Watu wenye nguvu na ushawishi zaidi duniani
Jarida la Forbes limetoa orodha ya watu wenye nguvu na ushawishi zaidi duniani, huku Rais wa Marekani Barack Obama akiondolewa kutoka nafasi ya pili.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Africanjam.ComORODHA YA WATU 50 WENYE USHAWISHI ZAIDI LIGI YA UINGEREZA
Jarida la Sportsmail kuamkia jana wametaja majina ya watu 50 wenye ushawishi zaidi katika ligi kuu ya Uingereza EPL, cheki orodha yenyewe hapa chini.50 Steven Gerrard, 49 Peter Ridsdale, 48 Didier Drogba, 47 Karren Brady, 46 Philip Don, 45 Sol Campbell, 44 Gary Lineker, 43 Carlos Tevez,
Africanjam, We provide news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Breaking news. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday...
11 years ago
GPLWAJUE WATU 10 WENYE NGUVU TANZANIA
9 years ago
BBCSwahili26 Dec
Man City ndio wenye nguvu zaidi - Pellegrini
9 years ago
Bongo503 Oct
Wanasoka 10 wenye mvuto zaidi Duniani
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Imenifikia TOP 5 ya wachezaji soka wenye majina marefu zaidi duniani …
Najua mtu wangu imekuwa ni kawaida kusikia majina ya wachezaji pindi wanapotangazwa kupitia Television au Radio wakati mpira ukichezwa, wengi huwa tunatambua majina ya kawaida na mafupi kutokana na namna ya matamshi ambayo mtangazaji hutamka. Stori kutoka thebesteleven.com hii ndio Top 5 ya majina marefu zaidi kwa wachezaji soka, huenda wakawepo wengine ila imenifikia list hii mtu […]
The post Imenifikia TOP 5 ya wachezaji soka wenye majina marefu zaidi duniani … appeared first on...
10 years ago
MichuziJK aongoza maadhimisho ya siku ya watu wenye Albinism Duniani leo jijini Arusha.
11 years ago
Michuzi06 Jul
WATU ZAIDI YA 60 WENYE UHITAJI WASAIDIWA NA ASASI YA LADIES CIRCLE
Hayo yalisemwa na Rais wa asasi hiyo hapa Tanzania ,Julieth Anthony wakati akizungumza katika uzinduzi rasmi wa asasi hiyo uliofanyika mjini hapa hivi karibuni.
Alisema kuwa , asasi hiyo ilianza kufanya kazi hapa nchini mwaka 2012 ambapo ina jumla ya matawi matatu kwa nchi nzima ,huku asasi hiyo ikiwa...
10 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WATU WENYE ALBINISM DUNIANI LEO JIJINI ARUSHA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na baadhi ya watoto wenye albinism mara baada ya kuwasili katika uwanja wa michezo wa Sheikh amri Abeid mjini Arusha leo ambapo aliongoza maadhimisho ya siku ya watu wenye Albinism Duniani leo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na baadhi ya watoto wenye albism katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha wakati wa maadhimisho ya siku ya watu wenye albinism Duniani leo. Picha na Freddy Maro
5 years ago
MichuziSHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA WAIOMBA SERIKALI KUSAIDIA WATU WENYE UZIWI KUPATA TAARIFA SAHIHI KUHUSU CORONA
Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii
UONGOZI wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA )lumesema kwamba uwepo wa tishio la virusi vya Corona (COVID-19) nchini umesababisha hofu kubwa kwa watu wenye uziwi kwani imekuwa ngumu kwao kupata maelekezo na miongozo ya Serikali pamoja na Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jisinsia, Wazee na Watoto.
Umesema kuwa matangazo mengi ambayo yametolewa na Wizara ya Afya yanashindwa kuwafikia watu wenye uziwi kwani hakuna watalaam wa...