
Wabunge wa CCM wamgomea Waziri Mkuu Pinda
11 years ago
Tanzania Daima27 Apr
UKAWA wamjibu Kikwete
SIKU moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kuwataka wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) warudi bungeni akidai hawana sababu ya kwenda kushitaki kwa wananchi kwa sababu watawacheka na...
10 years ago
Habarileo27 Aug
Ukawa kukutana na Kikwete
VYAMA vyote vya siasa nchini vikiwemo vinavyounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vitakutana na Rais Jakaya Kikwete kabla ya mwisho wa wiki hii, kujadiliana na kushauriana juu ya maendeleo ya mchakato wa Katiba mpya.
11 years ago
Habarileo01 Aug
Kikwete- Ukawa wanapotosha, warudi
RAIS Jakaya Kikwete amewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), warudi katika Bunge hilo, watumie mifumo maalumu waliyojiwekea na kanuni walizojitungia wenyewe, kutafuta maridhiano.
10 years ago
Mtanzania27 Aug
Kikwete awaita Ukawa Ikulu
Rais Jakaya Kikwete
NA WAANDISHI WETU, MOROGORO NA DODOMA
RAIS Jakaya Kikwete amesema yupo tayari kukutana na viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), ili kunusuru mchakato wa Katiba mpya.
Kauli hiyo ya Rais Kikwete imekuja siku chache baada ya baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani kupinga hatua ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumtuma Katibu Mkuu wake, Abdulrahman Kinana, kusaka suluhu na viongozi wa Ukawa.
Akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe mjini Morogoro juzi, mara...