Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WARSHA KUKABILIANA NA UGONJWA WA FISTULA ZANZIBAR

Na Faki Mjaka,  Maelezo Zanzibar Taaluma ndogo katika kutahiri Watoto wa kiume imeelezwa kuwa ni miongoni mwa Vyanzo vya Ugonjwa wa Fistula ambapo Watoto waliotahiriwa huwa na njia zaidi ya moja ya kupitishia Mkojo. Hali hiyo imepelekea Taasisi ya Interplast ya nchini Uholanzi kwa kushirikiana na Wizara ya Afya kuandaa Warsha ili kukabiliana na tatizo hilo kwa Watoto wa Zanzibar.  Akizungumza katika uzinduzi wa Warsha hiyo Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Mohammed Saleh Jidawi amesema ni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

ZANZIBAR YALEGEZA MASHARTI KUKABILIANA NA UGONJWA WA CORONA

TAARIFA RASMI YA SERIKALI KUHUSIANA NA KUREGEZA BAADHI YA MASHARTI KATIKA KUKABILIANA NA MRIPUKO   WA   COVID-19 ZANZIBAR, TAREHE 27 MEI, 2020
NDUGU WANANCHI,KWANZA KABISA HATUNA BUDI KUMSHUKURU MWENYEZI MUNGU KWA KUTUJAALIA UZIMA NA AFYA NJEMA NA KUWEZA KUTIMIZA MOJA KATI YA NGUZO ZA KIISLAMU YA KUFUNGA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI, KUSHEREHEKEA SIKUKUU YA IDDI EL-FITRI PAMOJA NA KUINGIA KATIKA MWEZI WA SHAWAL NA KWA WALE WANAOENDELEA NA FUNGA YA SITA  NAWATAKIA FUNGA NJEMA.
NDUGU...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA SEKTA YA AFYA ZANZIBAR WAPEWA MAFUNZO JINSI YA KUKABILIANA NA UGONJWA WA EBOLA

Mshauri wa mambo ya Afya kutoka Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO) Dk. Andemichael Ghirmay akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa kuwajengea uwezo wafanyakazi wa sekta ya Afya Zanzibar kukabiliana na ugonjwa wa Ebola, mafunzo hayo ya siku tatu yanafanyika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort na yamezaminiwa na WHO.Mgeni rasmin Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Mohammed Jidawi akifungua mafunzo ya siku tatu ya kuwajengea uwezo wafanyakazi wa sekta ya Afya Zanzibar kukabiliana na ugonjwa...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Wanawake 20,000 wana ugonjwa wa fistula Tanzania’

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imesema kuwa takwimu zinaonyesha kwamba wanawake 20,000 nchini wanaishi na ugonjwa wa Fistula.

 

11 years ago

Michuzi

MAMA KIKWETE AWATAKA WANAWAKE WENYE UGONJWA WA FISTULA KUJITOKEZA NA KWENDA KUPATA MATIBABU

Na Anna Nkinda – Maelezo aliyekuwa Lindi
Wanawake wenye tatizo la ugonjwa wa Fistula wametakiwa kutokuogopa na kukaa kimya bali wajitokeze  hadharani kwa kwenda Hospitali kupata matibabu  au kuwaambia viongozi wao ili waweze kuwasaidia kwani ugonjwa huo unatibika na matibabu yake ni bure.
Rai hiyo imetolewa  hivi karibuni na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwa nyakati tofauti na viongozi wa...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA BENKI YA NBC WAJIMWAGIA MAJI BARIDI KUCHANGISHA FEDHA KUPAMBANA NA UGONJWA WA FISTULA

Mkuu wa Rasilimali Watu wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Flora Lupembe (kulia) akimwagiwa maji baridi na Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo, Rukia Mtingwa katika hafla ya kumwagiana maji baridi iitwayo ‘Ice Bucket Challenge’ yenye makusudi ya kuchangisha fedha kwa ajili kusaidia wanawake wanaosumbuliwa na ugonjwa wa fistula. Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam. Kaimu Mhazini Mkuu wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Ivan Tarimo (kushoto) akimwagiwa maji baridi na...

 

11 years ago

Michuzi

SIKU YA FISTULA DUNIANI ILIVYOADHIMISHWA ZANZIBAR

Mwakilishi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar(viti maalumu), Wanu Ameir, amewataka viongozi wa mikoa ya Zanzibar kutoa mazingira wezeshi kuwarahisishia mabalozi wa Fistula nchini kuhamasisha na kuelimisha Umma dhidi ya fistula hapa visiwani ambapo mpaka sasa ni wagonjwa 6 tu ambao wamejitokeza tangu kuanza kampeni hiyo aliyasema hayo wakati wa maadhimisho ya siku ya Fistula Duniani jana.Elimu hiyo inatolewa kwa ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFP,Vodacom Foundation. Mgeni rasmi kwenye...

 

11 years ago

GPL

SIKU YA FISTULA DUNIANI ILIVYOADHIMISHWA ZANZIBAR‏

Mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya Fistula, Mwakilishi wa Baraza la wawakilishi, Wanu Ameir (kushoto) akipokewa na Balozi wa Fistula, Khadija Salum baada ya kuwasili kwenye hospitali ya Kwamtipura mjini Zanzibar jana,wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Fistula Duniani na utoaji wa elimu kwa Umma kuhusu tatizo hilo.Elimu hiyo ilitolewa kwa ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFP,Vodacom Foundation.
Wananchi wakimsikiliza mgeni...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yapokea gari na pikipiki kukabiliana na ugonjwa wa kifua kikuu na ukoma nchini

001

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashidi (kulia) akipokea ufunguo wa moja ya gari kutoka kwa mwakilishi wa shirika la GLRA nchini Burchard Rwamtoga (kushoto) ikiwa ni ishara ya kukabidhi msaada wa gari 4 na pikipiki 20 vyenye thamani ya Tsh. Milioni 261  jijini Dar es salaam.

Eleuteri Mangi-MAELEZO

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imepokea msaada wa gari 4 na pikipiki 20 vyenye thamani ya Tsh. Milioni 261 kutoka Shirika la GLRA kutoka nchini Ujerumani kwa ajili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani