Serikali 3 zamkera Kingunge
MWANASIASA wa siku nyingi na muumini wa siasa ya ujamaa, Kingunge Ngombale-Mwiru, amesema Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Jaji Joseph Warioba imeangaliza zaidi kero za Muungano katika kudai Serikali tatu, hali ambayo inavunja Muungano.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo15 Mar
Kero hospitali zamkera Pinda
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amezitaka hospitali nchini kuacha karaha ambazo huwafanya wagonjwa hasa wa figo kuondoka kabla ya kupatiwa matibabu. Alitoa kauli hiyo juzi mjini hapa wakati wa maadhimisho ya siku ya afya ya figo duniani iliyofanyika katika viwanja wa Mwalimu Nyerere.
11 years ago
Habarileo30 May
Taarifa za wahariri kununuliwa zamkera RC
SERIKALI imeelezea kusikitishwa kwake na kuwapo kwa taarifa za baadhi ya vyombo vya habari pamoja na wahariri wake kununuliwa.
10 years ago
Habarileo02 Oct
Semina, warsha zamkera Kinana
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amehoji katazo la semina, warsha na kongamano yasiyokuwa na tija kwa watumishi wa umma, kwamba halitekelezeki kama lilivyoagizwa na viongozi waandamizi wa taifa hili.
9 years ago
Mtanzania14 Dec
Nyasi U/Taifa zamkera Kerr
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, amesema wachezaji wake walicheza vizuri dhidi ya Azam FC juzi licha ya kukosa mabao mengi ya wazi yaliyowanyima ushindi na kudai kuwa timu hiyo ilitakiwa kufunga mabao manne kipindi cha kwanza.
Simba wanaoshika nafasi ya nne kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, juzi walilazimishwa sare ya 2-2 na vinara wa ligi hiyo Azam katika mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mwingereza huyo alisema jambo jingine...
11 years ago
Habarileo27 Mar
Lugha chafu Chalinze zamkera Lubuva
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema vipo baadhi ya vyama vya siasa vinavyotumia lugha za chuki na zisizokuwa na staha katika kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Chalinze, mkoani Pwani.
11 years ago
Habarileo23 Apr
Siasa chafu Arusha zamkera Kikwete
RAIS Jakaya Mrisho Kikwete ameelezea kukerwa na siasa chafu zinazofanyika Arusha ambazo zimeanza kuzorotesha uchumi wa mkoa huo na kutaka wananchi katika Wilaya ya Karatu wasiige mfano huo. Alisema hayo alipokuwa akizindua Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Karatu katika Mkoa wa Arusha, mjini Karatu jana.
11 years ago
Habarileo27 Jul
Kesi za ardhi mahakamani zamkera Prof. Tibaijuka
MLUNDIKANO wa kesi katika mahakama, mivutano ya ardhi baina ya viongozi na watendaji katika Halmashauri ya Manispaa ya Lindi mkoani hapa, vimesababisha kusimama na kuchelewesha kupimwa mji wa Lindi.
10 years ago
Mwananchi14 Jan
HONGERA KINGUNGE.
11 years ago
Habarileo28 Apr
Kingunge: Sijabebwa
MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru, amewashangaa watu waliomtuhumu kuwa amebebwa na Rais Jakaya Kikwete kuwa mmoja wa Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba.