Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UVCCM Mbeya wamjibu Makonda

IMG_2163

Katibu wa siasa na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoa wa Mbeya, Bashiru  Madodi.

Na Mwandishi wetu

Katibu wa siasa na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), mkoa wa Mbeya, Bashiru  Madodi, amesema kuwa tatizo kubwa la baadhi ya vijana wa chama hicho(UVCCM), wanatumika vibaya na wagombea na kukisemea chama bila utaratibu.

Madodi alisema hayo katika ukumbi wa CCM mkoa wa Mbeya, wakati wa Baraza kuu la UVCCM Mkoani hapa, ambalo lilifanyika kwa mujibu wa kanuni za umoja huo kwa ajili ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

UVCCM wamjibu Kingunge, wasema kakosa uungwana

Jumuiya ya Umoja wa Vijana ya CCM (UVCCM) imesema uamuzi wa aliyekuwa kada wa chama hicho, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru kukihama chama hicho ni ukosefu wa uungwana  katika dhana ya siasa pamoja na uimla usiokubalika katika siasa za kileo.

 

5 years ago

Michuzi

Makonda, UVCCM watamba ushindi wa JPM

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataka Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kukilinda chama hicho na kuyaeleza maendeleo yaliyofanywa na Rais Dk. John Maguguli katika kipindi cha miaka mitano.

Makonda alitoa kauli hiyo wakati wa kikao na Umoja wa Vijana wa chama hicho (UVCCM), Mkoa wa Dar es salaam ambapo amesema yapo maendeleo makubwa yaliyofanywa na Serikali ya awamu ya tano na kama wasipoyazungumzia watatoa mwanya kwa watu wasiolitakia mema taifa kupenyeza uongo.

“Yapo mambo...

 

11 years ago

GPL

PAUL MAKONDA WA UVCCM ATEMBELEA GLOBAL

Luqman Maloto mmoja wa wahariri wa Global akimkaribisha Bw. Makonda. Bw. Makonda akifafanua jambo mbele ya wanahabari wa Global (hawapo pichani).…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Makonda awatia ganzi viongozi UVCCM

HATIMA ya Paul Makonda kuhusu kauli aliyoitoa dhidi ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa, itajulikana baada ya kumalizika kwa maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi...

 

11 years ago

GPL

MAKONDA ASIMIKA MAKAMANDA 16 WA UVCCM MKOA WA SINGIDA

Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi wa Jumuiya ya (UVCCM) ambae pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Ndugu Paul Makonda. -ATAO WITO KILA MKOA UJITAMBULISHE KWA ZAO LAKE
-AWANANGA CHADEMA KUWA WAASISI WA SIASA ZA UKANJANJA
-AMPONGEZA TUNDU LISU KWA KUWA KIONGOZI MJANJA
-AKABIDHI KADI 50 KWA VIJANA WALIOJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) NA KUVUNA   WANACHAMA WENGINE KUTOKA CHADEMA Katibu wa Idara ya...

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA AWATAKA UVCCM KUSIMAMA KIDETE KUKIPIGANIA CHAMA CHA MAPINDUZI.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amewataka Vijana wa Chama cha Mapinduzi kukilinda Chama hicho na kuwa mabalozi wazuri wa kuyaeleza maendeleo yaliyofanywa na Rais Dkt. John Maguguli katika kipindi cha Miaka Mitano.

RC Makonda ametoa kauli hiyo wakati wa Kikao na Vijana wa UVCCM Mkoa wa Dar es salaam ambapo amesema yapo Maendeleo Makubwa yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano na kama wasipoyazungumzia watatoa mwanya kwa watu wasiolitakia mema Taifa kupenyeza Wongo.

Aidha RC...

 

11 years ago

Tanzania Daima

UVCCM Mbeya wadai Nyerere alimkataa Malecelea

MAKAMU Mwenyekiti mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Malecela ametakiwa kukumbuka namna alivyokataliwa na hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere mwaka 1995 kutojihusisha na mapendekezo ya mgombea wa...

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA ATANGAZA DAWA KWA WAKANDARASI WANAOKIUKA TARATIBU ZA MIKATABA * RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo Na Leandra Gabriel, Michuzi TV MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya w

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari juu ya  kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao watapitia mikataba yote ya miradi mbalimbali iliyosainiwa mkoa wa Dar es salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa globu ya jamii)
* RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao...

 

11 years ago

Tanzania Daima

UKAWA wamjibu Kikwete

SIKU moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kuwataka wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) warudi bungeni akidai hawana sababu ya kwenda kushitaki kwa wananchi kwa sababu watawacheka na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani