BAJAJ YENYE WITO KWA WALIMWENGU WENYE KUKATA TAMAA
Bajaj ikiwa na ujumbe wenye kuhamasisha watu kutokata tamaa. MTANDAO wetu leo ‘umeifuma’ Bajaj yenye wito murua kwa walimwengu wenye kukata tamaa. Wito wenyewe ulioandikwa kwenye chombo hicho cha moto maeneo ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam ni: “ONYO: NI MARUFUKU KUKATA TAMAA..!†(Habari/Picha na Gabriel Ng’osha/GPL) ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi21 Dec
Unaweza kujizuia kukata tamaa?
11 years ago
Mwananchi28 Jul
Si wakati wa Taifa Stars kukata tamaa
10 years ago
Tanzania Daima16 Nov
Miriam Mauki: Mwanamke hapaswi kukata tamaa
NI kati ya wanamama wanaofanya vizuri katika tasnia ya muziki wa injili pamoja na ujasiriamali. Mwanamama huyu hodari asiyekata tamaa kutokana na kazi anazozifanya amekuwa mfano wa kuigwa kwa juhudi...
10 years ago
Mwananchi22 Dec
Van Gaal aanza kukata tamaa ya ubingwa
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-VItybL-PEJ4/U4GsIeKu4sI/AAAAAAAFk3g/s4xkTrCmIhc/s72-c/unnamed+(22).jpg)
TTCL yatoa wito kwa jamii kusaidia zaidi wenye shida
![](http://4.bp.blogspot.com/-VItybL-PEJ4/U4GsIeKu4sI/AAAAAAAFk3g/s4xkTrCmIhc/s1600/unnamed+(22).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-f9KC2L_AMRo/U4GsI9E9MYI/AAAAAAAFk3k/J88OnO-EH7Q/s1600/unnamed+(23).jpg)
11 years ago
Michuzi12 Mar
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-aJLGd3AdGYI/VZk0b_9tHRI/AAAAAAAC8RQ/9NVypqUsEGc/s72-c/IMG-20150704-WA0030.jpg)
WITO WATOLEWA KWA WATANZANIA KUJITOLEA KUWASAIDIA WATU WENYE UHITAJI IKIWEMO WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU
![](http://4.bp.blogspot.com/-aJLGd3AdGYI/VZk0b_9tHRI/AAAAAAAC8RQ/9NVypqUsEGc/s640/IMG-20150704-WA0030.jpg)
Baadhi ya wanalyalamo wakijumuika na watoto wa Kituo cha Yatima Group Trust Fund..
![](http://4.bp.blogspot.com/-rIjY5UMGz4Q/VZk0Ql0QpiI/AAAAAAAC8RE/iu5Ygu8kW2c/s640/IMG-20150704-WA0034.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-53mDpuylgNc/VZk0b3nplLI/AAAAAAAC8RM/o0tnve-XN1s/s640/IMG-20150704-WA0037.jpg)
baadhi ya wanalyamo family katika picha ya pamoja na mkurugenzi mtendaji wa kituo hicho, Winfrida Lubanza(mwenye miwani na blauzi nyeusi)
WITO umetolewa kwa Watanzania nchini kujitolea kwa hali na mali usaidia watu wenye uhitaji ikiwemo watoto yatima wanaolelewa kwenye vituo mbalimbali. Wito huo umetolewa jana na mkurugenzi mtendaji wa kituo cha Yatima Group Trust Fund kilichopo Chanika, jijini Dar es Salam,...
10 years ago
Habarileo01 Sep
Watendaji wenye tamaa kukiona
RAIS Jakaya Kikwete amesema itatengenezwa dawa ya wadaiwa sugu wa maji hususan taasisi za Serikali, walipe ankara zao kwa wakati. Alisema sasa halmashauri zina fedha nyingi kuliko wakati wowote kutokana na ongezeko la kukusanya kodi; jambo alilotaka fedha zinazotengwa kwa ajili ya miradi ya maendeleo zitumike kama ilivyokusudiwa.