Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK ALIPOAGWA RASMI NA WASANII WA FANI MBALIMBALI MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM‏

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni  Mhe Paul Makonda alipowasili katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambako Wasani wa fani mbalimbali waliandaa hafla rasmi ya kumuaga usiku wa Alhamisi Agosti 6, 2015…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JK ALIPOAGWA RASMI NA WASANII WA FANI MBALIMBALI MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM


  JK akipata picha na Mgombea Ubunge Moshi Mjini Davies Mosha na mwendesha talk show Mboni Mashimba kwenye hafla ya Wasanii wa fani mbalimbali ya kumuaga usiku wa Alhamisi Agosti 6, 2015 JK akisalimiana na msani Cassim Mganga Ommy Dimples akipata selfie na JK Wasanii wakipata selfie na JK Kila msanii aliomba selfie na JK Selfie kila meza na JK hakufanya hiyana JK akipata selfie toka kwa Salma Jabir na Madame Rita
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA: JK ALIPOAGWA RASMI NA WASANII WA FANI MBALIMBALI MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni  Mhe Paul Makonda alipowasili katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambako Wasani wa fani mbalimbali waliandaa hafla rasmi ya kumuaga usiku wa Alhamisi Agosti 6, 2015  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Mhe. John Pombe Magufuli alipowasili katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambako Wasani wa fani mbalimbali waliandaa hafla rasmi ya kumuaga usiku wa Alhamisi...

 

9 years ago

Michuzi

FILAMU MPYA 'GOING BONGO' KUZINDULIWA RASMI IJUMAA CENTURY CINEMAX MLIMANI CITY JIJINI DAR

FILAMU mpya inayokwenda kwa jina la ‘Going Bongo’ ambayo iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa filamu ndani na na nje ya nchi  imekamilika  sasa kuzinduzliwa rasmi kesho  Ijumaa kwenye ukumbi wa sinema wa Century Cinemax uliopo Mlimani City, Jijini Dar es Salaam. 
Akizungumza jijini Dar es Salaam kuhusu uzinduzi huo mtunzi na muandishi ambaye pia ameisimamia  katika kuitengeneza na kuigiza filamu hiyo, Ernest Napoleon alisema, 
“Naamini kuonyeshwa kwa filamu hii kutaandika historia...

 

10 years ago

Vijimambo

BODI YA UTALII TANZANIA (TTB), YAANDAA ONESHO LA SITES KUFANYIKA UKUMBI WA MLIMANI CITY OKTOBA MOSI JIJINI DAR ES SALAAM

Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji Bodi ya Utalii Tanzania, Devotha Mdachi (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu Onesho la Sites litakalofanyika Oktoba Mosi hadi 3, 2015 Ukumbi wa Mlimani City. Kushoto ni Ofisa Mauzo Mkuu wa Shirika la Ndege la Ethiopia, Lima Dsilva na  Meneja Huduma wa Shirika la Ndege la Ethiopia, Dawit Mekonnen.  Meneja Huduma za Utalii wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Philip Sebastian (wa pili kulia), akizungumza katika mkutano...

 

11 years ago

GPL

GEORGE KAVISHE AZUNGUMZIA MAANDALIZI YA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS (KTMA) 2014 YANAYOFANYIKA LEO MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM

Meneja wa kilaji cha Kilimanjaro Lager wa TBL Bw. George Kavishe azungumzia maandalizi ya Tuzo za Kili Music Awards zitazotolewa leo May 3, 2014 kuanzia saa tatu usiku katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.

 

11 years ago

Michuzi

George kavishe azungumzia maandalizi ya Kilimanjaro Tanzania music Awards (KTMA) 2014 yanayofanyika leo mlimani City jijini Dar es salaam

Meneja wa kilaji cha Kilimanjaro Lager wa TBL Bw. George Kavishe azungumzia maandalizi ya Tuzo za Kili Music Awards zitazotolewa leo May 3, 2014 kuanzia saa tatu usiku katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani