Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


REDDS MISS TANZANIA 2013, HAPPYNESS WATIMANYWA AFUNGUA CLUB YA KUJISOMEA WATOTO YA NKEMA

 Redds Miss Tanzania 2013, Happness Watimanywa (wa pili kushoto), akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Club ya kujisomea watoto ya ijulikanayo kwa jina la Nkema Reading Club iliyopo Kinondoni Mtaa wa Kasana jirani na Kituo kinachojengwa kwa ajli ya Mabasi ya Mwendokasi nyuma ya Sheli ya Mwanamboka katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Club hiyo, Getrude Kilyabusebu.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HAPPYNESS WATIMANYWA AFUNGUA CLUB YA KUJISOMEA WATOTO YA NKEMA

Redds Miss Tanzania 2013, Happness Watimanywa (wa pili kushoto), akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Club ya kujisomea watoto ya ijulikanayo kwa jina la Nkema Reading Club iliyopo Kinondoni Mtaa wa Kasana jirani na Kituo kinachojengwa kwa ajli ya Mabasi ya Mwendokasi nyuma ya Sheli ya Mwanamboka katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Club hiyo, Getrude Kilyabusebu.Redds Miss Tanzania 2013, Happyness Watimanywa (kushoto), akiwafundisha kusoma watoto...

 

11 years ago

GPL

REDDS MISS TANZANIA 2013 AWAFARIJI WATOTO YATIMA

Redds Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa ( kushoto) akipinga hodi ikiwa ni ishara ya kukaribishwa katika Kituo cha kuleta watoto yatima Mgolole cha Masista wa Moyo Safi wa Maria wa Morogoro , ambapo alifuatana na warembo wengine wawili, Miss Tanzania mshindi wa tano, Elizabeth Perrty, na Sabra Islam Miss Morogoro 2013, wazazi wake na Viongozi wa juu wa Kamati ya Miss Tanzania na kupokelewa na Mama Mkuu wa Kituo hicho, Sista...

 

11 years ago

Vijimambo

11 years ago

Bongo5

Video: Documentary ya Project Kitabu ya Miss Tanzania 2013 Happy Watimanywa

Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa ameachia documentary kuhusu kampeni yake ya ‘Project Kitabu’ inayohimiza watu wa rika mbalimbali hususan wanafunzi kusoma vitabu. Itazame hapa bila shaka utavutiwa nayo.

 

10 years ago

Vijimambo

REDDS MISS TANZANIA 2015 NA MISS KENYA WATEMBELEA HOSPITALI YA CCBRT KUWAFARIJI WAGONGWA

 Miss Kenya, Idah Nguma. Redds Miss Tanzania 2015, Lilian Kamazima. Redds Miss Tanzania 2015, Lilian Kamazima (kushoto), akiwa na Miss Kenya, Idah Nguma baada ya kuwatembea wagonjwa katika hospitali hiyo.
 Mmoja wa Maofisa kutoka Taasisi ya Smile Train inayofanya kazi na Miss Kenya, Idah Nguma, Jane Ngige akizungumza na wanahabari (hawapo pichani).Redds Miss Tanzania 2015, Lilian Kamazima (kulia) na Miss Kenya,  Idah Nguma (kushoto), wakiwa na mmoja wa wadau wa Hospitali ya CCBR iliyopo...

 

10 years ago

Michuzi

WATANZANIA TUMPE SUPPORT MISS TANZANIA HAPPINESS WATIMANYWA KWENYE SHINDANO LA MISS WORLD 2014‏‎


    Happiness Watimanywa (20) aliyekuwa Redds Miss Tanzania 2013 sasa yuko jijini London Uingereza kwa ajili ya kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss World 2014. Happiness ambaye kwa sasa anashikilia taji la Miss World Tanzania 2014 amesema ana kila sababu ya kurudisha taji nyumbani ikiwa watanzania watamuunga mkono kwa kusambaza video zake katika mitandao mbalimbali ya kijamii."Hebu angalia uzuri wa taifa letu, amani, upendo na vivutio mbalimbali vya utalii. Hebu niangalie na mimi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani