Mtaka ataka jamii kusaidia wenye uhitaji
MKUU wa Wilaya (DC) ya Mvomero, Anthony Mtaka, ameitaka jamii kubadilika na kuwasaidia watu wenye kuhitaji misaada mbalimbali badala ya kujinufaisha wenyewe kwa mambo yasiyo na tija. Mtaka alitoa kauli...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWatanzania watakiwa kujitolea kusaidia watu wenye uhitaji
WITO umetolewa kwa Watanzania nchini kujitolea kwa hali na mali kusaidia watu wenye uhitaji ikiwemo watoto yatima wanaolelewa kwenye vituo mbalimbali.
Wito huo umetolewa leo na mkurugenzi mtendaji wa kituo cha Yatima Group Trust Fund kilichopo Chanika, jijini Dar es Salam, Winfrida Lubanza wakati akizungumza na wanafalia wa Lyalamo.
Alisema jamii inapaswa kuwakumbuka na watoto wakuopo katika vituo hivyo kwani wanastahili kupata mahitaji muhimu ya kibinadamu kama ilivyo kwa...
10 years ago
MichuziJAMII YASHAURIWA KUJENGA UTAMADUNI WA KUSAIDIA WATU WENYE SHIDA MBALIMBALI
Wito huo umetolewa na Meneja wa Vodacom Tanzania kanda ya Pwani Allen Nyumbo wakati alipokuwa akikabidhi msaada wa vyakula mbalimbali kwa niaba ya Taasisi yao ya Vodacom Foundation kwa wazee kutoka kaya 65 za kijiji cha Mnimbila katika jimbo la Mtama jana.
Nyumbo alisema kuwa matatizo ya wazee, walemavu, na watoto yatima...
11 years ago
MichuziTTCL yatoa wito kwa jamii kusaidia zaidi wenye shida
10 years ago
GPLJAMII YASHAURIWA KUJENGA UTAMADUNI WA KUSAIDIA WATU WENYE SHIDA MBALIMBALI
11 years ago
Michuzi06 Jul
WATU ZAIDI YA 60 WENYE UHITAJI WASAIDIWA NA ASASI YA LADIES CIRCLE
Hayo yalisemwa na Rais wa asasi hiyo hapa Tanzania ,Julieth Anthony wakati akizungumza katika uzinduzi rasmi wa asasi hiyo uliofanyika mjini hapa hivi karibuni.
Alisema kuwa , asasi hiyo ilianza kufanya kazi hapa nchini mwaka 2012 ambapo ina jumla ya matawi matatu kwa nchi nzima ,huku asasi hiyo ikiwa...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Mradi wa Tehama uwe faraja kwa watoto wenye uhitaji
KUMEKUWA na malalamiko katika jamii kuwa shule za watoto wenye ulemavu zimesahaulika katika kupatiwa huduma mbalimbali ikiwemo nyenzo za kujifunzia. Ili kukabiliana na tatizo hilo hivi karibuni serikali ilizindua mpango...
9 years ago
StarTV09 Nov
Maisha ya wenye uhitaji wa damu salama mkoani Singida yapo hatarini
Mkoa wa Singida unakabiliwa na tatizo la upungufu wa damu katika hospitali zake kwa zaidi ya asilimia 60, hali inayotishia uhai wa maisha ya wanawake wajawazito na watoto wakati wa kujifungua, watu waliopata ajali pamoja na wagonjwa wengine wenye uhitaji wa damu salama haraka.
Imeelezwa kuwa mkoa huo ambao kwa wastani huwa na mahitaji ya Uniti 8,000 za damu kwa mwaka, umekuwa ukikusanya Uniti zisizozidi 3,000 kwa kipindi hicho hivyo kutotosheleza mahitaji.
Mtaalamu msaidizi wa damu...
5 years ago
MichuziTAASISI YA The Emirates Airline Foundation yaendelea kugusa jamii zenye uhitaji
SHIRIKA la ndege la Emirates kupitia miradi yao inayotekelezwa kupitia taasisi ya "The Emirates Airline Foundation" imeendelea kugusa jamii zenye uhitaji ambapo katika sekta za elimu, maji na afya huku watanzania wapatao 2912 kutoka maeneo mbalimbali nchini wakiwa wameguswa na mchango wa taasisi hiyo.
Rais wa Shirika la ndege la Emirates na mwenyekiti wa asasi ya Emirates Tim Clark kupitia taarifa iliyotolewa na Shirika hilo ameeleza kuwa Emirates inaangalia njia mbali mbali ya kuchangia...
5 years ago
MichuziTANZANIA TUNATOA DAMU BURE KWA WOTE WENYE UHITAJI -DKT.MGASA
Mkuu wa Idara ya Ukusanyaji Damu wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Dkt. Avelina Mgasa.
……………………………………………………………………………………………………
MPANGO wa Taifa wa Damu Salama ulio chini ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto umetoa rai kwa Wananchi kutoa taarifa kwa wanaouza damu ili wachukuliwe hatua kali za kisheria kwani damu inatolewa bure kwa wahitaji.
Rai hiyo imetolewa hivi karibuni na Mkuu wa Idara ya Ukusanyaji Damu wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Dk. Avelina Mgasa wakati...