Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KOCHA MPYA WA TAIFA STARS AONGEZA WACHEZAJI TISA STARS

Kocha mpya wa Taifa Stars, Mart Nooij ameongeza wachezaji tisa katika kikosi hicho kinachojiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Malawi (The Flames) itakayochezwa Mei 4 mwaka huu katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Wachezaji walioongezwa ni Edward Charles Manyama (JKT Ruvu), Elias Maguli (Ruvu Shooting), Hassan Dilunga (Yanga), Hussein Javu (Yanga), John Bocco (Azam), Kelvin Friday (Azam), Oscar Joshua (Yanga), Nadir Haroub (Yanga) na Shomari Kapombe (AC Cannes, Ufaransa).
Naye beki...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Nooij aongeza tisa Taifa Stars

Kocha mpya wa Taifa Stars, Mart Nooij. Na Mwandishi Wetu
KOCHA mpya wa Taifa Stars, Mart Nooij, ameongeza wachezaji tisa katika kikosi hicho kinachojiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Malawi (The Flames) itakayochezwa Mei 4 mwaka huu kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Taarifa aliyoituma jana Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Boniface Wambura, inasema wachezaji walioongezwa ni Edward Charles Manyama (JKT...

 

10 years ago

Michuzi

Kocha Mkuu wa Taifa Stars Mart Nooij leo ametangaza kikosi cha wachezaji 28


Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya
Tanzania (Taifa Stars), Mart NooijKocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Mart Nooij leo ametangaza kikosi cha wachezaji 28 watakaoingia kambini katika hoteli ya Tansoma iliyo eneo la Gerezani jijini Dar es salaam, kujiandaa na michuano ya kombe la COSAFA na kuwania kufuzu kwa AFCON na CHAN mwezi Juni mwaka huu. Akiongea na waandishi wa habari leo makao makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF amesema, wachezaji 28 aliowaita, amewaona kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Taifa Stars yapata kocha mpya

Charles Boniface Mkwasa kocha mpya wa timu ya Taifa ya Tanzania akisaidiwa na Hemed Moroco

 

9 years ago

Habarileo

Kocha Twiga Stars afurahia kiwango cha wachezaji wake

KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars), Rogasian Kaijage amesema mchezo wa kirafiki dhidi ya Kenya ‘Harambee Starlets’ umemsaidia kugundua makosa ambayo atayafanyia kazi.

 

10 years ago

Mwananchi

Taifa Stars : Tatizo ni makocha au wachezaji?

Itakumbukwa Agosti 26,1979 Taifa Stars ilikuwa ikihitaji sare ya aina yoyote dhidi ya Zambia ili ifuzu kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika kwa mara ya kwanza tangu ilipoanza kushiriki mwaka 1968.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wachezaji Taifa Stars kuripoti kambini leo

TIMU ya soka ya Tanzania, Taifa Stars,’ leo inatarajiwa kuingia kambini leo kujiandaa na mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Burundi itakayopigwa Septemba 7, mjini Bujumbura, Burundi. Kwa mujibu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kocha wa Taifa Stars afukuzwa

Kipigo cha magoli 3-0 ilichokipata timu ya taifa ya Tanzania , kimesababisha kufukuzwa kwa kocha wa timu hiyo, Mdachi Mart Nooij.

 

9 years ago

Mwananchi

Kiwango cha wachezaji Taifa Stars chamkuna Mkwassa

Kocha mkuu wa Taifa Stars, Charles Mkwassa ameeleza kuridhishwa na kiwango cha wachezaji wake katika kambi yao inayoendelea nchini Afrika Kusini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kocha;Taifa Stars awashukuru watanzania

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa amewashukuru watanzania walio sapoti katika mchezo dhidi ya Uganda.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani