Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mugendi Zoka ameremeta na Winnie usiku Mlimani City Dar-es-Salaam.

Pichani Bw.Harusi Bw. Mugendi Zoka akiwa na Bw. Suleiman Saleh, Afisa mwenzake katika Ubalozi wa Tanzania Washington DC,Marekani, mara baada ya kumalizika kwa hafla yao iliyofanyika Mlimani City, Dar-es-Salaam,Tanzania siku ya Jumamosi Julai 4, 2015, ambapo mgeni rasmi alikuwa Mheshimiwa Frederick Sumaye,Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Katika hafla hiyo wageni wengine walikuwa ni Mama Tunu Mizengo Pinda,Mke wa Mhe.Mizengo Pinda,Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAFIKIZORO WAFUNIKA MLIMANI CITY JIJINI DAR USIKU HUU

Wakali wa kundi la mafikizoro usiku huu wanaendelea na kukamua na burudani ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, Nyomi ya watu imefurika ukumbini hapo kuwashuhudia wakali hawa wa mafikizoro.…

 

10 years ago

GPL

SIKU YA MSANII YAFANA USIKU WA KUAMKIA LEO MLIMANI CITY, DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiongea jambo usiku wa kuamkia leo Mlimani City katika Siku ya Msanii. Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia akiongea na wasanii katika Siku ya Msanii.…

 

10 years ago

GPL

USIKU WA ZARI ALL WHITE PARTY ULIVYOFANA NDANI YA MLIMANI CITY JIJINI DAR

Diamond Platnumz akimbusu mpenzi wake Zari katika usiku wa Zari All White Party ndani ya Mlimani City usiku huu. Zari na Diamond katika pozi ndani ya Mlimani City. Zari na Diamond wakati wakiingia ukumbini usiku huu. (PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS /…

 

10 years ago

Michuzi

Redds Miss Tanzania 2014 kujulikana usiku huu Mlimani City jijini Dar

 Pichani ni Washiriki waliochaguliwa kuingia kwenye hatua ya tano bora katika shindano la Redds Miss Tanzania 2014 linaloendelea hivi sasa ndani ya ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar. Mmoja wa Washiriki waliongia katika nafasi ya tanno bora shindano la Redds Miss Tanzania 2014 wakijibu maswali mbalimbali Mmoja wa wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya pichani kulia Ommy Dimpoz akitumbuiza jukwaani akiwa sambamba na msanii Vanessa Mdee mbele ya wageni waalikwa (hawapo pichani),waliofika...

 

10 years ago

Michuzi

DKT SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI CANADA Jack Mugendi Zoka

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mpya wa Tanzania Nchini Canada Jack Mugendi Zoka alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha  kwa Rais baada ya kuteuliwa rasmi. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mpya wa Tanzania Nchini Canada Jack Mugendi Zoka aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha  kwa Rais baada ya kuteuliwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...

 

10 years ago

Michuzi

Jack Mugendi Zoka ateuliwa kuwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Bw. Jack Mugendi Zoka (pichani) kuwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada.
Bw. Zoka anajaza nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Alex Masinda, ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria. Kabla ya uteuzi huu, Bw. Zoka alikuwa Ofisa Mwandamizi Ofisi ya Rais Ikulu.
IMETOLEWA NAKATIBU MKUUWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFADar es Salaam,Septemba 30, 2014

 

10 years ago

Michuzi

JK ALIPOAGWA RASMI NA WASANII WA FANI MBALIMBALI MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM


  JK akipata picha na Mgombea Ubunge Moshi Mjini Davies Mosha na mwendesha talk show Mboni Mashimba kwenye hafla ya Wasanii wa fani mbalimbali ya kumuaga usiku wa Alhamisi Agosti 6, 2015 JK akisalimiana na msani Cassim Mganga Ommy Dimples akipata selfie na JK Wasanii wakipata selfie na JK Kila msanii aliomba selfie na JK Selfie kila meza na JK hakufanya hiyana JK akipata selfie toka kwa Salma Jabir na Madame Rita
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

GPL

JK ALIPOAGWA RASMI NA WASANII WA FANI MBALIMBALI MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM‏

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni  Mhe Paul Makonda alipowasili katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambako Wasani wa fani mbalimbali waliandaa hafla rasmi ya kumuaga usiku wa Alhamisi Agosti 6, 2015…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani