WATU ZAIDI YA 60 WENYE UHITAJI WASAIDIWA NA ASASI YA LADIES CIRCLE
ZAIDI ya watu 60 wenye uhitaji wamewezeshwa na asasi isiyo ya kiserikali ya Ladies Circle International katika mahitaji mbalimbali ikiwemo elimu, matibabu ,malazi pamoja na mitaji .
Hayo yalisemwa na Rais wa asasi hiyo hapa Tanzania ,Julieth Anthony wakati akizungumza katika uzinduzi rasmi wa asasi hiyo uliofanyika mjini hapa hivi karibuni.
Alisema kuwa , asasi hiyo ilianza kufanya kazi hapa nchini mwaka 2012 ambapo ina jumla ya matawi matatu kwa nchi nzima ,huku asasi hiyo ikiwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
Watanzania watakiwa kujitolea kusaidia watu wenye uhitaji

WITO umetolewa kwa Watanzania nchini kujitolea kwa hali na mali kusaidia watu wenye uhitaji ikiwemo watoto yatima wanaolelewa kwenye vituo mbalimbali.
Wito huo umetolewa leo na mkurugenzi mtendaji wa kituo cha Yatima Group Trust Fund kilichopo Chanika, jijini Dar es Salam, Winfrida Lubanza wakati akizungumza na wanafalia wa Lyalamo.
Alisema jamii inapaswa kuwakumbuka na watoto wakuopo katika vituo hivyo kwani wanastahili kupata mahitaji muhimu ya kibinadamu kama ilivyo kwa...
10 years ago
Michuzi
WITO WATOLEWA KWA WATANZANIA KUJITOLEA KUWASAIDIA WATU WENYE UHITAJI IKIWEMO WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU

Baadhi ya wanalyalamo wakijumuika na watoto wa Kituo cha Yatima Group Trust Fund..


baadhi ya wanalyamo family katika picha ya pamoja na mkurugenzi mtendaji wa kituo hicho, Winfrida Lubanza(mwenye miwani na blauzi nyeusi)
WITO umetolewa kwa Watanzania nchini kujitolea kwa hali na mali usaidia watu wenye uhitaji ikiwemo watoto yatima wanaolelewa kwenye vituo mbalimbali. Wito huo umetolewa jana na mkurugenzi mtendaji wa kituo cha Yatima Group Trust Fund kilichopo Chanika, jijini Dar es Salam,...
5 years ago
Michuzi
DC KATAMBI, BODI YA MAZIWA WAGAWA MAZIWA KWA WATU WENYE UHITAJI JIJINI DODOMA
WATANZANIA wametakiwa kujiwekea Utamaduni wa kunywa maziwa kwa wingi na siyo kusubiri mpaka waandikiwe na Daktari kwani unywaji wa maziwa hujenga afya.
Wito huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi leo wakati wa ziara yake ya kugawa maziwa kwa watu wenye mahitaji kwa kushirikiana na Bodi ya Maziwa ambapo wamegawa maziwa Lita 1650 yenye thamani ya Sh Milioni Nane.
DC Katambi amesema Ofisi yake itaendelea kuhamasisha unywaji wa maziwa pamoja na kutoa...
9 years ago
BBCSwahili05 Nov
Watu wenye nguvu na ushawishi zaidi duniani
10 years ago
Africanjam.Com
ORODHA YA WATU 50 WENYE USHAWISHI ZAIDI LIGI YA UINGEREZA

Africanjam, We provide news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Breaking news. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday...
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Mtaka ataka jamii kusaidia wenye uhitaji
MKUU wa Wilaya (DC) ya Mvomero, Anthony Mtaka, ameitaka jamii kubadilika na kuwasaidia watu wenye kuhitaji misaada mbalimbali badala ya kujinufaisha wenyewe kwa mambo yasiyo na tija. Mtaka alitoa kauli...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Mradi wa Tehama uwe faraja kwa watoto wenye uhitaji
KUMEKUWA na malalamiko katika jamii kuwa shule za watoto wenye ulemavu zimesahaulika katika kupatiwa huduma mbalimbali ikiwemo nyenzo za kujifunzia. Ili kukabiliana na tatizo hilo hivi karibuni serikali ilizindua mpango...
5 years ago
Michuzi
SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA WAIOMBA SERIKALI KUSAIDIA WATU WENYE UZIWI KUPATA TAARIFA SAHIHI KUHUSU CORONA
Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii
UONGOZI wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA )lumesema kwamba uwepo wa tishio la virusi vya Corona (COVID-19) nchini umesababisha hofu kubwa kwa watu wenye uziwi kwani imekuwa ngumu kwao kupata maelekezo na miongozo ya Serikali pamoja na Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jisinsia, Wazee na Watoto.
Umesema kuwa matangazo mengi ambayo yametolewa na Wizara ya Afya yanashindwa kuwafikia watu wenye uziwi kwani hakuna watalaam wa...
9 years ago
StarTV09 Nov
Maisha ya wenye uhitaji wa damu salama mkoani Singida yapo hatarini
Mkoa wa Singida unakabiliwa na tatizo la upungufu wa damu katika hospitali zake kwa zaidi ya asilimia 60, hali inayotishia uhai wa maisha ya wanawake wajawazito na watoto wakati wa kujifungua, watu waliopata ajali pamoja na wagonjwa wengine wenye uhitaji wa damu salama haraka.
Imeelezwa kuwa mkoa huo ambao kwa wastani huwa na mahitaji ya Uniti 8,000 za damu kwa mwaka, umekuwa ukikusanya Uniti zisizozidi 3,000 kwa kipindi hicho hivyo kutotosheleza mahitaji.
Mtaalamu msaidizi wa damu...