Wanawake waliopona Fistula CCBRT waamua kujiajiri
Bi. Kwenge Charles anayeshona( kushoto ) mmoja wa mabinti wanaopatiwa mafunzo ya kujitegemeaa katika kituo cha “Mabinti”akijadiliana jambo na maofisa toka Vodocom Tanzania Gloria Mtui na Veronica Rovegno (kulia) wakati Maafisa hao walipowatembelea kituo hicho kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam , kituo kinafadhiliwa na Vodacom Foundation na kinalenga mabinti waliotibiwa ugonjwa wa Fistula na kupona katika hospitali ya CCRBT. Baadhi ya wanawake wa kituo cha”Mabinti” waliotibiwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboWANAWAKE WALIOPONA FISTULA CCBRT WAAMUA KUJIAJIR
10 years ago
Tanzania Daima22 Nov
CCBRT kuwainua kiuchumi wanawake waliopona fistula
ASILIMIA 58 ya wanawake wanaojifungua wanajifungulia nyumbani bila ya kuwa na msaada wowote wa kitabibu, jambo ambalo husababisha kuwa katika hatari ya kuuugua ugonjwa wa fistula kwa kiasi kikubwa. Fistula...
10 years ago
Mwananchi20 Dec
Wama, CCBRT, Taboa kuikabili fistula
9 years ago
MichuziMAPAMBANO YA FISTULA YANAENDELEA KWA USHIRIKIANO WA HOSPITALI YA CCBRT NA VODACOM FOUNDATION
11 years ago
Dewji Blog24 May
CCBRT, Vodacom Foundation na UNFPA kusaidia kampeni za kukuza uelewa wa jamii wa kupambana na Fistula
Baadhi ya wakazi wa Tandika sokoni jijini Dar es Salaam,wakisoma vipeperushi vyenye ujumbe wa “Fistula inatibia” wakati wa kampeni ya kutoa elimu kwa Umma juu ya tatizo hilo kuwa linatibika kwa ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFPA na Vodacom Foundation.Kampeni hizo zinafanyika nchi nzima katika kuaziamisha siku ya Fistula duniani.
Katika maadhimisho ya pili ya siku ya kutokomeza fistula ya uzazi duniani, mabalozi 100 wa kijamii wataendesha warsha za wazi kueneza ujumbe “Fistula...
10 years ago
BBCSwahili27 Oct
wanawake wa Saudia waamua
10 years ago
Mwananchi05 Jun
Fistula inavyowaathiri wanawake kimwili, kisaikolojia
11 years ago
Mwananchi07 Mar
‘Wanawake 20,000 wana ugonjwa wa fistula Tanzania’
10 years ago
MichuziZAIDI YA WANAWAKE 2500 KWA MWAKA HUPATWA NA MARADHI YA FISTULA