UKAWA wamjibu Kikwete
SIKU moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kuwataka wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) warudi bungeni akidai hawana sababu ya kwenda kushitaki kwa wananchi kwa sababu watawacheka na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi02 Sep
Ukawa wamjibu Slaa, wasema tuhuma alizotoa zinalipasua taifa
10 years ago
Mwananchi01 Apr
Maaskofu wamjibu Rais Kikwete
11 years ago
Dewji Blog08 Jul
UVCCM Mbeya wamjibu Makonda
Katibu wa siasa na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoa wa Mbeya, Bashiru Madodi.
Na Mwandishi wetu
Katibu wa siasa na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), mkoa wa Mbeya, Bashiru Madodi, amesema kuwa tatizo kubwa la baadhi ya vijana wa chama hicho(UVCCM), wanatumika vibaya na wagombea na kukisemea chama bila utaratibu.
Madodi alisema hayo katika ukumbi wa CCM mkoa wa Mbeya, wakati wa Baraza kuu la UVCCM Mkoani hapa, ambalo lilifanyika kwa mujibu wa kanuni za umoja huo kwa ajili ya...
9 years ago
Mwananchi05 Oct
UVCCM wamjibu Kingunge, wasema kakosa uungwana
10 years ago
Habarileo27 Aug
Ukawa kukutana na Kikwete
VYAMA vyote vya siasa nchini vikiwemo vinavyounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vitakutana na Rais Jakaya Kikwete kabla ya mwisho wa wiki hii, kujadiliana na kushauriana juu ya maendeleo ya mchakato wa Katiba mpya.
10 years ago
Mwananchi01 Sep
Ukawa wamgomea Kikwete
10 years ago
Mtanzania27 Aug
Kikwete awaita Ukawa Ikulu
![Rais Jakaya Kikwete](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Jakaya-Kikwete1.jpg)
Rais Jakaya Kikwete
NA WAANDISHI WETU, MOROGORO NA DODOMA
RAIS Jakaya Kikwete amesema yupo tayari kukutana na viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), ili kunusuru mchakato wa Katiba mpya.
Kauli hiyo ya Rais Kikwete imekuja siku chache baada ya baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani kupinga hatua ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumtuma Katibu Mkuu wake, Abdulrahman Kinana, kusaka suluhu na viongozi wa Ukawa.
Akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe mjini Morogoro juzi, mara...
11 years ago
Mtanzania13 Aug
Ukawa wampa masharti Kikwete
![Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/ukawa-viongozi.jpg)
Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), umetoa masharti manne kwa Rais Jakaya Kikwete, ikiwamo kumtaka asitishe shughuli za Bunge Maalumu la Katiba.
Mbali na hatua hiyo, pia wamemtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kufanya ukaguzi maalumu juu ya matumizi ya fedha za Bunge hilo, kuanzia Bunge la Bajeti lililopita wakidai wamebaini kuwapo ufisadi na kukosekana...
11 years ago
Habarileo01 Aug
Kikwete- Ukawa wanapotosha, warudi
RAIS Jakaya Kikwete amewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), warudi katika Bunge hilo, watumie mifumo maalumu waliyojiwekea na kanuni walizojitungia wenyewe, kutafuta maridhiano.