RAIS KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WATU WENYE ALBINISM DUNIANI LEO JIJINI ARUSHA

.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na baadhi ya watoto wenye albinism mara baada ya kuwasili katika uwanja wa michezo wa Sheikh amri Abeid mjini Arusha leo ambapo aliongoza maadhimisho ya siku ya watu wenye Albinism Duniani leo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na baadhi ya watoto wenye albism katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha wakati wa maadhimisho ya siku ya watu wenye albinism Duniani leo. Picha na Freddy Maro
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
JK aongoza maadhimisho ya siku ya watu wenye Albinism Duniani leo jijini Arusha.


5 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MKOANI SIMIYU
9 years ago
Dewji Blog10 Dec
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan afungua maadhimisho ya Nane ya Siku ya Haki za Binadamu Duniani, Jijini Dar Leo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipunga mkono kupokea maandamano ya wananchi kwenye Viwanja vya Karimjee katika Maadhimisho ya Nane ya Kitaifa ya Siku ya Haki za Binadamu Duniani, yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Dec 10, 2015. (Picha Zote na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu, Bahame...
10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE AONGOZA SHEREHE ZA SIKU YA SHERIA NCHINI LEO JIJINI DAR ES SALAAM

PICHA NA IKULU




11 years ago
Michuzi
MAADHIMISHO SIKU YA POSTA DUNIANI YAFANA JIJINI DAR LEO
WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya St Mary's ya Mazinde Juu iliyopo mkoani Tanga wameibuka vinara wa shindano la uandishi wa barua lililoshirikisha wanafunzi wa shule mbalimbali nchini katika kuadhimisha siku ya posta duniani.
Shindano hilo la uandishi wa barua limeratibiwa na Shirika la Posta Tanzania kwa kushirikiana na umoja wa posta duniani.
Akizungumza Dar es saalam leo katika hafla ya uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya posta duniani, Mkurugenzi Mkuu wa...
11 years ago
Dewji Blog02 May
Rais Kikwete aongoza maadhimisho ya Mei Mosi jijini Dar
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipungia mkono waandamanaji aliowapokea katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) leo Mei 1, 2014 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Akiwa mwingi wa furaha, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea waandamanaji katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) leo Mei 1, 2014 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kashikana mikono na viongozi wa serikali na wa Shirikisho la Vyama vya...
10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE AONGOZA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2015 MOROGORO






10 years ago
Dewji Blog21 Sep
Maadhimisho ya siku ya watu na watoto wenye mtindio wa Ubongo kufanyika Oktoba 7, 2015 viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wazazi wa Watoto wenye Ulemavu wa Mtindio wa Ubongo, Akili na Viungo Tanzania (Chawaumavita), Hillar Said (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Watu, Watoto wenye mtindio wa ubongo yatakayofanyika, Oktoba 7, 2015 viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu wa chama hicho, Mwanahamisi Hussein.
Katibu wa chama hicho, Mwanahamisi Hussein (kulia), akizungumza...