Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKONDA ASIMIKA MAKAMANDA 16 WA UVCCM MKOA WA SINGIDA

Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi wa Jumuiya ya (UVCCM) ambae pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Ndugu Paul Makonda. -ATAO WITO KILA MKOA UJITAMBULISHE KWA ZAO LAKE
-AWANANGA CHADEMA KUWA WAASISI WA SIASA ZA UKANJANJA
-AMPONGEZA TUNDU LISU KWA KUWA KIONGOZI MJANJA
-AKABIDHI KADI 50 KWA VIJANA WALIOJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) NA KUVUNA   WANACHAMA WENGINE KUTOKA CHADEMA Katibu wa Idara ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

MTATURU ACHANGIA UJENZI WA NYUMBA YA KATIBU UVCCM MKOA WA SINGIDA

 MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu (kushoto) akikabidhi mifuko ya saruji msaada kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa Jengo la Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Singida. MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturuakizungumza na baadhi ya viongozi wa CCM , alipokuwa akikagua ujenzi wa jengo hilo la Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Singida.


Na Sakina abdulmasoud MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu amekabidhi mifuko 30 ya saruji ikiwa ni namna ya kuunga mkono ujenzi wa nyumba ya Katibu wa...

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE KINGU ATOA MSAADA WA MABATI 60 UJENZI WA NYUMBA YA KATIBU WA UVCCM MKOA WA SINGIDA


 Mbunge  wa  Singida Magharibi,  Elibariki Kingu (wa tatu kushoto) akikabidhi moja ya bati kati ya 60 yenye thamani ya shilingi 1,300,000 ili kusaidia kupaua nyumba ya Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Singida katika hafla iliyofanyika juzi Viwanja vya Ofisi ya  Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida. Kutoka kushoto ni Katibu wa CCM Mkoa wa Singida, Alexandrina Katabi, Mwenyekiti wa CCM, Mkoa huo, Alhaji Juma Kilimba, Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Singida,...

 

10 years ago

Mwananchi

UVCCM inavyomezwa na makamanda wafanyabiashara

Wakati alipoingia madarakani, Rais Jakaya Kikwete alieleza mara kwa mara dhamira yake ya kutenganisha biashara na siasa na kwamba angeunda sheria ya kuzuia jambo hilo, lakini hali inaonekana kuwa tofauti ndani ya chama chake cha CCM, ambacho wafanyabiashara wanazidi kufurika kwa mgongo wa makamanda wa vijana.

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA ATANGAZA DAWA KWA WAKANDARASI WANAOKIUKA TARATIBU ZA MIKATABA * RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo Na Leandra Gabriel, Michuzi TV MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya w

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari juu ya  kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao watapitia mikataba yote ya miradi mbalimbali iliyosainiwa mkoa wa Dar es salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa globu ya jamii)
* RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao...

 

10 years ago

Michuzi

BARAZA LA VIJANA UVCCM MKOANI ARUSHA WALAKUTANA KUMJADILI NAIBU KATIBU UVCCM MKOA HUO

???????????????????????????????
Mwenyekiti UVCCM mkoa wa Arusha Robinson Meitinyiku akitoa taarifa ya ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya taarifa za upotoshaji zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari na baadhi ya viongozi wa UVCCM mkoani hapa. Ambao Mkutano huo ulitanguliwa na Kikao cha Baraza la UVCCM Mkoa wa Arusha waliaofikiana kutoa maamuzi juu ya mgogoro wao na Kaimu Katibu wa UVCCM Mkoa wa Arusha Gerald Mwadalu anayetuhumiwa kufunga ofisi na matumizi mabaya ya fedha za umoja huo.

???????????????????????????????
Katibu wa UVCCM wilaya ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

UVCCM Mbeya wamjibu Makonda

IMG_2163

Katibu wa siasa na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoa wa Mbeya, Bashiru  Madodi.

Na Mwandishi wetu

Katibu wa siasa na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), mkoa wa Mbeya, Bashiru  Madodi, amesema kuwa tatizo kubwa la baadhi ya vijana wa chama hicho(UVCCM), wanatumika vibaya na wagombea na kukisemea chama bila utaratibu.

Madodi alisema hayo katika ukumbi wa CCM mkoa wa Mbeya, wakati wa Baraza kuu la UVCCM Mkoani hapa, ambalo lilifanyika kwa mujibu wa kanuni za umoja huo kwa ajili ya...

 

9 years ago

Michuzi

UVCCM MKOA WA KIGOMA WAFANYA USAFI HOSPITALI YA MKOA NA KUWAFARIJI WAGONJWA.

 Baadhi ya wanachama wa UVCCM Mkoa wa Kigoma wakifanya usafi katika hospital ya mkoa wa kigoma.

Mbunge wa viti maalum kupitia umoja wa vijana Zainabu Katibu akiwafariji watoto waliolazwa katika hospitali ya Mkoa wa Kigoma

Na Editha Karlo wa blog ya jamii, KigomaUmoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kigoma(UVCCM) wamefanya usafi katika hospitali ya Mkoa wa Kigoma (Maweni) sambamba na kuwafariji wagonjwa waliolazwa katika wodi mbalimbali hospitalini hapo.
Akiongea na waandishi wa habari...

 

5 years ago

Michuzi

Makonda, UVCCM watamba ushindi wa JPM

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataka Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kukilinda chama hicho na kuyaeleza maendeleo yaliyofanywa na Rais Dk. John Maguguli katika kipindi cha miaka mitano.

Makonda alitoa kauli hiyo wakati wa kikao na Umoja wa Vijana wa chama hicho (UVCCM), Mkoa wa Dar es salaam ambapo amesema yapo maendeleo makubwa yaliyofanywa na Serikali ya awamu ya tano na kama wasipoyazungumzia watatoa mwanya kwa watu wasiolitakia mema taifa kupenyeza uongo.

“Yapo mambo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Makonda awatia ganzi viongozi UVCCM

HATIMA ya Paul Makonda kuhusu kauli aliyoitoa dhidi ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa, itajulikana baada ya kumalizika kwa maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani