Miriam Mauki: Mwanamke hapaswi kukata tamaa
NI kati ya wanamama wanaofanya vizuri katika tasnia ya muziki wa injili pamoja na ujasiriamali. Mwanamama huyu hodari asiyekata tamaa kutokana na kazi anazozifanya amekuwa mfano wa kuigwa kwa juhudi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi12 Mar
9 years ago
Mwananchi11 Sep
Mambo 10 ambayo mwanamke hapaswi kumficha daktari
Kwa kawaida, mgonjwa anatakiwa kumwambia daktari ukweli kuhusu matatizo yake yote ya kiafya ili aweze kusaidiwa kupata tiba sahihi. Daktari naye kwa upande wake, hana budi kuwa mkweli kwa mgonjwa, japokuwa kuna wakati madaktari hujikuta katika wakati mgumu kuwaambia wagonjwa wao mambo ambayo wanahisi kuwa yatawasababishia hofu, kihoro, huzuni, kukata tamaa na kupoteza matumaini.
10 years ago
Mwananchi21 Dec
Unaweza kujizuia kukata tamaa?
Unapofika mwisho wa mwaka, wengi tumezoea kutumiana salamu na kutakiana heri ya Mwaka Mpya.
11 years ago
Mwananchi28 Jul
Si wakati wa Taifa Stars kukata tamaa
Wiki moja iliyopita, timu ya taifa ya soka, Taifa Stars ilicheza mechi ya kwanza ya michuano ya kuwania kufuzu kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika (CAN 2015) dhidi ya Msumbiji na kutoka sare ya 2-2 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi22 Dec
Van Gaal aanza kukata tamaa ya ubingwa
Kocha wa Manchester United, Louis van Gaal amesema kitendo cha timu yake kukubali sare ya bao 1-1 na Aston Villa juzi ni pigo katika mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu.
10 years ago
GPLBAJAJ YENYE WITO KWA WALIMWENGU WENYE KUKATA TAMAA
Bajaj ikiwa na ujumbe wenye kuhamasisha watu kutokata tamaa. MTANDAO wetu leo ‘umeifuma’ Bajaj yenye wito murua kwa walimwengu wenye kukata tamaa. Wito wenyewe ulioandikwa kwenye chombo hicho cha moto maeneo ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam ni: “ONYO: NI MARUFUKU KUKATA TAMAA..!†(Habari/Picha na Gabriel Ng’osha/GPL)
...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-S01CYwFvibI/VD94kGxxTGI/AAAAAAAGq2E/_9YoTfU8Lq4/s72-c/unnamed%2B(10).jpg)
Criss Mauki, Jokate Mwegelo, Siza Ma-MC Siku Ya Msanii
BALOZI wa Redd’s Jokate Mwegelo, Dk. Criss Mauki wametangazwa kuwa washehereheshaji katika maadhimisho ya Siku Ya Msanii Tanzania yanayotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mratibu wa Siku Ya Msanii, Justin Jones alisema kutakuwa na washehereheshaji watatu katika siku hiyo ambapo Criss, Jokate wataungana na MC mwingine Siza Daniel katika kupendezesha shughuli hiyo. “Tulikuwa na idadi kubwa ya watu ambao walitajwa ili wawe...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-6SG5zLMr1xo/U_xILC57mRI/AAAAAAAGCd0/mdldv8YpdTs/s72-c/Screen%2BShot%2B2014-08-26%2Bat%2B11.39.05%2BAM.png)
Mdau Chris Mauki aja na libeneke lake jipya
![](http://4.bp.blogspot.com/-6SG5zLMr1xo/U_xILC57mRI/AAAAAAAGCd0/mdldv8YpdTs/s1600/Screen%2BShot%2B2014-08-26%2Bat%2B11.39.05%2BAM.png)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania