Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAJUE WATU 10 WENYE NGUVU TANZANIA

KWA muda wa miezi miwili , magazeti ya Global Publishers Ltd yaliendesha zoezi la kuwashirikisha wasomaji wake juu ya mtu gani mwenye nguvu zaidi ya ushawishi katika jamii ya Watanzania. Rais Jakaya Kikwete. Jumla ya Watanzania 438,726 walipiga kura kupendekeza majina mbalimbali. Watu 10 waling’ara zaidi kwa kugawana jumla ya kura asilimia 97.4, huku wengine ambao hawakuweza kuchomoza wakiambulia mgawo wa asilimia 2.6.
...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA WAIOMBA SERIKALI KUSAIDIA WATU WENYE UZIWI KUPATA TAARIFA SAHIHI KUHUSU CORONA


Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii

UONGOZI wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu  Tanzania (SHIVYAWATA )lumesema kwamba uwepo wa tishio la virusi vya Corona (COVID-19) nchini umesababisha hofu kubwa kwa watu wenye uziwi kwani imekuwa ngumu kwao kupata maelekezo na miongozo ya Serikali pamoja na Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jisinsia, Wazee na Watoto.

Umesema kuwa matangazo mengi ambayo yametolewa na Wizara ya Afya yanashindwa kuwafikia watu wenye uziwi kwani hakuna watalaam wa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu wenye nguvu na ushawishi zaidi duniani

Jarida la Forbes limetoa orodha ya watu wenye nguvu na ushawishi zaidi duniani, huku Rais wa Marekani Barack Obama akiondolewa kutoka nafasi ya pili.

 

10 years ago

GPL

WAJUE MASTAA WANANE WA NIGERIA WENYE MAJUMBA YA KIFAHARI

Genevieve Nnaji
Hili ni jumba la mwigizaji Genevieve Nnaji ambalo alilinunua jijini Accra, Ghana. Jengo hilo lina thamani ya dola milioni nne (Sh. Bilioni 8.6) likiwa eneo la Achimota. Daniella Okeke
Huu ni mjengo unaotisha wa Daniella Okeke ambao una thamani ya mamilioni. Ini Edo Haya ni makazi ya Ini Edo, mmoja wa nyota maarufu wa filamu nchini Nigeria ambako… ...

 

10 years ago

Vijimambo

MACHAFUKO YA BURUNDI NI MZIGO WAWAKIMBIZI TANZANIA POLISI WAZIDIWA NGUVU NA WAANDAMANAJI WENYE JAZBA



Waandamanaji wakimkimbiza polisi wa kike baada ya kukimbiwa na polisi wenzake pale polisi walivyozidiwa nguvu na waandamanaji.
Waandamanaji wamesha mkamata polisi wa kike na kumbeba mzobe mzobe amani imetoweka kabisa kwa ndugu zetu hawa.
Wakimburuza chini uku wakimshutumu kwanini wanawashuti na wao sasa watalipiza kisasi kwa kumuua kwa mikono yao.
Baati mzuri kulikuwa na wasamalia wema ambao walikuwa na roho ya utu na walimuokoa kabla ya mabaya zaidi kumkuta hii yote inatokea polisi wenzie...

 

9 years ago

MillardAyo

Wajue wasanii watano wenye ushawishi mkubwa Africa kwa mwaka 2015… Mtanzania yupo mmoja tu!

Nimekutana na jarida la New African Magazine toleo ya December 2015 na ndani ya jarida hilo nikakutana na list ya watu waliotajwa kama watu wenye ushawishi mkubwa zaidi Africa kwa mwaka huu wa 2015… kwa upande wa burudani nimekutana na mastaa watano huku Mtanzania akiwemo mmoja tu! Hawa ndio Africa Most Influencial Africans in Media, […]

The post Wajue wasanii watano wenye ushawishi mkubwa Africa kwa mwaka 2015… Mtanzania yupo mmoja tu! appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Michuzi

TANZANIA NA MALAWI ZAWASILISHA AZIMIO KUHUSU WATU WENYE UALIBINO

Na Mwandishi Maalum, New York  Kutokana na changamoto mbalimbali zinazowakabili watu wenye ualibino, Wakilishi za Kudumu za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Malawi katika Umoja wa Matifa, zimewasilisha rasimu ya azimo kuhusu watu wenye ualibino. Rasimu ya azimio hilo inalenga katika kuzishawishi na kuzitaka Jumuiya ya Kimataifa kuendelea na juhudi za kutetea haki na ustawi watu wenye ualibino ikiwa ni pamoja na kuliwada. Azimio hilo limewasilishwa kupitia...

 

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA YASISITIZA AZIMIO KUHUSU WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI LIWE NA TIJA

.Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi akilizungumza Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa hapo siku ya Alhamis kabla Baraza hilo halijapigia kura Azimio linalotaka kuwapo kwa siku ya Kimataifa ya kuwatambua watu wenye ulemavu wa ngozi. Kulia kwa Balozi ni Bi. Ellen Maduhu Afisa wa Uwakilishi anayeshughulika Kamati ya Tatu inayohusika na masuala ya Haki za Binadamu, Utamaduni na Masuala ya Jamii na alishiriki kikamilifu katika ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani