UVCCM: TULITARAJIA UAMUZI WA KINGUNGE
Aliyekuwa Kamanda Mkuu wa UVCCM, Kingunge Ngombale-Mwiru. Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), imesema haijashtushwa na uamuzi wa aliyekuwa Kamanda Mkuu wa jumuiya hiyo, Kingunge Ngombale-Mwiru, kuachana na CCM kwa kuwa tangu awali haukuridhishwa na mwenendo wake kisiasa.  UJumuiya hiyo imesema na ndiyo maana Kingunge alivuliwa wadhifa huo tangu Agosti 15, mwaka huu.  Hata hivyo, UVCCM imesema… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo10 Nov
Kingunge kuendelea kuwa Kamanda UVCCM
BARAZA Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), limempitisha mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwilu kuendelea kuwa kamanda wa umoja huo.
9 years ago
Daily News17 Aug
Kingunge stripped of top UVCCM post
Daily News
VETERAN politician and CCM cadre Kingunge Ngombale-Mwiru has been removed from his post as national commander of the party's youth wing, UVCCM; it was announced in Dar es Salaam. During the youth wing's council meeting held in Dar es Salaam ...
9 years ago
Mwananchi05 Oct
UVCCM wamjibu Kingunge, wasema kakosa uungwana
9 years ago
MichuziUVCCM ZANZIBAR WAOMBA KUPATIWA MRITHI WA MZEE KINGUNGE KUNOGESHA USHINDI WAO
9 years ago
Dewji Blog17 Aug
Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Taifa (UVCCM) lampa ‘Mkono wa kwaheri’ Kingunge Ngombale Mwiru
Pichani ni picha ya Maktaba: Kingunge Ngombale Mwilu (kushoto) ambaye alikuwa Kamanda wa UVCCM Taifa mapema Agosti 16, amevuliwa nafasi hiyo na uongozi wa UVCCM Taifa kufuatia kikao chao kilichokaa jijini Dar es Salaam.
Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa CCM lililokutana tarehe 15.08.2015 katika ukumbi wa Julius Nyerere International convention centre, pamoja na mambo mengine liliazimia mambo yafutauo:-
1.Lilimvua Ukamanda Mkuu ndugu Kingunge Ngombale Mwiru. Maamuzi hayo yalitolewa kutokana...
11 years ago
Mwananchi13 Apr
Tulitarajia haya kwenye Mchakato wa Katiba
10 years ago
Mwananchi17 Dec
Tulitarajia nini bila tume huru ya uchaguzi?
10 years ago
Michuzi21 Aug
BARAZA LA VIJANA UVCCM MKOANI ARUSHA WALAKUTANA KUMJADILI NAIBU KATIBU UVCCM MKOA HUO
![???????????????????????????????](http://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/08/ccm-4-robinson1.jpg?w=300&h=225)
Mwenyekiti UVCCM mkoa wa Arusha Robinson Meitinyiku akitoa taarifa ya ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya taarifa za upotoshaji zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari na baadhi ya viongozi wa UVCCM mkoani hapa. Ambao Mkutano huo ulitanguliwa na Kikao cha Baraza la UVCCM Mkoa wa Arusha waliaofikiana kutoa maamuzi juu ya mgogoro wao na Kaimu Katibu wa UVCCM Mkoa wa Arusha Gerald Mwadalu anayetuhumiwa kufunga ofisi na matumizi mabaya ya fedha za umoja huo.
![???????????????????????????????](http://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/08/ccm-6.jpg?w=300&h=225)
Katibu wa UVCCM wilaya ya...
11 years ago
Habarileo28 Apr
Kingunge: Sijabebwa
MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru, amewashangaa watu waliomtuhumu kuwa amebebwa na Rais Jakaya Kikwete kuwa mmoja wa Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba.