Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kiwango cha wachezaji Taifa Stars chamkuna Mkwassa

Kocha mkuu wa Taifa Stars, Charles Mkwassa ameeleza kuridhishwa na kiwango cha wachezaji wake katika kambi yao inayoendelea nchini Afrika Kusini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Kiwango cha Cazorla chamkuna Thierry Henry

Santi-CazorlaMANCHESTER, England

GWIJI wa Arsenal, Thierry Henry anaamini Santi Cazorla amekuwa ‘mtaamu’ sana uwanjani na kiwango chake ndicho kilichangia timu hiyo kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Manchester City katika mchezo wa Ligi Kuu England uliopigwa Etihad juzi.
Akizungumza katika mechi yake ya kwanza kama mchambuzi wa soka wa kituo cha televisheni cha Skysport, Henry alidai Cazorla ndiye alikuwa msingi wa kiwango bora kilichoonyeshwa na Arsenal katika mechi hiyo.
Cazorla alifunga bao la...

 

9 years ago

Habarileo

Kocha Twiga Stars afurahia kiwango cha wachezaji wake

KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars), Rogasian Kaijage amesema mchezo wa kirafiki dhidi ya Kenya ‘Harambee Starlets’ umemsaidia kugundua makosa ambayo atayafanyia kazi.

 

10 years ago

GPL

CHARLES MKWASSA NDIYE MRITHI WA NOOIJ TAIFA STARS

Charles Boniface Mkwasa wakati akikinoa kikosi cha Yanga.  Kocha Msaidizi wa Taifa Stars, Hemed Moroco. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limemtangaza Charles Boniface Mkwasa kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars. Mkwasa anachukua mikoba iliyoachwa na Mart Nooij aliyetimuliwa kazi majuzi. Kabla ya uteuzi huo, Mkwasa alikuwa Kocha Msaidizi ya Klabu ya Yanga. Aidha TFF imemteua Kocha wa Zanzibar...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kikosi cha wachezaji 25 wa Algeria wanaokuja kuivaa Taifa Stars, Novemba 14!

Algeria Team Picture (Top) Hassen Yebda, Madjid Bougherra, Faouzi Chaouchi, Rafik Halliche, Hameur Bouazza, Abdelkader Ghezzal (Bottom) Karim Matmour, Yazid Mansouri, Abdelkader Laifaoui, Nadir Belhadj, Karim Ziani, ©Gavin Barker/Backpagepix

Algeria imetangaza kikosi cha wachezaji 25 wanaokuja Tanzania kwa ajili ya mchezo dhidi ya Taifa Stars wa kutafuta nafasi ya kucheza kombe la dunia Urusi 2018.

Kikosi hicho ni kama ifuatavyo: Walinda mlango: Rais M’Bolhi (Antalyaspor / Uturuki), Azzedine Doukha (JS Kabylie), Malik Asselah (CR Belouizdad).

Viungo: Mehdi Zeffane (Rennes / Ufaransa), Mohamed Khoutir Ziti (JS Kabylie), Faouzi Ghoulam (Napoli / Italia), Djamel Mesbah (Sampdoria / Italia), Carl Medjani (Trabzonspor /...

 

10 years ago

Michuzi

Kocha Mkuu wa Taifa Stars Mart Nooij leo ametangaza kikosi cha wachezaji 28


Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya
Tanzania (Taifa Stars), Mart NooijKocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Mart Nooij leo ametangaza kikosi cha wachezaji 28 watakaoingia kambini katika hoteli ya Tansoma iliyo eneo la Gerezani jijini Dar es salaam, kujiandaa na michuano ya kombe la COSAFA na kuwania kufuzu kwa AFCON na CHAN mwezi Juni mwaka huu. Akiongea na waandishi wa habari leo makao makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF amesema, wachezaji 28 aliowaita, amewaona kwa...

 

11 years ago

Michuzi

KOCHA MPYA WA TAIFA STARS AONGEZA WACHEZAJI TISA STARS

Kocha mpya wa Taifa Stars, Mart Nooij ameongeza wachezaji tisa katika kikosi hicho kinachojiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Malawi (The Flames) itakayochezwa Mei 4 mwaka huu katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Wachezaji walioongezwa ni Edward Charles Manyama (JKT Ruvu), Elias Maguli (Ruvu Shooting), Hassan Dilunga (Yanga), Hussein Javu (Yanga), John Bocco (Azam), Kelvin Friday (Azam), Oscar Joshua (Yanga), Nadir Haroub (Yanga) na Shomari Kapombe (AC Cannes, Ufaransa).
Naye beki...

 

9 years ago

Habarileo

Jaji Sambo akunwa kiwango Taifa Stars

JAJI Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga, Mwakipombe Sambo ameimwagia sifa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kuwa ilionesha mchezo mzuri wa kuvutia licha ya kutoka sare dhidi ya Nigeria, Super Eagles katika mechi ya kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2017.

 

10 years ago

Mwananchi

Taifa Stars : Tatizo ni makocha au wachezaji?

Itakumbukwa Agosti 26,1979 Taifa Stars ilikuwa ikihitaji sare ya aina yoyote dhidi ya Zambia ili ifuzu kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika kwa mara ya kwanza tangu ilipoanza kushiriki mwaka 1968.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wachezaji Taifa Stars kuripoti kambini leo

TIMU ya soka ya Tanzania, Taifa Stars,’ leo inatarajiwa kuingia kambini leo kujiandaa na mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Burundi itakayopigwa Septemba 7, mjini Bujumbura, Burundi. Kwa mujibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani