Nooij aongeza tisa Taifa Stars
![](http://api.ning.com:80/files/XewtWaR3V6Yp9S7eiPnLVllWmEXloqsQSYEFVvNmPWKomgIX6A6DXjw3jMeheCWAwtvSTUmJ*0K3B-GDtwHEpM9Xxmmy*RfS/taifa.jpg?width=600)
Kocha mpya wa Taifa Stars, Mart Nooij. Na Mwandishi Wetu KOCHA mpya wa Taifa Stars, Mart Nooij, ameongeza wachezaji tisa katika kikosi hicho kinachojiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Malawi (The Flames) itakayochezwa Mei 4 mwaka huu kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Taarifa aliyoituma jana Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Boniface Wambura, inasema wachezaji walioongezwa ni Edward Charles Manyama (JKT...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-f3jkeDuWU-M/U10mJFyzBBI/AAAAAAAFdgg/EuM-SRGDdWI/s72-c/Tanzania-Mart-Nooij-300.jpg)
KOCHA MPYA WA TAIFA STARS AONGEZA WACHEZAJI TISA STARS
![](http://2.bp.blogspot.com/-f3jkeDuWU-M/U10mJFyzBBI/AAAAAAAFdgg/EuM-SRGDdWI/s1600/Tanzania-Mart-Nooij-300.jpg)
Wachezaji walioongezwa ni Edward Charles Manyama (JKT Ruvu), Elias Maguli (Ruvu Shooting), Hassan Dilunga (Yanga), Hussein Javu (Yanga), John Bocco (Azam), Kelvin Friday (Azam), Oscar Joshua (Yanga), Nadir Haroub (Yanga) na Shomari Kapombe (AC Cannes, Ufaransa).
Naye beki...
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Nooij aita tisa Stars
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGb-gREzBuBF4qtj4AQ8FSJbXkfZHiX-Q2ROlkpy9rhAB54UbneonwgW7FqAz2Kal2fosBcgFCZU1HQ8JQaUC7b4/33.gif?width=650)
Nooij amtema Ngassa Taifa Stars
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/74471000/jpg/_74471354_96053817.jpg)
Nooij takes over Tanzania's Taifa Stars
10 years ago
Vijimambo07 Nov
Nooij amrejesha Mtiro Taifa Stars
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Nooij-November6-2014.jpg)
Beki wa zamani wa Yanga na African Lyon, Aboubakar Mtiro, ambaye sasa anaichezea Kagera Sugar, ameitwa katika kikosi cha timu ya Taifa (Taifa Stars) ambacho kitaingia kambini Jumatatu Novemba 10 kwa ajili ya kuelekea Swaziland kuwakabili wenyeji hao kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa.
Mtiro (29), ameitwa na Kocha Mkuu wa Stars, Mholanzi Mart Nooij ikiwa ni miaka nane imepita tangu aiitwe kuichezea Stars wakati huo ikinolewa na Mbrazil Marcio Maximo.
Kwa mara ya mwisho...
10 years ago
TheCitizen31 Oct
Nooij unveils young Taifa Stars
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-yQLo3jdw1YY/U96uK8MYaNI/AAAAAAAF8rQ/MOoL21vRFII/s72-c/DSCN2744.jpg)
WASIWASI UMEIGHARIMU TAIFA STARS- KOCHA NOOIJ
![](http://3.bp.blogspot.com/-yQLo3jdw1YY/U96uK8MYaNI/AAAAAAAF8rQ/MOoL21vRFII/s1600/DSCN2744.jpg)
Taifa Stars iliruhusu bao la kwanza sekunde chache kabla ya kumalizika kipindi cha kwanza katika mechi ya marudiano ya raundi ya pili ya michuano ya Afrika kutafuta tiketi ya kucheza hatua ya makundi iliyochezwa leo (Agosti 3 mwaka huu) kwenye Uwanja wa Taifa wa Zimpeto hapa Maputo.
Bao hilo katika mechi hiyo...
11 years ago
Mwananchi22 Jul
Nooij ataka umakini zaidi Taifa Stars
11 years ago
TheCitizen07 Aug
Anxiety to blame for Taifa Stars defeat, says Nooij