TIGO YATOA DOLA 150,000 KWA HOSPITALI YA CCBRT KUSAIDIA WATOTO WENYE MIGUU ILIYOPINDA
Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati wa hafla fupi ya kutiliana saini mkataba wa kusisaidia Hospitali hiyo. Kutoka kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Hospitali ya CCBRT, Erwin Telemans na Daktari Bingwa wa Mifupa wa Hospitali hiyo, Prosper Alute. Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Hospitali ya CCBRT, Erwin Telemans akizungumza katika hafla hiyo. ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBANK OF AFRIKA TANZANIA YAKUSANYA ZAIDI YA MILIONI 210 KUSAIDIA MATIBABU YA WATOTO WANAOZALIWA NA MIGUU ILIYOPINDA
10 years ago
Dewji Blog10 Dec
Tigo yatoa dola 40,000 kwa miradi ya wajasiriliamali jamii
Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Bw. Diego Gutierrez akimkabidhi cheti cha ushiriki kwenye shindano la Tigo Digital Changemakers kwa Severin Philemon wakati wa kutangaza washindi wa shindano hilo kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Tigo kwa kushirikiana na shirika lisilo la kiserikali Reach for Change leo imetangaza washindi wawili wengine wa wajasiriliamali jamii watakaodhaminiwa kiasi cha dola elfu 20,000 kila mmoja kwa ajili ya kuendesha miradi yao inayolenga kuinua hali ya maisha...
9 years ago
Dewji Blog18 Dec
Tigo yatoa Dola 40,000 kuendeleza miradi ya wajasiriamali-jamii
Balozi wa Sweden nchini, Katarina Rangnitt (wa pili kulia) akikabidhi mfano wa hundi ya dola za marekani 20,000 kwa mshindi wa shindano la Tigo Reach For Change, Bihage Edward kwenye hafla ya makabidhiano iliyofanyika Dar es Salaam jana. wanaoshuhudia ni Ofisa Mkuu wa Biashara wa Tigo, Shavkat Berdiev (kulia) na Meneja Mkazi wa Reach For Change, Peter Nyanda (kushoto).

11 years ago
Michuzi.jpg)
TTCL yatoa wito kwa jamii kusaidia zaidi wenye shida
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Dewji Blog21 Feb
WHO yatoa vifaa vya dola za Marekani 46,000 kwa serikali ya Tanzania kujihami na Ebola
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (HWO) nchini, Rutaro Chatora (kulia), akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando, moja ya kompyuta na baadhi ya vifaa tiba vyenye thamani ya dola za Marekani 46,000 vilivyotolewa na WHO kwa Serikali ya Tanzania Dar es Salaam jana, kwa ajili ya maandalizi ya udhibiti wa magonjwa ya kuambukiza na ebola.
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini, Rutaro Chatora (kulia), na Katibu Mkuu wa Wizara ya...
10 years ago
VijimamboWHO YATOA VIFAA VYA DOLA ZA MAREKANI 46,000 KWA SERIKALI YA TANZANIA KUJIAMI NA EBOLAâ€
10 years ago
GPLWHO YATOA VIFAA VYA DOLA ZA MAREKANI 46,000 KWA SERIKALI YA TANZANIA KUJIAMI NA EBOLA
10 years ago
Dewji Blog08 Apr
BOA yasheherekea Pasaka na watoto waliolazwa Hospitali ya CCBRT
Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Benki of Afrika, BOA, Wasia Mushi akikabidhi vifaa vya masomo kwa watoto waliolazwa kwenye hospitali ya CCBRT ikiwa ni sehemu ya kusherehekea sikukuu ya Pasaka na watoto hao.
Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Benki of Afrika, BOA, Wasia Mushi akiwahudumia chakula watoto waliolazwa kwenye hospitali ya CCBRT ikiwa ni sehemu ya kusherehekea sikukuu ya Pasaka na watoto hao.
Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Benki of Afrika, BOA, Wasia Mushi akikabidhi...
9 years ago
Dewji Blog24 Nov
UNDP yakabidhi mradi wa dola za marekani 150,000 wa kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi kijiji cha Chamwino
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Awa Dabo akikata utepe kuzindua Kisima cha maji safi na salama katika kijiji cha Machali A wilayani Chamwino mkoa wa Dodoma mwishoni mwa juma lililopita.
Na Modewjiblog team, Chamwino
KIJIJI cha Manchali kilichopo wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, kimekabidhiwa mradi wa dola za Marekani 150,000 wenye lengo la kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.
Mradi huo ulikabidhiwa kijiji hicho na Mratibu wa mashirika ya Umoja wa...