Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCBRT, Vodacom Foundation na UNFPA kusaidia kampeni za kukuza uelewa wa jamii wa kupambana na Fistula

001 FISTULA

Baadhi ya wakazi wa Tandika sokoni jijini Dar es Salaam,wakisoma vipeperushi vyenye ujumbe wa “Fistula inatibia” wakati wa kampeni ya kutoa elimu kwa Umma juu ya tatizo hilo kuwa linatibika kwa ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFPA na Vodacom Foundation.Kampeni hizo zinafanyika nchi nzima katika kuaziamisha siku ya Fistula duniani.

Katika maadhimisho ya pili ya siku ya kutokomeza fistula ya uzazi duniani, mabalozi 100 wa kijamii wataendesha warsha za wazi kueneza ujumbe “Fistula...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MAPAMBANO YA FISTULA YANAENDELEA KWA USHIRIKIANO WA HOSPITALI YA CCBRT NA VODACOM FOUNDATION

Mkurugenzi wa walemavu katika Hospitali ya CCBRT,Brenda Msangi(kulia)akielezea ubora wa simu aina ya ZTE kwa waandishi wa habari wakati wa hafla fupi ya kukabidhiwa simu 150 zenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 6/=zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation kwa ajili ya kurahisisha huduma za mawasiliano kwa mabalozi wa kampeni ya kutokomeza Fistula nchini.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Mkuu wa Vodacom Foundation,Renatus Rwehikiza,Grace Lyon na Chandra Almony. Mkuu wa Vodacom...

 

5 years ago

Michuzi

Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation yachangia Shilingi Billion 2 kusaidia juhudi za serikali kupambana na COVID - 19

Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi (Wapili kulia) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi bilioni 2 leo kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh Ummy Mwalimu (Wa nne toka kulia), ili kusaidia juhudi za serikali katika kupambana na ugonjwa wa COVID-19 (Corona). Wengine ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Vodacom Tanzania PLC, Magreth Ikongo ( Watatu kulia),Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano Vodacom Tanzania PLC na Vodacom Foundation, Rosalynn...

 

10 years ago

Bongo5

Mr Blue kuanzisha ‘Micharazo Foundation’ kusaidia kukuza vipaji vya muziki

Mr Blue aka Kabayser ameanzisha taasisi ya ‘Micharazo Foundation’ itakayoanza kupokea wasanii wapya na pia itakuwa sehemu ya kukuza vipaji vya wasanii wachanga. Blue ameiambia Bongo5 kuwa kama yeye alisaidiwa na watu mpaka akafikia alipo sasa, yeye pia ana wajibu wa kufanya hivyo kwa watu wengine. “Dhumuni kabisa ya hili kundi ni kusaidia,” amesema Kabayser. […]

 

5 years ago

Michuzi

Vodacom yasaidia jamii kupambana na Covid-19


Hivi karibuni, Watanzania wengi wameungana na dunia nzima katika kupambana na maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 (maarufu Corona). Katika miezi na wiki zijazo juhudi za pamoja zinahitajika ili kusaidiana na serikali katika kupambana na athari za mlipuko wa ugonjwa huu.

Jihitada za kuisaidia jamii kutatua changamoto mbalimbali kama ilivyo kwa janga hili la COVID-19 ni mojawapo ya majukumu ya Vodacom Tanzania PLC katika kusaidia jamii na wadau wake. Kipaumbele cha Vodacom ni afya na usalama wa...

 

10 years ago

Vijimambo

NAIBU WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII,DK STEPHEN KEBWE AHITIMISHA KAMPENI YA FISTULA MJINI DODOMA‏

Wasanii wa Kundi la Mjomba Band, wakiigiza kwa kufukuzwa kwa mwanamke aliyekuwa na maradhi ya Fistula, na mumewe ikiwa ni ishara ya kunyanyapaliwa kwa wenye maradhi hayo katika jamii. Onyesho hilo lilifanyika mjini Dodoma jana wakati wa hitimisho ya kampeni dhidi ya maradhi ya Fistula iliyofanyika katika mikoa mitatu Nchini na kumalizikia katika mikoa ya kanda ya kati mjini Dodoma. Kampeni hiyo ilikuwa ikiendeshwa na Hospitali ya CCBRT na Vodacom Foundation ilikuwa na lengo la kutoa...

 

10 years ago

GPL

NAIBU WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII,DK STEPHEN KEBWE AHITIMISHA KAMPENI YA FISTULA MJINI DODOMA‏

Wasanii wa kundi la Mjomba band, wakiigiza kwa kufukuzwa kwa  mwanamke  aliyekuwa na maradhi ya Fistula, na mumewe ikiwa  ni ishara ya kunyanyapaliwa  kwa wenye maradhi hayo katika jamii. Onyesho hilo lilifanyika mjini Dodoma jana  wakati wa hitimisho ya kampeni dhidi ya maradhi ya Fistula iliyofanyika katika mikoa mitatu Nchini na kumalizikia katika mikoa ya kanda ya kati mjini Dodoma. Kampeni hiyo ilikuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Wama, CCBRT, Taboa kuikabili fistula

Hospitali ya CCBRT ikishirikiana na Chama cha Wamiliki wa Mabasi yaendayo Mikoani (Taboa) na Taasisi ya Wanawake (Wama), wamezindua kampeni ya kitaifa dhidi ya fistula ya uzazi.

 

9 years ago

Vijimambo

WANAWAKE WALIOPONA FISTULA CCBRT WAAMUA KUJIAJIR

 Mratibu wa Kituo cha Mabinti centre cha mikocheni jijini Dar es Salaam Bi. Katia Geurts(kulia) akimwelezea jambo Mkuu wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa  Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia(katikati) na waandishi wa habari jinsi kazi za ushonaji zinazofanywa na baadhi ya wakina mama waliotibiwa na kupona  fistula wakati walipotembelea kituo hicho na kujionea miradi mbalimbalia inayofadhiliwa na Vodacom Foundation,Mabinti hao wanapata elimu ya kazi za mikono mara baada ya matibabu katika...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CCBRT kuwainua kiuchumi wanawake waliopona fistula

ASILIMIA 58 ya wanawake wanaojifungua wanajifungulia nyumbani bila ya kuwa na msaada wowote wa kitabibu, jambo ambalo husababisha  kuwa katika hatari ya kuuugua ugonjwa wa fistula kwa kiasi kikubwa.  Fistula...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani