Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania ni nchi ya mfano katika kulinda haki za watu wenye ulemavu wa ngozi - Bi Ero


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA YASISITIZA AZIMIO KUHUSU WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI LIWE NA TIJA

.Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi akilizungumza Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa hapo siku ya Alhamis kabla Baraza hilo halijapigia kura Azimio linalotaka kuwapo kwa siku ya Kimataifa ya kuwatambua watu wenye ulemavu wa ngozi. Kulia kwa Balozi ni Bi. Ellen Maduhu Afisa wa Uwakilishi anayeshughulika Kamati ya Tatu inayohusika na masuala ya Haki za Binadamu, Utamaduni na Masuala ya Jamii na alishiriki kikamilifu katika ...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA TUNU PINDA AOMBA WATU NA MASHIRIKA MBALIMBALI KUSAIDIA KUCHANGIA KATIKA KUENDELEZA ELIMU KWA WATOTO NA VIJANA WENYE ULEMAVU WA NGOZI (ALIBINO)

Mlezi wa chama cha wake wa viongozi Mama Tunu Pinda akipokea vitabu vyenye thamani ya shilngi milioni 35 kutoka kwa Meneja Mkuu wa kituo cha kuendeleza vipaji kwa vijana THT Bwana Mwita Mwaikenda na anaye shuhudia ni Mwenyekiti wa chama cha wake wa viongozi Germina Lukuvi msaada huo wa vitatabu ni kwaajili ya kusaidia Elimu kwa watoto na vijana wenye ulemavu wa ngozi (ALIBINO) sherehe hiyo ya makabidhiano imefanyika katika makazi ya waziri mkuu jijini Dar es salaam.Picha na Chris...

 

10 years ago

Mtanzania

Kituo cha watu wenye ulemavu wa ngozi kilichojaa changamoto!

NA AGATHA CHARLES, ALIYEKUWA SHINYANGA
WAKATI jamii ikipambana kuzuia mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino), imebainika kuwa licha ya tishio hilo la kuawa lakini pia wamekuwa wakifanyiwa vitendo wa ukatili ikiwemo kubakwa.
Mwandishi wa gazeti hili, Machi 10, mwaka huu alitembelea kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum wakiwemo walemavu wa ngozi cha Buhangija Jumuishi kilichopo Manispaa ya Shinyanga na kukutana na binti mwenye umri chini ya miaka 18 ambaye alifanyiwa ukatili...

 

10 years ago

Michuzi

PIGA KURA UBORESHE MAISHA YA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI

a href="http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/Untitled.jpg">UntitledShirika linalojibidisha na kutetea na kulinda watu wenye ulemavu wa ngozi nchini Under the Same Sun, (UTSS) limeteuliwa kushindania Tuzo ya Haki za Binadamu ijulikanayo kama "Tulip" itolewayo nchini Uholanzi. Iwapo UTSS watashinda tuzo hiyo, ni dhahiri kwamba kutakuwa na mapinduzi makubwa katika uboreshaji wa maisha ya watu wenye ulemavu wa ngozi. 
 Shiriki kwa kupiga kura ili UTSS washinde Tuzo hii na kulinda...

 

10 years ago

Michuzi

WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI (ALBINO) WATOAFAUTIANA KUHUSU MAANDAMANO.

Mwenyekiti wa Kamati ya kuratibu mapambano ya kukomesha mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino),Said Ndonge akiwa na wajumbe wa kamati hiyo, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya maandamano wanayotarajia kuyafanya Machi 3 Mwaka huu jijini Dar es Salaam. (Picha Emmanuel Massaka).NA Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii.
Kamati ya kuratibu mapambano ya kukomesha mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino)umepingana na kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wa Chama Cha Watu...

 

10 years ago

Michuzi

KESI ZA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI ZITAPEWA KIPAUMBELE - JAJI MKUU

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii 
Jaji Mkuu Nchini Othman Chande amesema kesi za mauaji kwa watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino)zinatakiwa kufanywa kwa ushirikiano katika pande zote ikiwemo mashahidi kujitokeza  kwa wakati kwa watuhumiwa wa mauji hayo.
Jaji Chande ameyasema hayo wakati wa hafla ya kuapishwa Manaibu wa Usajili wa Mahakama Kuu leo jijini,Dar es Salaam,amesema watu wenye ulemavu wa ngozi ni watanzania wenzetu na hakuna anayependa wanavyofanyiwa ukatili huo.
Chande amesema...

 

9 years ago

Dewji Blog

Watu wenye ulemavu wa ngozi Manyoni waomba kusogezewa karibu dawa zakujikinga

SAM_0219

Jengo la ofisi ya Kijiji cha Kilimatinde,wilayani Manyoni mahali walipokuwa wakipokelea malipo ya fedha za mpango wa kunusuru kaya maskini katika Kijiji hicho.

SAM_0220

Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Kilimatinde, wilayani Manyoni wakisubiri kwa hamu kuba malipo ya TASAF awamu ya tatu yaliyokuwa yakifanyika katika ofisi za kijiji hicho.

SAM_0224

baadhi ya waanchi wa Kijiji cha Sukamahela,tarafa ya Kilimatinde, wilayani Manyoni wakisikiliza maelekezo kutoka kwa Mwenyekiti wa kijiji hicho juu ya taratibu za...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jamii itoe ushirikiano kukomesha mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi nchini

silima

Na. Johary Kachwamba – MAELEZO, DODOMA

JAMII imetakiwa kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi nchini katika kutoa taarifa zitakazo fanikisha kukamatwa kwa wote walioshiriki mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi nchini.

Wito huo umetolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani  Mhe. Pereira Silima (pichani) bungeni mjini Dodoma alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Mhe. Al -Shaimaa Kwegyir, Mbunge wa Viti Maalum aliyehoji kuchelewa kwa taarifa ya kupatikana kwa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi,...

 

10 years ago

Dewji Blog

CHAWAMAMU waendesha mafunzo Singida kukabiliana na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi

SAM_2015

Mratibu wa Tiba Asilia kutoka Hospitali ya Wilaya ya Iramba, Bi Roda Yona(kushoto) na Mkuu wa Kituo kidogo cha polisi Ndago, Bwana Richard Kimolo (kulia) wakishiriki mafunzo ya kutoa elimu juu ya operesheni tokomeza mauji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino) na vikongwe.

SAM_2018

Katibu Msaidizi wa CHAWAMAMU Mkoa wa Singida, Bwana Omari Majengo (kulia) wakiwa kwenye ukumbi wa shule ya msingi Urughu, tarafa ya Ndago wilayani Iramba wakitoa elimu juu ya operesheni tokomeza mauji ya watu wenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani