Kingunge: Sijabebwa
MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru, amewashangaa watu waliomtuhumu kuwa amebebwa na Rais Jakaya Kikwete kuwa mmoja wa Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi14 Jan
HONGERA KINGUNGE.
9 years ago
TheCitizen04 Oct
Kingunge quits CCM
10 years ago
Tanzania Daima12 Sep
Kingunge asuta viongozi
MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru, amewasuta viongozi wa Serikali akisema wameacha mfumo wa mapinduzi ya kimaendeleo aliyouanzisha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, hatua iliyoifanya Tanzania kuachwa na dunia na...
9 years ago
Habarileo12 Oct
Makamba ampasha Kingunge
KATIBU Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Yusuph Makamba amemshangaa Kingunge Ngombale-Mwiru kutamka kwamba chama hicho hakijafanya chochote wakati ndiye aliyeshiriki kuandika vitabu kadhaa vya mipango ya chama hicho.
9 years ago
Mtanzania09 Oct
Kingunge: Mabadiliko lazima
NA FREDY AZZAH, ARUSHA
MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, jana kwa mara ya kwanza alipanda jukwaani kumnadi mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa na kusema mabadiliko ni lazima.
Kingunge aliyasema hayo jijini Arusha kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya Shule ya Msingi Sinoni.
Kingunge alihutubia huku mvua ikinyesha, lakini wananchi waliokuwa eneo hilo hawakuondoka.
“Historia yangu, nimeshiriki katika kuleta mabadiliko na...
9 years ago
Raia Mwema07 Oct
Kingunge? Waseme wengine
UAMUZI wa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kingunge Ngombale Mwiru kujiondoa kwenye chama hicho
Waandishi Wetu
9 years ago
TheCitizen09 Oct
Kingunge joins campaign
11 years ago
Tanzania Daima26 Apr
Kingunge awalipua CCM
MWANASIASA mkongwe na Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Kingunge Ngombale – Mwiru, amesema makada wenzake wanaomshambulia aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, wanakitukana Chama...
11 years ago
Habarileo20 Mar
Serikali 3 zamkera Kingunge
MWANASIASA wa siku nyingi na muumini wa siasa ya ujamaa, Kingunge Ngombale-Mwiru, amesema Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Jaji Joseph Warioba imeangaliza zaidi kero za Muungano katika kudai Serikali tatu, hali ambayo inavunja Muungano.