BANK OF AFRIKA TANZANIA YAKUSANYA ZAIDI YA MILIONI 210 KUSAIDIA MATIBABU YA WATOTO WANAOZALIWA NA MIGUU ILIYOPINDA
Mkurugenzi Mkuu wa Bank of Africa nchini Bw. Ammishadai Owusu-Amoah akimkabidhi Ofisa Mtendaji Mkuu wa hospitali ya CCBRT mfano wa hundi wenye ya dola za kimarekani 100,000 kwa ajili ya matibabu ya watoto wanaozaliwa na miguu iliyopinda. Nyuma ni Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe. Ali Hassani Mwinyi na Mwenyekiti wa Bodi ya Bank of Afrika Mwanaidi Majaar.
Balozi Mwanaidi Majaar,Mwenyekiti wa Bodi Bank of Afrika akihutubia wadau mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo. Balazo anasema...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLTIGO YATOA DOLA 150,000 KWA HOSPITALI YA CCBRT KUSAIDIA WATOTO WENYE MIGUU ILIYOPINDA
10 years ago
MichuziBANK OF AFRICA-TAZANIA, YAZINDUA UCHANGIAJI MATIBABU KWA WATOTO WALIOPINDA MIGUU
BANK OF AFRICA-TANZANIA, leo imezindua rasmi kampeni ya uchangiaji wa dola 100,000 ili kuisaidia Hospitali ya CCBRT katika mpango wake wa kufanikisha matibabu ya watoto 400 wanaosumbuliwa na ugonjwa wa kupinda miguu.
Msaada huu kwa Hospitali ya CCBRT utawezesha watoto kutoka katika mikoa mbalimbali ya Tanzania kupata matibabu bure au kwa gharama nafuu ili kuwawezesha kutembea sawa sawa.
Ugonjwa wa kupinda miguu unaweza kuathiri mguu mmoja au yote miwili. Miguu iliyopinda...
9 years ago
BBCSwahili25 Nov
Watoto wanaozaliwa wikendi hufariki zaidi UK
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-SiC7H6vLh-Y/UzSKA02taVI/AAAAAAAFW8I/OULL0h7UsPI/s72-c/unnamed+(25).jpg)
MABALOZI WA AFRIKA, KARIBIANI NA PASIFIKI (ACP) WAIDHINISHA EURO MILIONI 350 MILIONI ZA KUSAIDIA KULINDA AMANI AFRIKA
![](http://3.bp.blogspot.com/-SiC7H6vLh-Y/UzSKA02taVI/AAAAAAAFW8I/OULL0h7UsPI/s1600/unnamed+(25).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-6WD5j7a0Qzs/VZLF4TS0WwI/AAAAAAAAVfE/fk-0u140AdE/s72-c/Glorious%2BLuoga.jpg)
ACACIA YAKUSANYA SHILINGI MILIONI 800 ZA KUSAIDIA SEKTA YA ELIMU, BAADA YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO
![](http://1.bp.blogspot.com/-6WD5j7a0Qzs/VZLF4TS0WwI/AAAAAAAAVfE/fk-0u140AdE/s640/Glorious%2BLuoga.jpg)
10 years ago
GPLMISS TANZANIA AFUNGUA MFUKO MAALUM KUWASADIA WATOTO WANAOZALIWA KABLA YA SIKU ZAO
10 years ago
Dewji Blog27 Dec
NHC yakabiliana na tatizo la moyo nchini kwa kusaidia matibabu ya watoto 53 nchini India
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo Desemba 26, 2014 kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam ya kuwaaga jumla ya watoto 55 wenye matatizo ya ugonjwa wa Moyo kati ya 104, waliofadhiliwa na Lions Club ya jijini, kwa ajili ya kwenda kutibiwa nchini India. Watoto hao 55 wa awamu ya kwanza walionza kuondoka nchini jana.
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limechangia kiasi cha takribani shilingi...
9 years ago
MichuziZAIDI YA WATOTO MILIONI 3.1 WENYE UMRI CHINI YA MIAKA MITANO HUFARIKI DUNIA KILA MWAKA HUKU WENGINE MILIONI 161 KUPATA MATATIZO YA KUDUMAA MWILI
9 years ago
BBCSwahili28 Sep
1 kati ya watoto 2 wanaozaliwa ni wanaharamu