Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAPAMBANO YA FISTULA YANAENDELEA KWA USHIRIKIANO WA HOSPITALI YA CCBRT NA VODACOM FOUNDATION

Mkurugenzi wa walemavu katika Hospitali ya CCBRT,Brenda Msangi(kulia)akielezea ubora wa simu aina ya ZTE kwa waandishi wa habari wakati wa hafla fupi ya kukabidhiwa simu 150 zenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 6/=zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation kwa ajili ya kurahisisha huduma za mawasiliano kwa mabalozi wa kampeni ya kutokomeza Fistula nchini.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Mkuu wa Vodacom Foundation,Renatus Rwehikiza,Grace Lyon na Chandra Almony. Mkuu wa Vodacom...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

CCBRT, Vodacom Foundation na UNFPA kusaidia kampeni za kukuza uelewa wa jamii wa kupambana na Fistula

001 FISTULA

Baadhi ya wakazi wa Tandika sokoni jijini Dar es Salaam,wakisoma vipeperushi vyenye ujumbe wa “Fistula inatibia” wakati wa kampeni ya kutoa elimu kwa Umma juu ya tatizo hilo kuwa linatibika kwa ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFPA na Vodacom Foundation.Kampeni hizo zinafanyika nchi nzima katika kuaziamisha siku ya Fistula duniani.

Katika maadhimisho ya pili ya siku ya kutokomeza fistula ya uzazi duniani, mabalozi 100 wa kijamii wataendesha warsha za wazi kueneza ujumbe “Fistula...

 

5 years ago

Michuzi

Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation yakabidhi vifaa kwa ajili ya kuwasaidia watoto Njiti, Hospitali ya Muriet jijini Arusha



Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo(kulia) akimsikiliza Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Kaskazini, George Venanty(mwenye fulana nyekundu) wakati kampuni ya Vodacom Tanzania PLC kupitia asasi isiyo ya kiserikali ya Vodacom Tanzania Foundation walipokabidhi vifaa vyenye thamani ya zaidi ya  shilingi 42 milioni kwa ajili ya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (njiti) kwenye hospitali ya Muriet mkoani humo ili kuwapa uwezo wa kupumua,kuongeza joto na kuwapa tiba mwanga . Katikati yao...

 

11 years ago

Mwananchi

Mapambano yanaendelea

Tido Mhando bado anaendelea kusimulia kwa muhtasari tu yale aliyokutana nayo kwenye kipindi kirefu cha maisha yake kama mtangazaji na mwandishi wa habari. Jumapili iliyopita alielezea, pamoja na mengine mengi, siku aliyohudhuria sherehe za kukabidhiana madaraka baina ya Rais Mwalimu Nyerere na Rais Ali Hassan Mwinyi, mwaka 1985.

 

10 years ago

Mwananchi

Wama, CCBRT, Taboa kuikabili fistula

Hospitali ya CCBRT ikishirikiana na Chama cha Wamiliki wa Mabasi yaendayo Mikoani (Taboa) na Taasisi ya Wanawake (Wama), wamezindua kampeni ya kitaifa dhidi ya fistula ya uzazi.

 

9 years ago

Vijimambo

WANAWAKE WALIOPONA FISTULA CCBRT WAAMUA KUJIAJIR

 Mratibu wa Kituo cha Mabinti centre cha mikocheni jijini Dar es Salaam Bi. Katia Geurts(kulia) akimwelezea jambo Mkuu wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa  Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia(katikati) na waandishi wa habari jinsi kazi za ushonaji zinazofanywa na baadhi ya wakina mama waliotibiwa na kupona  fistula wakati walipotembelea kituo hicho na kujionea miradi mbalimbalia inayofadhiliwa na Vodacom Foundation,Mabinti hao wanapata elimu ya kazi za mikono mara baada ya matibabu katika...

 

10 years ago

Michuzi

Wanawake waliopona Fistula CCBRT waamua kujiajiri

Bi. Kwenge Charles anayeshona( kushoto ) mmoja wa mabinti wanaopatiwa mafunzo ya kujitegemeaa katika kituo cha “Mabinti”akijadiliana jambo na maofisa toka Vodocom Tanzania Gloria Mtui na Veronica Rovegno (kulia) wakati Maafisa hao walipowatembelea kituo hicho kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam , kituo kinafadhiliwa na Vodacom Foundation na kinalenga mabinti waliotibiwa ugonjwa wa Fistula na kupona katika hospitali ya CCRBT. Baadhi ya wanawake wa kituo cha”Mabinti” waliotibiwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CCBRT kuwainua kiuchumi wanawake waliopona fistula

ASILIMIA 58 ya wanawake wanaojifungua wanajifungulia nyumbani bila ya kuwa na msaada wowote wa kitabibu, jambo ambalo husababisha  kuwa katika hatari ya kuuugua ugonjwa wa fistula kwa kiasi kikubwa.  Fistula...

 

10 years ago

GPL

HOSPITALI ZA RUFAA ZA WILAYA YA TEMEKE-KINONDONI NA ILALA ZANUFAIKA NA MASHINE ZA KUWASAIDIA WATOTO NJITI TOKA VODACOM FOUNDATION‏

Mkuu wa kitengo cha Vodacom Foundation Tanzania, Renatus Rwehikiza(kushoto)akimkabidhi moja ya mashine ndogo kati ya tatu za kufyonza uchafu kwa watoto Njiti kwa Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Grace Magembe kwa niaba ya Hospitali tatu za rufaa za Wilaya ya Temeke,Kinondoni na Ilala.Msaada huo ulitolewa na Taasisi ya Vodacom Foundation kupitia kampeni yake ya Pamoja na Vodacom kwa kushirikiana na Doris Mollel...

 

10 years ago

GPL

TIGO YATOA DOLA 150,000 KWA HOSPITALI YA CCBRT KUSAIDIA WATOTO WENYE MIGUU ILIYOPINDA

Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez  (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati wa hafla fupi ya kutiliana saini mkataba wa kusisaidia Hospitali hiyo. Kutoka kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Hospitali ya CCBRT, Erwin Telemans na Daktari Bingwa wa Mifupa wa Hospitali hiyo, Prosper Alute.  Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Hospitali ya CCBRT, Erwin Telemans akizungumza katika hafla hiyo. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani