SIKU YA MSANII YAFANA USIKU WA KUAMKIA LEO MLIMANI CITY, DAR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiongea jambo usiku wa kuamkia leo Mlimani City katika Siku ya Msanii. Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia akiongea na wasanii katika Siku ya Msanii.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLSIKU YA MSANII MLIMANI CITY WAFANA SANA USIKU HUU
10 years ago
Dewji Blog22 Mar
Show ya #MBAR2015 Eleganza yafana Dar es Salaam Serena usiku wa kuamkia leo
Meneja Masoko wa CFAO Motors ltd. Sheikha Said (wa pili kulia) akitoa maelezo ya vijarida vya matoleo mapya ya magari aina ya Mercedes Benz kwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (kushoto). Kulia ni Sales Representative wa CFAO Motors Ltd. Edwick Mwamba.
Sales Representative wa Kampuni ya CFAO Motors Ltd. Edwick Mwamba akizungumza jambo na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (kushoto) alipotembelea meza ya Mercedes Benz magari yanayouzwa na kampuni ya CFAO...
11 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS AHUTUBIA WASANII KWENYE MADHIMISHO YA SIKU YA MSANII MLIMANI CITY JANA USIKU OCTOBA 25-2014
11 years ago
MichuziSIKU YA MSANII KUFANYIKA OKTOBA 25 MLIMANI CITY JIJINI DAR
11 years ago
GPL27 Oct
11 years ago
Dewji Blog20 Oct
Siku ya msanii kufanyika Jumamosi ijayo Mlimani City Jijini Dar
Ofisa Uhusiano wa Siku ya Msanii Tanzania (SYM), Bw. Peter Mwendapole akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Siku ya Msanii Tanzania itakayofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City siku ya tarehe 25 Oktoba, 2014 jijini Dar es Salaam.
Na Beatrice Lyimo- Maelezo.
KAMATI ya Siku ya Msanii Tanzania (SYM) imetangaza rasmi majina ya wasanii watakaotumbuiza katika maadhimisho ya siku hiyo itakayofanyika Oktoba 25 mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City uliopo jijini Dar Es Salaam.
Akizingumza na...
11 years ago
GPLMAFIKIZORO WAFUNIKA MLIMANI CITY JIJINI DAR USIKU HUU
10 years ago
Vijimambo
Mugendi Zoka ameremeta na Winnie usiku Mlimani City Dar-es-Salaam.

11 years ago
GPLYAMOTO BAND YAZINDULIWA RASMI DAR LIVE USIKU WA KUAMKIA LEO