MISS TANZANIA AFUNGUA MFUKO MAALUM KUWASADIA WATOTO WANAOZALIWA KABLA YA SIKU ZAO
Dorice Molle (katikati) akiwa na Waziri wa Afya wa Zanzibar, Thabit Kombo. Hapa wakizindua rasmi mfuko wa kusaidia watoto ambao ni njiti (Premature). Mkurugenzi wa Shindano la Miss Tanzania, Hashimu Lundenga akiteta jambo na Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Vijimambo22 Oct
CHETI CHA KUZALIWA CHA MISS TANZANIA KILITOLEWA SIKU 4 KABLA YA KAMBI YA WASHIRIKI WA MISS TANZANIA KUANZA

Mkurugenzi wa kampuni ya Lino International Agency, Hashim Lundenga (kulia) akionyesha cheti cha kuzaliwa cha Miss Tanzania 2014, Sitti Mtevu kilichoandikwa amezaliwa mwaka 1991 wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana. Picha: Omar Fungo
Sakata la umri halisi wa mrembo mpya wa Tanzania mwaka huu 'Redd's Miss Tanzania 2014', Sitti Mtemvu bado linaendelea kuchukua sura mpya baada ya mshindi huyo wa taji la taifa kuwasilisha cheti cha kuzaliwa ambacho kimetolewa siku...
10 years ago
GPLREDDS MISS TANZANIA 2013, HAPPYNESS WATIMANYWA AFUNGUA CLUB YA KUJISOMEA WATOTO YA NKEMA
 Redds Miss Tanzania 2013, Happness Watimanywa (wa pili kushoto), akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Club ya kujisomea watoto ya ijulikanayo kwa jina la Nkema Reading Club iliyopo Kinondoni Mtaa wa Kasana jirani na Kituo kinachojengwa kwa ajli ya Mabasi ya Mwendokasi nyuma ya Sheli ya Mwanamboka katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Club hiyo, Getrude Kilyabusebu.… ...
10 years ago
MichuziBANK OF AFRIKA TANZANIA YAKUSANYA ZAIDI YA MILIONI 210 KUSAIDIA MATIBABU YA WATOTO WANAOZALIWA NA MIGUU ILIYOPINDA
11 years ago
GPLMISS ILALA NO 2 AWAPATIA ZAWADI WATOTO YATIMA, WAMUOMBEA DUA MAALUM
Mkuu wa wilaya, Raymond Moshi ya Ilala akitoa mkono wa heri kwa mrembo kwa ajili ya kupeleka misdaa mbalimbali kwenye jamii. Miss Nasreem Abdul akiwa pamoja na wasichana waliofanyiwa ukatili na kutelekezwa na sasa wanalelewa na TAASISI YA WANAWAKE KATIKAA JITIHADA KIMAENDELE "WAJIKI" Kilichopo Mwananyamala Kinondoni Jijini Dar.…
10 years ago
GPL
VITUO VITATU VYA WATOTO WENYE UHITAJI MAALUM VYAPOKEA ZAWADI ZA KRISMASI KUTOKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF
 Kulia ni Afisa Mfawidhi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Mkoa wa Shinyanga Erick Chinimbaga na wa kwanza kushoto ni Afisa Fedha kutoka PSPF Makao Makuu Samweli Haule wakiwakabidhi zawadi za Krismasi watoto wenye ulemavu wa ngozi katika kituo cha Buhangija kilichopo Shinyanga zawadi za Sikukuu ya Krismasi hapa watoto wenzao wakipokea zawadi hizo kwa niaba.  Akikabidhi Msaada huo Afisa Fedha wa PSPF kutoka Makao Makuu...
10 years ago
MichuziMFUKO WA PENSHENI WA GEPF WASHEREHEKEA MWAKA MPYA NA KITUO CHA WATOTO YATIMA NA WASIO NA MAKAZI MAALUM (CHAKUWAMA) KILICHOPO SINZA
10 years ago
BBCSwahili28 Sep
1 kati ya watoto 2 wanaozaliwa ni wanaharamu
Asilimia 50% ya wanawake wanaojifungua watoto bara ulaya hawajafunga ndoa halali.
9 years ago
BBCSwahili25 Nov
Watoto wanaozaliwa wikendi hufariki zaidi UK
Watoto waliozaliwa wikendi iliopita nchini Uingereza wana hatari kubwa ya kufariki ikilinganishwa na wale waliozaliwa siku za juma,kulingana na watafiti.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania