Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Wanawake 20,000 wana ugonjwa wa fistula Tanzania’

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imesema kuwa takwimu zinaonyesha kwamba wanawake 20,000 nchini wanaishi na ugonjwa wa Fistula.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAMA KIKWETE AWATAKA WANAWAKE WENYE UGONJWA WA FISTULA KUJITOKEZA NA KWENDA KUPATA MATIBABU

Na Anna Nkinda – Maelezo aliyekuwa Lindi
Wanawake wenye tatizo la ugonjwa wa Fistula wametakiwa kutokuogopa na kukaa kimya bali wajitokeze  hadharani kwa kwenda Hospitali kupata matibabu  au kuwaambia viongozi wao ili waweze kuwasaidia kwani ugonjwa huo unatibika na matibabu yake ni bure.
Rai hiyo imetolewa  hivi karibuni na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwa nyakati tofauti na viongozi wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Fistula yawatesa akinamama 3,000 Tanzania kila mwaka

Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA), Dk. Natalia Kanem wa (kwanza kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuzungumzia Maadhimisho ya Siku ya kupinga ugonjwa wa Fistula Duniani. Wa pili kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania, Brenda Msangi.

Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA), Dk. Natalia Kanem wa (kwanza kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuzungumzia Maadhimisho ya Siku ya kupinga ugonjwa wa Fistula Duniani. Wa pili kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania, Brenda Msangi.

Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania, Brenda Msangi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuzungumzia Maadhimisho ya Siku ya kupinga ugonjwa wa Fistula Duniani. Wa kwanza kulia ni Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA), Dk. Natalia Kanem.

Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania, Brenda Msangi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuzungumzia Maadhimisho ya Siku ya kupinga...

 

11 years ago

Michuzi

WARSHA KUKABILIANA NA UGONJWA WA FISTULA ZANZIBAR

Na Faki Mjaka,  Maelezo Zanzibar Taaluma ndogo katika kutahiri Watoto wa kiume imeelezwa kuwa ni miongoni mwa Vyanzo vya Ugonjwa wa Fistula ambapo Watoto waliotahiriwa huwa na njia zaidi ya moja ya kupitishia Mkojo. Hali hiyo imepelekea Taasisi ya Interplast ya nchini Uholanzi kwa kushirikiana na Wizara ya Afya kuandaa Warsha ili kukabiliana na tatizo hilo kwa Watoto wa Zanzibar.  Akizungumza katika uzinduzi wa Warsha hiyo Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Mohammed Saleh Jidawi amesema ni...

 

11 years ago

TheCitizen

20,000 plus fistula cases treated in a year: Kebwe

>A total of 21,605 women, who were suffering from fistula, had been operated on for the past one year, the government said yesterday.

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA BENKI YA NBC WAJIMWAGIA MAJI BARIDI KUCHANGISHA FEDHA KUPAMBANA NA UGONJWA WA FISTULA

Mkuu wa Rasilimali Watu wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Flora Lupembe (kulia) akimwagiwa maji baridi na Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo, Rukia Mtingwa katika hafla ya kumwagiana maji baridi iitwayo ‘Ice Bucket Challenge’ yenye makusudi ya kuchangisha fedha kwa ajili kusaidia wanawake wanaosumbuliwa na ugonjwa wa fistula. Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam. Kaimu Mhazini Mkuu wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Ivan Tarimo (kushoto) akimwagiwa maji baridi na...

 

10 years ago

Mwananchi

Fistula inavyowaathiri wanawake kimwili, kisaikolojia

Jumamosi iliyopita ilikuwa ni siku ya maadhimisho ya kuhamasisha mapambano dhidi ya tatizo la fistula duniani.

 

10 years ago

Michuzi

Wanawake waliopona Fistula CCBRT waamua kujiajiri

Bi. Kwenge Charles anayeshona( kushoto ) mmoja wa mabinti wanaopatiwa mafunzo ya kujitegemeaa katika kituo cha “Mabinti”akijadiliana jambo na maofisa toka Vodocom Tanzania Gloria Mtui na Veronica Rovegno (kulia) wakati Maafisa hao walipowatembelea kituo hicho kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam , kituo kinafadhiliwa na Vodacom Foundation na kinalenga mabinti waliotibiwa ugonjwa wa Fistula na kupona katika hospitali ya CCRBT. Baadhi ya wanawake wa kituo cha”Mabinti” waliotibiwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CCBRT kuwainua kiuchumi wanawake waliopona fistula

ASILIMIA 58 ya wanawake wanaojifungua wanajifungulia nyumbani bila ya kuwa na msaada wowote wa kitabibu, jambo ambalo husababisha  kuwa katika hatari ya kuuugua ugonjwa wa fistula kwa kiasi kikubwa.  Fistula...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani