Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LEO NDIYO LEO TAMASHA LA WANAWAKE KUFANYIKA MLIMANI CITY, DAR

Tamasha la wanawake , Mlimani City  Hall Dar es salaam Tarehe: 7th March, Jumamosi Muda: Saa 10 Jioni KANSA YA KOO YA SHINGO YA UZAZI (CERVICAL CANCER) Siku ya wanawake duniani , wanawake watapimwa kansa ya koo la kizazi bure, PSI watatumia tekmologia mpya kupima hiyo kansa na kutoa ushauri Kansa ya kizazi cha shigo ni hatari sana na uambukizwa na mwenza kwa njia ya kujamihama. Kansa hii hupona iwapo tu itagundulika… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MISS TANZANIA KUFANYIKA LEO MLIMANI CITY DAR

  SHINDANO la kumsaka mrembo wa Tanzania linatarajiwa kufanyika leo, ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, ikiwa ni ruhusa kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kutupilia mbali pingamizi la mashindano hayo lililowasilishwa mahakamani na mmoja wa waanzilishi wa Miss Tanzania, Prashant Patel. Shindano hilo litashirikisha warembo zaidi ya 20 ambapo watachuana jukwaani kuwania nafasi ya...

 

10 years ago

GPL

SIKU YA MSANII YAFANA USIKU WA KUAMKIA LEO MLIMANI CITY, DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiongea jambo usiku wa kuamkia leo Mlimani City katika Siku ya Msanii. Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia akiongea na wasanii katika Siku ya Msanii.…

 

11 years ago

GPL

MAFIKIZOLO KUTUA LEO JIJINI DAR, KUFANYA MAKAMUZI KESHO MLIMANI CITY

Kundi maarufu la muziki wa Kwaito la nchini Afrika Kusini, Mafikizolo linatarajia kutua mchana huu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya onesho moja tu linalotarajia kufanyika katika ukumbi wa Mlimani City, kesho, Jumamosi Aprili 5 mwaka huu. Mafikizolo imekuwa na rekodi nzuri ya kushinda kwenye tuzo mbalimbali za muziki, kutokana na kupiga muziki na kucheza kwa umahiri, hasa mtindo wao maarufu wa Kwaito. Kundi hilo linaloundwa na...

 

10 years ago

GPL

ONESHO LA SITES KUFANYIKA MLIMANI CITY, DAR

Meneja Huduma wa Shirika la Ndege la Ethiopia, Dawit Mekonnen (wa pili kushoto) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Kushoto ni Ofisa Mauzo Mkuu wa shirika hilo, Lima Dsilva (kushoto), Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji Bodi ya Utalii Tanzania, Devotha Mdachi (katikati) na Meneja Huduma wa Utalii, Philip Chitaunga.  Viongozi hao wakisikiliza maswali kwa… ...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014 LEO NDIYO LEO TAIFA

Ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu kubwa, hatimaye imewadia ambapo leo (Agosti 8, 2014) tamasha kubwa la Usiku wa Matumaini litatingisha kinomanoma ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, burudani ya nguvu ikitarajiwa kuongozwa na mkali wa songi la Johnny, Yemi Alade kutoka nchini Nigeria. Ali Kiba. ALLY KIBA
“Kwa mara ya kwanza, nitapanda jukwaa la Uwanja wa Taifa kuweka historia mpya. Nitagonga kali kama...

 

10 years ago

Michuzi

SIKU YA MSANII KUFANYIKA OKTOBA 25 MLIMANI CITY JIJINI DAR

Ofisa Uhusiano wa Siku Ya Msanii, Peter Mwendapole akizungumza katika mkutanoa na waandishi wa habari kuhusu wasanii watakaotumbuiza kwenye Tamasha la Siku Ya Msanii Jumamosi Ijayo Oktoba 25,2014 katika ukumbi wa Mlimani city jijini Dar. wengine Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Chama Cha Madensa Tanzania, Super Nyamwela, Ahmed Ahmed wa Ako Mpiluka Band, Isha Ramadhan 'Mashauzi' kutoka Mashauzi Classic, Mkurugenzi wa Haak Neel Production, Godfrey Katula na Mwanamuziki John Kitime wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Siku ya msanii kufanyika Jumamosi ijayo Mlimani City Jijini Dar

PICHA 1

Ofisa Uhusiano wa Siku ya Msanii Tanzania (SYM), Bw. Peter Mwendapole akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Siku ya Msanii Tanzania itakayofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City siku ya tarehe 25 Oktoba, 2014 jijini Dar es Salaam.

Na Beatrice Lyimo- Maelezo.

KAMATI ya Siku ya Msanii Tanzania (SYM) imetangaza rasmi majina ya wasanii watakaotumbuiza katika maadhimisho ya siku hiyo itakayofanyika Oktoba 25 mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City uliopo jijini Dar Es Salaam.

Akizingumza na...

 

11 years ago

Michuzi

George kavishe azungumzia maandalizi ya Kilimanjaro Tanzania music Awards (KTMA) 2014 yanayofanyika leo mlimani City jijini Dar es salaam

Meneja wa kilaji cha Kilimanjaro Lager wa TBL Bw. George Kavishe azungumzia maandalizi ya Tuzo za Kili Music Awards zitazotolewa leo May 3, 2014 kuanzia saa tatu usiku katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani