Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Si wakati wa Taifa Stars kukata tamaa

Wiki moja iliyopita, timu ya taifa ya soka, Taifa Stars ilicheza mechi ya kwanza ya michuano ya kuwania kufuzu kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika (CAN 2015) dhidi ya Msumbiji na kutoka sare ya 2-2 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Unaweza kujizuia kukata tamaa?

Unapofika mwisho wa mwaka, wengi tumezoea kutumiana salamu na kutakiana heri ya Mwaka Mpya.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Miriam Mauki: Mwanamke hapaswi kukata tamaa

NI kati ya wanamama wanaofanya vizuri katika tasnia ya muziki wa injili pamoja na ujasiriamali. Mwanamama huyu hodari asiyekata tamaa kutokana na kazi anazozifanya amekuwa mfano wa kuigwa kwa juhudi...

 

10 years ago

Mwananchi

Van Gaal aanza kukata tamaa ya ubingwa

Kocha wa Manchester United, Louis van Gaal amesema kitendo cha timu yake kukubali sare ya bao 1-1 na Aston Villa juzi ni pigo katika mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu.

 

10 years ago

GPL

BAJAJ YENYE WITO KWA WALIMWENGU WENYE KUKATA TAMAA

Bajaj ikiwa na ujumbe wenye kuhamasisha watu kutokata tamaa. MTANDAO wetu leo ‘umeifuma’ Bajaj yenye wito murua kwa walimwengu wenye kukata tamaa.  Wito wenyewe ulioandikwa kwenye chombo hicho cha moto maeneo ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam ni:  “ONYO: NI MARUFUKU KUKATA TAMAA..!” (Habari/Picha na Gabriel Ng’osha/GPL) ...

 

10 years ago

Africanjam.Com

NAMNA YA KUZUIA KUTOKWA NA MACHOZI WAKATI WA KUKATA VITUNGUU


Ni kitu kilichowazi kwa kila mtu hususani wale wanaojihusisha na swala zima la mapishi kuhusu kutokwa na machozi wakati wa kukata kitunguu. Wataalam wa mambo wanadai kwamba ukikata kitunguu huku unatafuna BIG G kuna uwezekano mkubwa usitokwe na machozi na hata kama yatatoka ni kwa kiwango kidogo ukilinganisha na ukifanya zoezi hilo bila kutafuna BIG G.



Africanjam, We provide news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Breaking news. We also provide...

 

11 years ago

Michuzi

KOCHA MPYA WA TAIFA STARS AONGEZA WACHEZAJI TISA STARS

Kocha mpya wa Taifa Stars, Mart Nooij ameongeza wachezaji tisa katika kikosi hicho kinachojiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Malawi (The Flames) itakayochezwa Mei 4 mwaka huu katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Wachezaji walioongezwa ni Edward Charles Manyama (JKT Ruvu), Elias Maguli (Ruvu Shooting), Hassan Dilunga (Yanga), Hussein Javu (Yanga), John Bocco (Azam), Kelvin Friday (Azam), Oscar Joshua (Yanga), Nadir Haroub (Yanga) na Shomari Kapombe (AC Cannes, Ufaransa).
Naye beki...

 

10 years ago

Michuzi

Taifa Stars yatakata Uwanja wa Taifa leo,Yaitungua Bao 4-1 Benin

Mshambuliaji wa timu ya Taifa Stars,Juma Luizio akiipachikia bao nne timu yake katika mtangange wa kikataifa wa kirafiki dhidi ya Benin,uliomalizika hivi punde katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Taifa Stars imeshinda 4-1 dhidi ya Benin. Wachezaji wa Taifa Stars,wakishangilia ushindi wao huku wakiwaacha wapinzani wao wa Benin wakiwa hoi tena wakiwa hawaamini wanachokiona uwanjani hapo. Washabiki wa Taifa stars wakiisapoti vilivyo timu yao. Ubao wa ulionyesha hivi kabla jamaa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani