CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WATANZANIA WENYE UALIBINO ZISIWE CHANZO CHA KUJINUFAISHA
balozi_CLIPCHAMP_keep from Luke Joe on Vimeo.
Na Mwandishi Maalum, New York
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Uwakilishi wake wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, umekemea mwenendo na tabia zinazofanywa na baadhi ya Asasi zisizo za kiserikali za kupotosha ukweli kuhusu changamoto zinazowakabili watu wenye ualibino lakini kubwa zaidi kutaka kujinufaisha kupitia matatizo yao.
Aidha Tanzania, pamoja na kukiri kwamba kuna tatizo la watu wenye ualibino la kupoteza maisha...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Nov
Changamoto zinazowakabili wajasiriamali-4
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-qC-WN9hEgy0/VicD-sc1DiI/AAAAAAAIBa4/mjfbYrj9LhQ/s72-c/unnamed%2B%252814%2529.jpg)
TANZANIA NA MALAWI ZAWASILISHA AZIMIO KUHUSU WATU WENYE UALIBINO
9 years ago
MichuziAZIMIO KUHUSU WATU WENYE UALIBINO LAPITISHWA KWA KAULI MOJA
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewashukuru wajumbe wa Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa kupitisha kwa kauli moja Azimio linalotaka pamoja na mambo mengine Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuwasilisha taarifa kuhusu watu wenye ualibino.
Azimio hilo na ambalo liliandaliwa kwa pamoja kati ya Wakilishi za Kudumu za Tanzania na Malawi katika Umoja wa Mataifa, limepitishwa siku ya Jumanne baada ya majadiliano ya kina na jumuishi...
10 years ago
Dewji Blog24 May
Mitazamo hasi kitamaduni chanzo cha mauaji ya watu wenye albinism
Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa UNESCO nchini, Bi. Zulmira Rodgrigues, akiwasilisha mada katika warsha ya siku tatu iliyofanyika katika kijiji cha Nyakahungwa wilayani Sengerema mkoani Mwanza kuhusu ushirikishaji jamii katika kuandaa na kutekeleza mikakati itakayochangia kuzuia na kutokomeza unyanyasaji na dhulma zinazofanywa dhidi ya watu wenye albinism iliyoshirikisha waganga wa asili, wauguzi na wakunga, viongozi wa dini, walimu pamoja na watu maarufu iliyoandaliwa na Shirika la Umoja wa...
9 years ago
Dewji Blog24 Nov
Makamu wa Rais akutana na WTF kuzungumzia changamoto zinazowakabili wanawake na watoto nchini
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Uongozi wa Mtandao wa Wanawake Tanzania (WFT) wakati viongozi hao walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Nov 24, 2015 kwa mazungumzo. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea baadhi ya Vipeperushi na Vitabu vya Mtandano wa Wanawake Tanzania (WFT) kutoka kwa mwenyekiti wa mtandao huo, Prof.Ruth Meena, baada ya...
10 years ago
Vijimambo06 Mar
EXCLUSIVE INTERVIEW: 'USHIRIKINA CHANZO CHA MAUAJI YA WATU WENYE ALBINISM' - DK. ALLY POSSI
10 years ago
Dewji Blog06 Mar
EXCLUSIVE INTERVIEW: ‘Ushirikina chanzo cha mauaji ya watu wenye Albinism’ — Dk. Ally Possi
Na Andrew Chale wa modewji blog
Dk. Ally Possi ambaye ni Mhadhiri wa chuo kikuu cha Ardhi, Dar es Salaam. Akielezea na kuchambua kwa kina kuhusiana na wimbi la mateso na mauaji dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi wenye albinism.
Mo dewjiblog, iliamua kufanya mahojiano maalum ilikukuletea wewe msomaji wetu unayeperuzi mtandao wako bora kabisa kujua na kuelewa na nini kifanyike ikiwemo mimi na wewe katika kuchukua hatua.
Suala la mauaji dhidi ya watu wenye albinism:
“JAMII yenye ushirikina...
10 years ago
Mtanzania28 Mar
Kituo cha watu wenye ulemavu wa ngozi kilichojaa changamoto!
NA AGATHA CHARLES, ALIYEKUWA SHINYANGA
WAKATI jamii ikipambana kuzuia mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino), imebainika kuwa licha ya tishio hilo la kuawa lakini pia wamekuwa wakifanyiwa vitendo wa ukatili ikiwemo kubakwa.
Mwandishi wa gazeti hili, Machi 10, mwaka huu alitembelea kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum wakiwemo walemavu wa ngozi cha Buhangija Jumuishi kilichopo Manispaa ya Shinyanga na kukutana na binti mwenye umri chini ya miaka 18 ambaye alifanyiwa ukatili...
9 years ago
Dewji Blog30 Dec
Waziri Ummy atembelea MSD, aahidi kuwa balozi wao na kuwatatulia changamoto zinazowakabili ikiwepo deni wanaloidai serikali
Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akitembelea moja ya ghala la kuhifadhia dawa iliyopo makao makuu ya MSD,kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa MSD Laureane Bwanakunu na watatu kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya MSD Prof.Idris Mtulia.
Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu ametembelea Makao Makuu ya Bohari ya Dawa (MSD) na kuahidi kuwa balozi wa kuhakikisha deni la serikali linalipwa ili kuiwezesha MSD kutekeleza majukumu...