Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA NA MALAWI ZAWASILISHA AZIMIO KUHUSU WATU WENYE UALIBINO

Na Mwandishi Maalum, New York  Kutokana na changamoto mbalimbali zinazowakabili watu wenye ualibino, Wakilishi za Kudumu za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Malawi katika Umoja wa Matifa, zimewasilisha rasimu ya azimo kuhusu watu wenye ualibino. Rasimu ya azimio hilo inalenga katika kuzishawishi na kuzitaka Jumuiya ya Kimataifa kuendelea na juhudi za kutetea haki na ustawi watu wenye ualibino ikiwa ni pamoja na kuliwada. Azimio hilo limewasilishwa kupitia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

AZIMIO KUHUSU WATU WENYE UALIBINO LAPITISHWA KWA KAULI MOJA

Na Mwandishi Maalum, New York
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewashukuru wajumbe wa Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa kupitisha kwa kauli moja Azimio linalotaka pamoja na mambo mengine Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuwasilisha taarifa kuhusu watu wenye ualibino.
Azimio hilo na ambalo liliandaliwa kwa pamoja kati ya Wakilishi za Kudumu za Tanzania na Malawi katika Umoja wa Mataifa, limepitishwa siku ya Jumanne baada ya majadiliano ya kina na jumuishi...

 

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA YASISITIZA AZIMIO KUHUSU WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI LIWE NA TIJA

.Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi akilizungumza Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa hapo siku ya Alhamis kabla Baraza hilo halijapigia kura Azimio linalotaka kuwapo kwa siku ya Kimataifa ya kuwatambua watu wenye ulemavu wa ngozi. Kulia kwa Balozi ni Bi. Ellen Maduhu Afisa wa Uwakilishi anayeshughulika Kamati ya Tatu inayohusika na masuala ya Haki za Binadamu, Utamaduni na Masuala ya Jamii na alishiriki kikamilifu katika ...

 

5 years ago

Michuzi

SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA WAIOMBA SERIKALI KUSAIDIA WATU WENYE UZIWI KUPATA TAARIFA SAHIHI KUHUSU CORONA


Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii

UONGOZI wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu  Tanzania (SHIVYAWATA )lumesema kwamba uwepo wa tishio la virusi vya Corona (COVID-19) nchini umesababisha hofu kubwa kwa watu wenye uziwi kwani imekuwa ngumu kwao kupata maelekezo na miongozo ya Serikali pamoja na Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jisinsia, Wazee na Watoto.

Umesema kuwa matangazo mengi ambayo yametolewa na Wizara ya Afya yanashindwa kuwafikia watu wenye uziwi kwani hakuna watalaam wa...

 

9 years ago

Vijimambo

CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WATANZANIA WENYE UALIBINO ZISIWE CHANZO CHA KUJINUFAISHA

balozi_CLIPCHAMP_keep from Luke Joe on Vimeo.
Na Mwandishi Maalum, New York

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Uwakilishi wake wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, umekemea mwenendo na tabia zinazofanywa na baadhi ya Asasi zisizo za kiserikali za kupotosha ukweli kuhusu changamoto zinazowakabili watu wenye ualibino lakini kubwa zaidi kutaka kujinufaisha kupitia matatizo yao.

Aidha Tanzania, pamoja na kukiri kwamba kuna tatizo la watu wenye ualibino la kupoteza maisha...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YASISITIZA AZIMIO KUHUSU WALEMAVU WA NGOZI LIWE NA TIJA

Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi akilizungumza Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa hapo siku ya Alhamis kabla Baraza hilo halijapigia kura Azimio linalotaka kuwapo kwa siku ya Kimataifa ya kuwatambua watu wenye ulemavu wa ngozi. Kulia kwa Balozi ni Bi. Ellen Maduhu Afisa wa Uwakilishi anayeshughulika Kamati ya Tatu inayohusika na masuala ya Haki za Binadamu, Utamaduni na Masuala ya Jamii na alishiriki kikamilifu katika ...

 

10 years ago

Michuzi

WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI (ALBINO) WATOAFAUTIANA KUHUSU MAANDAMANO.

Mwenyekiti wa Kamati ya kuratibu mapambano ya kukomesha mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino),Said Ndonge akiwa na wajumbe wa kamati hiyo, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya maandamano wanayotarajia kuyafanya Machi 3 Mwaka huu jijini Dar es Salaam. (Picha Emmanuel Massaka).NA Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii.
Kamati ya kuratibu mapambano ya kukomesha mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino)umepingana na kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wa Chama Cha Watu...

 

11 years ago

GPL

WAJUE WATU 10 WENYE NGUVU TANZANIA

KWA muda wa miezi miwili , magazeti ya Global Publishers Ltd yaliendesha zoezi la kuwashirikisha wasomaji wake juu ya mtu gani mwenye nguvu zaidi ya ushawishi katika jamii ya Watanzania. Rais Jakaya Kikwete. Jumla ya Watanzania 438,726 walipiga kura kupendekeza majina mbalimbali. Watu 10 waling’ara zaidi kwa kugawana jumla ya kura asilimia 97.4, huku wengine ambao hawakuweza kuchomoza wakiambulia mgawo wa asilimia 2.6.
...

 

10 years ago

BBCSwahili

Azimio kuhusu Palestina lakataliwa

Umoja wa mataifa umekataa azimio linalopendekeza kusitishwa kwa mpango wa Israel wa kuyakalia maeneo ya Palestina.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani