Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Semina, warsha zamkera Kinana

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amehoji katazo la semina, warsha na kongamano yasiyokuwa na tija kwa watumishi wa umma, kwamba halitekelezeki kama lilivyoagizwa na viongozi waandamizi wa taifa hili.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Serikali 3 zamkera Kingunge

MWANASIASA wa siku nyingi na muumini wa siasa ya ujamaa, Kingunge Ngombale-Mwiru, amesema Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Jaji Joseph Warioba imeangaliza zaidi kero za Muungano katika kudai Serikali tatu, hali ambayo inavunja Muungano.

 

11 years ago

Habarileo

Taarifa za wahariri kununuliwa zamkera RC

SERIKALI imeelezea kusikitishwa kwake na kuwapo kwa taarifa za baadhi ya vyombo vya habari pamoja na wahariri wake kununuliwa.

 

9 years ago

Mtanzania

Nyasi U/Taifa zamkera Kerr

dylanker-haiphongNA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, amesema wachezaji wake walicheza vizuri dhidi ya Azam FC juzi licha ya kukosa mabao mengi ya wazi yaliyowanyima ushindi na kudai kuwa timu hiyo ilitakiwa kufunga mabao manne kipindi cha kwanza.

Simba wanaoshika nafasi ya nne kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, juzi walilazimishwa sare ya 2-2 na vinara wa ligi hiyo Azam katika mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Mwingereza huyo alisema jambo jingine...

 

11 years ago

Habarileo

Kero hospitali zamkera Pinda

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amezitaka hospitali nchini kuacha karaha ambazo huwafanya wagonjwa hasa wa figo kuondoka kabla ya kupatiwa matibabu. Alitoa kauli hiyo juzi mjini hapa wakati wa maadhimisho ya siku ya afya ya figo duniani iliyofanyika katika viwanja wa Mwalimu Nyerere.

 

11 years ago

Habarileo

Siasa chafu Arusha zamkera Kikwete

RAIS Jakaya Mrisho Kikwete ameelezea kukerwa na siasa chafu zinazofanyika Arusha ambazo zimeanza kuzorotesha uchumi wa mkoa huo na kutaka wananchi katika Wilaya ya Karatu wasiige mfano huo. Alisema hayo alipokuwa akizindua Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Karatu katika Mkoa wa Arusha, mjini Karatu jana.

 

11 years ago

Habarileo

Lugha chafu Chalinze zamkera Lubuva

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema vipo baadhi ya vyama vya siasa vinavyotumia lugha za chuki na zisizokuwa na staha katika kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Chalinze, mkoani Pwani.

 

11 years ago

Habarileo

Kesi za ardhi mahakamani zamkera Prof. Tibaijuka

Profesa Anna TibaijukaMLUNDIKANO wa kesi katika mahakama, mivutano ya ardhi baina ya viongozi na watendaji katika Halmashauri ya Manispaa ya Lindi mkoani hapa, vimesababisha kusimama na kuchelewesha kupimwa mji wa Lindi.

 

10 years ago

Habarileo

RC akataa Kiingereza kwenye warsha

MKUU wa Mkoa wa Singida, Dk Parseko Kone juzi alilmtaka mshereheshaji katika warsha ya wadau wa rasimu ya mpango wa usimamizi na uendelezaji wa pamoja wa rasilimali za maji Bonde la Kati kuacha kuendesha utambulisho wa wajumbe hao kwa lugha ya Kiingereza badala yake atumie Kiswahili.

 

11 years ago

Michuzi

WARSHA KUKABILIANA NA UGONJWA WA FISTULA ZANZIBAR

Na Faki Mjaka,  Maelezo Zanzibar Taaluma ndogo katika kutahiri Watoto wa kiume imeelezwa kuwa ni miongoni mwa Vyanzo vya Ugonjwa wa Fistula ambapo Watoto waliotahiriwa huwa na njia zaidi ya moja ya kupitishia Mkojo. Hali hiyo imepelekea Taasisi ya Interplast ya nchini Uholanzi kwa kushirikiana na Wizara ya Afya kuandaa Warsha ili kukabiliana na tatizo hilo kwa Watoto wa Zanzibar.  Akizungumza katika uzinduzi wa Warsha hiyo Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Mohammed Saleh Jidawi amesema ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani