MISS TANZANIA KUFANYIKA LEO MLIMANI CITY DAR

 SHINDANO la kumsaka mrembo wa Tanzania linatarajiwa kufanyika leo, ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, ikiwa ni ruhusa kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kutupilia mbali pingamizi la mashindano hayo lililowasilishwa mahakamani na mmoja wa waanzilishi wa Miss Tanzania, Prashant Patel. Shindano hilo litashirikisha warembo zaidi ya 20 ambapo watachuana jukwaani kuwania nafasi ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
Redd's Miss Tanzania 2014 kufanyika Mlimani City jumamosi hii

11 years ago
GPL
REDD'S MISS TANZANIA 2014 KUFANYIKA MLIMANI CITY JUMAMOSI HII
10 years ago
GPL
LEO NDIYO LEO TAMASHA LA WANAWAKE KUFANYIKA MLIMANI CITY, DAR
11 years ago
GPL
MATUKIO YA REDDS MISS TANZANIA 2014 MLIMANI CITY DAR
11 years ago
Michuzi
Redds Miss Tanzania 2014 kujulikana usiku huu Mlimani City jijini Dar



10 years ago
Dewji Blog10 Jul
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), yaandaa onesho la sites kufanyika ukumbi wa Mlimani City Oktoba Mosi jijini Dar
Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji Bodi ya Utalii Tanzania, Devotha Mdachi (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu Onesho la Sites litakalofanyika Oktoba Mosi hadi 3, 2015 Ukumbi wa Mlimani City. Kushoto ni Ofisa Mauzo Mkuu wa Shirika la Ndege la Ethiopia, Lima Dsilva na Meneja Huduma wa Shirika la Ndege la Ethiopia, Dawit Mekonnen.
Meneja Huduma za Utalii wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Philip Sebastian (wa pili kulia), akizungumza katika...
10 years ago
VijimamboBODI YA UTALII TANZANIA (TTB), YAANDAA ONESHO LA SITES KUFANYIKA UKUMBI WA MLIMANI CITY OKTOBA MOSI JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
Michuzi08 Oct
10 years ago
GPLONESHO LA SITES KUFANYIKA MLIMANI CITY, DAR