MATUKIO YA REDDS MISS TANZANIA 2014 MLIMANI CITY DAR
 Pichani ni Washiriki waliochaguliwa kuingia kwenye hatua ya tano bora katika shindano la Redds Miss Tanzania 2014 linaloendelea hivi sasa ndani ya ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar. Mmoja wa Washiriki waliongia katika nafasi ya tanno bora shindano la Redds Miss Tanzania 2014 wakijibu maswali mbalimbali…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziRedds Miss Tanzania 2014 kujulikana usiku huu Mlimani City jijini Dar
Pichani ni Washiriki waliochaguliwa kuingia kwenye hatua ya tano bora katika shindano la Redds Miss Tanzania 2014 linaloendelea hivi sasa ndani ya ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar. Mmoja wa Washiriki waliongia katika nafasi ya tanno bora shindano la Redds Miss Tanzania 2014 wakijibu maswali mbalimbali Mmoja wa wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya pichani kulia Ommy Dimpoz akitumbuiza jukwaani akiwa sambamba na msanii Vanessa Mdee mbele ya wageni waalikwa (hawapo pichani),waliofika...
10 years ago
Michuzi08 Oct
10 years ago
GPLRED CARPET YA MISS TANZANIA 2014 MLIMANI CITY
Miss Tanga ambaye pia ni Miss Reds 2007, Victoria Martin. Mtangazaji wa Kipindi cha Bongo Beats cha Star TV, Sauda Mwilima.…
10 years ago
MichuziRedd's Miss Tanzania 2014 kufanyika Mlimani City jumamosi hii
Mkurugenzi wa Kampuni ya Rino International Agency ambao ni waratibu wakuu wa Mashindano ya Miss Tanzania,Hashim Lundenga (kulia) akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo,juu ya onyesho la Redd's Miss Tanzania 2014 linalotarajiwa kufanyika Oktoba 11,2014 katika Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar.Katikati ni Meneja wa Kinywaji cha Redd's ambao ni Wadhamini Wakuu wa Mashindano hayo,Victoria Kimaro na kushoto ni Meneja Maria Stopes Tanzania,Anna Shanalingigwa.Picha zote na...
10 years ago
GPLREDD'S MISS TANZANIA 2014 KUFANYIKA MLIMANI CITY JUMAMOSI HII
Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency ambao ni waratibu wakuu wa Mashindano ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga (kulia) akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo, juu ya onyesho la Redd's Miss Tanzania 2014 linalotarajiwa kufanyika Oktoba 11, 2014 katika Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar.Katikati ni Meneja wa Kinywaji cha Redd's ambao ni Wadhamini Wakuu wa Mashindano hayo, Victoria Kimaro na kushoto ni...
10 years ago
GPLMISS TANZANIA KUFANYIKA LEO MLIMANI CITY DAR
 SHINDANO la kumsaka mrembo wa Tanzania linatarajiwa kufanyika leo, ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, ikiwa ni ruhusa kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kutupilia mbali pingamizi la mashindano hayo lililowasilishwa mahakamani na mmoja wa waanzilishi wa Miss Tanzania, Prashant Patel. Shindano hilo litashirikisha warembo zaidi ya 20 ambapo watachuana jukwaani kuwania nafasi ya...
11 years ago
Michuzi19 Mar
UZINDUZI REDDS MISS TANZANIA 2014
Uzinduzi wa Mashindano ya urembo ya Miss Tanzania 2014 utafanyika siku ya Alhamisi tarehe 20 Machi 2014 saa 5.00 kamili asubuhi katika hotel ya JB Belmont ukumbi wa Savannah jijini Dar es salaam.
Awali uzinduzi huu ulikuwa ufanyike sambamba na semina ya mawakala, lakini kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu, imebidi semina isogezwe mbele hadi tarehe 25 Machi 2014.
Mawakala waliopo jijini Dar es salaam na wale wenye nafasi mnakaribishwa kuhudhuria uzinduzi huu.
Natanguliza...
Awali uzinduzi huu ulikuwa ufanyike sambamba na semina ya mawakala, lakini kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu, imebidi semina isogezwe mbele hadi tarehe 25 Machi 2014.
Mawakala waliopo jijini Dar es salaam na wale wenye nafasi mnakaribishwa kuhudhuria uzinduzi huu.
Natanguliza...
11 years ago
MichuziORODHA YA MAWAKALA REDDS MISS TANZANIA 2014
Napenda kuwajulisha kwamba Semina ya Mawakala wanaoandaa mashindano ya urembo ya Redds Miss Tanzania 2014 inafanyika kesho tarehe 25 na 26 Machi 2014, katika ukumbi wa hotel ya Regency Park iliyopo Mikocheni jijini DSM.
Semina hii ambayo itajumuisha Mawakala zaidi ya 70 kutoka Kanda, Wilaya, Vyuo na Mikoa yote ya Tanzania itawapa nafasi Mawakala kujadili Mafanikio na Changamoto za mashindano haya ambayo kwa mwaka huu yanatimiza miaka 20 tangu yaanzishwe mwaka 1994.
Kwa mara nyingine...
11 years ago
GPLA-Z YA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2014 MLIMANI CITY JIJINI DAR
Mshindi wa tuzo saba za KTMA Diamond akikabidhiwa tuzo na staa wa filamu Bongo, Vincent Kigosi 'Ray'. ...Akikabidhiwa tuzo na mchumba wake Wema Sepetu.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania