UVCCM wamjibu Kingunge, wasema kakosa uungwana
Jumuiya ya Umoja wa Vijana ya CCM (UVCCM) imesema uamuzi wa aliyekuwa kada wa chama hicho, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru kukihama chama hicho ni ukosefu wa uungwana katika dhana ya siasa pamoja na uimla usiokubalika katika siasa za kileo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi02 Sep
Ukawa wamjibu Slaa, wasema tuhuma alizotoa zinalipasua taifa
11 years ago
Dewji Blog08 Jul
UVCCM Mbeya wamjibu Makonda
Katibu wa siasa na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoa wa Mbeya, Bashiru Madodi.
Na Mwandishi wetu
Katibu wa siasa na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), mkoa wa Mbeya, Bashiru Madodi, amesema kuwa tatizo kubwa la baadhi ya vijana wa chama hicho(UVCCM), wanatumika vibaya na wagombea na kukisemea chama bila utaratibu.
Madodi alisema hayo katika ukumbi wa CCM mkoa wa Mbeya, wakati wa Baraza kuu la UVCCM Mkoani hapa, ambalo lilifanyika kwa mujibu wa kanuni za umoja huo kwa ajili ya...
9 years ago
StarTV09 Oct
Wazee Chadema wasema Kuhama kwa Kingunge kusiwe sababu ya kumkebehi
Baraza la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA limekemea tabia ya kukebehi na kudhihaki kitendo alichokifanya kada mkongwe wa CCM Kingunge Ngombale Mwiru cha kukihama Chama hicho na kudai kuwa kila Mtanzania ana uhuru wa kujiamulia masuala yake binafsi.
Wamedai kuhama chama kusipokelewe kama dhambi bali ni ukomavu wa mtu katika demokrasia.
Katibu Mkuu wa Baraza la Wazee wa Chadema Rodriki Rutembeka anazungumza na waandishi kuhusu hali halisi inavyoendelea tangu Mzee Kingunge...
9 years ago
GPLUVCCM: TULITARAJIA UAMUZI WA KINGUNGE
10 years ago
Habarileo10 Nov
Kingunge kuendelea kuwa Kamanda UVCCM
BARAZA Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), limempitisha mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwilu kuendelea kuwa kamanda wa umoja huo.
9 years ago
Daily News17 Aug
Kingunge stripped of top UVCCM post
Daily News
VETERAN politician and CCM cadre Kingunge Ngombale-Mwiru has been removed from his post as national commander of the party's youth wing, UVCCM; it was announced in Dar es Salaam. During the youth wing's council meeting held in Dar es Salaam ...
9 years ago
MichuziUVCCM ZANZIBAR WAOMBA KUPATIWA MRITHI WA MZEE KINGUNGE KUNOGESHA USHINDI WAO
9 years ago
Dewji Blog17 Aug
Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Taifa (UVCCM) lampa ‘Mkono wa kwaheri’ Kingunge Ngombale Mwiru
Pichani ni picha ya Maktaba: Kingunge Ngombale Mwilu (kushoto) ambaye alikuwa Kamanda wa UVCCM Taifa mapema Agosti 16, amevuliwa nafasi hiyo na uongozi wa UVCCM Taifa kufuatia kikao chao kilichokaa jijini Dar es Salaam.
Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa CCM lililokutana tarehe 15.08.2015 katika ukumbi wa Julius Nyerere International convention centre, pamoja na mambo mengine liliazimia mambo yafutauo:-
1.Lilimvua Ukamanda Mkuu ndugu Kingunge Ngombale Mwiru. Maamuzi hayo yalitolewa kutokana...
11 years ago
Tanzania Daima01 Mar
Je, huu ni uungwana? — 8
MBUNGE wa viti maalumu katika Bunge letu kazusha mapya niseme kwa kumuoa kijana mdogo wa rika la mwanae. Makubwa haya, kweli mjini shule, ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni. Ndoa...