Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


REDDS MISS TANZANIA 2013 AWAFARIJI WATOTO YATIMA

Redds Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa ( kushoto) akipinga hodi ikiwa ni ishara ya kukaribishwa katika Kituo cha kuleta watoto yatima Mgolole cha Masista wa Moyo Safi wa Maria wa Morogoro , ambapo alifuatana na warembo wengine wawili, Miss Tanzania mshindi wa tano, Elizabeth Perrty, na Sabra Islam Miss Morogoro 2013, wazazi wake na Viongozi wa juu wa Kamati ya Miss Tanzania na kupokelewa na Mama Mkuu wa Kituo hicho, Sista...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

REDDS MISS TANZANIA 2013, HAPPYNESS WATIMANYWA AFUNGUA CLUB YA KUJISOMEA WATOTO YA NKEMA

 Redds Miss Tanzania 2013, Happness Watimanywa (wa pili kushoto), akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Club ya kujisomea watoto ya ijulikanayo kwa jina la Nkema Reading Club iliyopo Kinondoni Mtaa wa Kasana jirani na Kituo kinachojengwa kwa ajli ya Mabasi ya Mwendokasi nyuma ya Sheli ya Mwanamboka katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Club hiyo, Getrude Kilyabusebu.… ...

 

9 years ago

Vijimambo

REDDS MISS TANZANIA 2015 NA MISS KENYA WATEMBELEA HOSPITALI YA CCBRT KUWAFARIJI WAGONGWA

 Miss Kenya, Idah Nguma. Redds Miss Tanzania 2015, Lilian Kamazima. Redds Miss Tanzania 2015, Lilian Kamazima (kushoto), akiwa na Miss Kenya, Idah Nguma baada ya kuwatembea wagonjwa katika hospitali hiyo.
 Mmoja wa Maofisa kutoka Taasisi ya Smile Train inayofanya kazi na Miss Kenya, Idah Nguma, Jane Ngige akizungumza na wanahabari (hawapo pichani).Redds Miss Tanzania 2015, Lilian Kamazima (kulia) na Miss Kenya,  Idah Nguma (kushoto), wakiwa na mmoja wa wadau wa Hospitali ya CCBR iliyopo...

 

10 years ago

CloudsFM

MISS TANZANIA NAMBA TATU JIHAN ALA CHAKULA NA WATOTO YATIMA

Miss Tanzania namba tatu mwaka huu,Jihan Dimack jana alitembelea kituo cha watoto yatima cha Mwana Orphanage Centre" kilichopo maeneo ya Vingunguti,jijini Dar na kula nao chakula cha mchana na kuwapa moyo wasijione kama wametengwa na jamii kwani wajione kama watoto wengine.Pia mrembo huyo alitoa msaada wa pesa kwa ajili ya shule kwa watoto hao,Jihan amekuwa mrembo wa kwanza kuanza kutoka misaada kwa jamii tangu mashindano hayo yamalizike hivi karibuni.

 

11 years ago

Michuzi

UZINDUZI REDDS MISS TANZANIA 2014

Uzinduzi wa Mashindano ya urembo ya Miss Tanzania 2014 utafanyika siku ya Alhamisi tarehe 20 Machi 2014 saa 5.00 kamili asubuhi katika hotel ya JB Belmont ukumbi wa Savannah jijini Dar es salaam.
Awali uzinduzi huu ulikuwa ufanyike sambamba na semina ya mawakala, lakini kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu, imebidi semina isogezwe mbele hadi tarehe 25 Machi 2014. 
 Mawakala waliopo jijini Dar es salaam  na wale wenye nafasi mnakaribishwa kuhudhuria uzinduzi huu. 
Natanguliza...

 

11 years ago

Michuzi

ORODHA YA MAWAKALA REDDS MISS TANZANIA 2014

Napenda kuwajulisha kwamba Semina ya Mawakala wanaoandaa mashindano ya urembo ya Redds Miss Tanzania 2014 inafanyika kesho tarehe 25 na 26 Machi 2014, katika ukumbi wa hotel ya Regency Park iliyopo Mikocheni jijini DSM.  Semina hii ambayo itajumuisha Mawakala zaidi ya 70 kutoka Kanda, Wilaya, Vyuo na Mikoa yote ya Tanzania itawapa nafasi Mawakala kujadili Mafanikio na Changamoto za mashindano haya ambayo kwa mwaka huu yanatimiza miaka 20 tangu yaanzishwe mwaka 1994.  Kwa mara nyingine...

 

10 years ago

GPL

MATUKIO YA REDDS MISS TANZANIA 2014 MLIMANI CITY DAR

  Pichani ni Washiriki waliochaguliwa kuingia kwenye hatua ya tano bora katika shindano la Redds Miss Tanzania 2014 linaloendelea hivi sasa ndani ya ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar.
Mmoja wa Washiriki waliongia katika nafasi ya tanno bora shindano la Redds Miss Tanzania 2014 wakijibu maswali mbalimbali…

 

11 years ago

Michuzi

mchakato wa kumpata “Redds Miss Tanzania 2014 wazinduliwa rasmi

 Meneja wa kinywaji cha Redd's Original Victoria kimaro akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya kuzinduliwa kwa mashindano ya Redd,s Miss Tanzania 2014
Mkurugenzi wa kampuni ya LINO International Hashi Lundenga akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya kuzinduliwa kwa mashindano ya Redd's Miss Tanzania 2014 katikakati ni meneja wa kinywaji cha Redd's Original Victoria Kimaro na mwisho ni Meneja Masoko wa kinywaji cha Redd's Original Vimal...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani