Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TTCL yatoa wito kwa jamii kusaidia zaidi wenye shida

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Bw. Amini Mbaga (kulia) akijadiliana swala na Mwenyekiti wa kituo cha watoto cha Mama wa Huruma, Mtawa Berna Mdendemi mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. TTCL ilitoa msaada wa mifuko 70 ya sementi kuwezesha kituo hicho kuwa na majengo yake. Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Bw. Amini Mbaga (kushoto) akiwasalimia watoto wa kituo cha Mama wa Huruma mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. TTCL ilitoa msaada wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

TTCL: Jamii isaidie wenye shida nchini

WATU binafsi na taasisi mbalimbali nchini zimetakiwa kuendelea kusaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu, ili kuwaendeleza na hatimaye waje kuwa na mchango kwa taifa. Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu...

 

10 years ago

Michuzi

JAMII YASHAURIWA KUJENGA UTAMADUNI WA KUSAIDIA WATU WENYE SHIDA MBALIMBALI

Jamii yashauriwa kujenga utamaduni wa kusaidia watu wenye shida mbalimbali hasa wazee, watu wenye ulemavu na watoto yatima ili waweze kujisikia wanaishi sawa na watu wengine.
Wito huo umetolewa na Meneja wa Vodacom Tanzania kanda ya Pwani Allen Nyumbo wakati alipokuwa akikabidhi msaada wa vyakula mbalimbali kwa niaba ya Taasisi yao ya Vodacom Foundation kwa wazee kutoka kaya 65 za kijiji cha Mnimbila katika jimbo la Mtama jana.
Nyumbo alisema kuwa matatizo ya wazee, walemavu, na watoto yatima...

 

10 years ago

GPL

JAMII YASHAURIWA KUJENGA UTAMADUNI WA KUSAIDIA WATU WENYE SHIDA MBALIMBALI‏

Meneja wa Vodacom Tanzania kanda ya Pwani Lindi, Allen Nyumbo(watatu toka kushoto) akimkabidhi Mzee Selemani Musa Mkazi wa Lindi kapu lenye vyakula mbalimbali kama msaada kwa ajili ya Mwezi mtukufu wa Ramadhani  msaada huo ulitolewa na Taasisi ya Vodacom Foundation kupitia kampeni yake  Pamoja na Vodacom.   Mkazi wa Lindi Mkoa wa Pwani Aisha Saleh(wane toka kushoto)akipokea kapu lenye… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Benki yahimiza wadau kusaidia wenye shida

WADAU mbalimbali wametakiwa kuendelea kusaidia watu wanaoishi katika mazingira magumu ili waweze kupata huduma bora za jamii zikiwemo za elimu, malazi na afya ili kuweza kujenga jamii bora Tanzania. Mkuu...

 

10 years ago

GPL

TIGO YATOA DOLA 150,000 KWA HOSPITALI YA CCBRT KUSAIDIA WATOTO WENYE MIGUU ILIYOPINDA

Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez  (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati wa hafla fupi ya kutiliana saini mkataba wa kusisaidia Hospitali hiyo. Kutoka kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Hospitali ya CCBRT, Erwin Telemans na Daktari Bingwa wa Mifupa wa Hospitali hiyo, Prosper Alute.  Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Hospitali ya CCBRT, Erwin Telemans akizungumza katika hafla hiyo. ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtaka ataka jamii kusaidia wenye uhitaji

MKUU wa Wilaya (DC) ya Mvomero, Anthony Mtaka, ameitaka jamii kubadilika na kuwasaidia watu wenye kuhitaji misaada mbalimbali badala ya kujinufaisha wenyewe kwa mambo yasiyo na tija. Mtaka alitoa kauli...

 

11 years ago

GPL

BENKI YA KCB YAJIKITA ZAIDI KUSAIDIA JAMII

Mganga mfawidhi wa hospitali ya Rufaa ya mkoa, Mawenzi, Dkt. Lwezaula Fredrick(katikati) akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhiwa misaada ya vifaa vya hospitali vyenye thamani ya shilingi milioni 15 kutoka kwa benki ya KCB Tanzania mjini Moshi, mkoa wa Kilimanjaro. Wakisikiliza kwa makini ni meneja wa tawi la Moshi benki ya KCB Tanzania, Oforo Erasmo(kushoto), Kaimu katibu tawala mkoa wa Kilimanjaro, Mhandisi Alfred...

 

10 years ago

GPL

BAJAJ YENYE WITO KWA WALIMWENGU WENYE KUKATA TAMAA

Bajaj ikiwa na ujumbe wenye kuhamasisha watu kutokata tamaa. MTANDAO wetu leo ‘umeifuma’ Bajaj yenye wito murua kwa walimwengu wenye kukata tamaa.  Wito wenyewe ulioandikwa kwenye chombo hicho cha moto maeneo ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam ni:  “ONYO: NI MARUFUKU KUKATA TAMAA..!” (Habari/Picha na Gabriel Ng’osha/GPL) ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani