Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MPIGANAJI EDSON KAMUKARA ALIPOAGWA RASMI KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB JIJINI DAR ES SALAAN JUMAMOSI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mamia wajitokeza viwanja vya Leaders Club Jijini Dar kumuaga Mhariri Edson Kamukara

Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mhariri wa Kampuni ya Mwanahalisi, Edson Kamukara wakati ulipowasili viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam jana asubuhi, kwa ajili ya kuagwa. Kamukara alifariki dunia juzi na mazishi yake yanatarajia kufanyika nyumbani kwao Muleba mkoani Kagera.

Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Reginald Mengi (katikati), akiwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk.Wilibrod Slaa kwenye...

 

10 years ago

GPL

MAMIA WAJITOKEZA VIWANJA VYA LEADERS CLUB JIJINI DAR ES SALAAM KUMUAGA MHARIRI EDSON KAMUKARA

 Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mhariri wa Kampuni ya Mwanahalisi, Edson Kamukara wakati ulipowasili viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam leo asubuhi, kwa ajili ya kuagwa. Kamukara alifariki dunia juzi na mazishi yake yanatarajia kufanyika nyumbani kwao Muleba mkoani Kagera.…

 

10 years ago

Michuzi

mpiganaji Edson Kamukara afariki dunia


Mhariri  wa Mwana Halisi Online, Edson Kamukara (pichani), amefariki Dunia kwa ajali ya moto nyumbani kwake Mabibo jijini Dar es Salaam leo hii majira ya saa moja kasorobo jioni, baada ya kulipukiwa na jiko la gesi, habari zilizotufikia sasa hivi zinasema kuwa Polisi wameuchukua mwili wa marehemu na kwenda kuhifadhi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya uchunguzi wa kifo chake.


Ofisa Uhusiano wa NMB, Viccent Mnyanyika akimkabidhi zawadi marehemu Edson Kamukara wakati wa uhai wake...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tamasha la magari kufanyika tarehe 27 na 28 September, 2014 katika viwanja vya Leaders Club

1

Afisa Fedha Mkuu wa Milembe Insurance Bw. Dioniz Diocles akiongea na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu Tamasha la magari linalotarajiwa kufanyika tarehe 27 na 28 September, 2014 katika viwanja vya Leaders Club Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ja JAST Tanzania Limited Bw. Jau Kessy.

2

Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ja JAST Tanzania Limited Bw. Jau Kessy akiongea na waandishi wa habari kuhusu Tamasha la magari linalotarajiwa kufanyika tarehe 27 na 28 September,...

 

9 years ago

Michuzi

TAMASHA LA KUELEKEA KUMBUKUMBU YA SIKU YA MTOTO NJITI DUNIANI LAANZA LEO KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUBU JIJINI DAR ES SALAAM

 Sehem ya wadau mbali mbali na wanchi walio fika katika  tamasha la kuelekea kumbukumbu ya siku ya mtoto njiti Duniani leo katika viwanja vya Leaders Clubu jijini Dar es Salaam Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe Paul Makonda,  akizungumza na wananchi juu ya Serikali itaendelea kushirikiana na wadau mbali mbali ili kuhakikisha watoto njiti wanapata huduma stahiki katika mazingira rafiki ili waweze kuishi kama watoto wengine katika tamasha la kuelekea kumbukumbu ya siku ya mtoto njiti Duniani...

 

11 years ago

Michuzi

SAFARI YA MWISHO YA MUIGIZAJI WA FILAMU,MAREHEMU ADAM KUAMBIANA KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB HIVI SASA

 Shughuli ya kuaga mwili wa aliekuwa muigizaji na muongozaji wa filamu hapa nchini,Marehemu Adam Kuambiana inaendelea hivi sasa kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.Marehemu kuambiana anatarajiwa kuzikwa leo hii kwenye Makaburi ya Kinondoni hapa hapa jijini Dar.




BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani