Tamasha la magari kufanyika tarehe 27 na 28 September, 2014 katika viwanja vya Leaders Club
Afisa Fedha Mkuu wa Milembe Insurance Bw. Dioniz Diocles akiongea na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu Tamasha la magari linalotarajiwa kufanyika tarehe 27 na 28 September, 2014 katika viwanja vya Leaders Club Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ja JAST Tanzania Limited Bw. Jau Kessy.
Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ja JAST Tanzania Limited Bw. Jau Kessy akiongea na waandishi wa habari kuhusu Tamasha la magari linalotarajiwa kufanyika tarehe 27 na 28 September,...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTamasha La kwanza la The Nyama Choma Festival kwa mwaka 2015 Kufanyika Leaders Club Jumamosi Tarehe 7 February.
TNCF imesogeza mbele ratiba yake kutoka March hadi February kuheshimu kipindi cha Kwa Resma Kwa Jumuiya ya Wakristo.Tamasha hili kwa Dar es Salaam litafanyika mara 3 tu kwa mwaka kuanzia mwaka huu na sio Mara 4 kama ilivyozoeleka ili kulipa nafasi kufanyika mikoa na nchi nyingine za Afrika Mashariki.
11 years ago
Michuzi7th Auto Fest 2014 CALLING EXHIBITORS "Tanzania's Premier Automotive Event" Tarehe 19 - 21 September '14 , Viwanja vya BAIFRA Kinondoni
Kwa mara ya 7 mfululizo AUTOFEST sasa imekuja na mashamsham kabambe kwa wadau wote wa magari. Maonyesho haya yatahusisha- wauzaji magari - Vipuri vya magari- watoa huduma shirikishi (Bima , Bank,n.k)- Kwa upande wa Michezo Zawadi zakumwaga bila kusahau 4 x 4 challenge , Norinda (Drifts). - V.I.P lounge na Nyama Choma Kama kawaida
UNAKARIBISHWA KUCHUKUA NAFASI YAKO MAPEMA KAMA UNAHUSIKA NA:Commercial Vehicles 4 WD'sTransportation VehiclesMotorcycles & ScootersAuto Spare PartsTyres &...
UNAKARIBISHWA KUCHUKUA NAFASI YAKO MAPEMA KAMA UNAHUSIKA NA:Commercial Vehicles 4 WD'sTransportation VehiclesMotorcycles & ScootersAuto Spare PartsTyres &...
10 years ago
Michuzi10 years ago
Michuzi11 years ago
MichuziSAFARI YA MWISHO YA MUIGIZAJI WA FILAMU,MAREHEMU ADAM KUAMBIANA KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB HIVI SASA
Shughuli ya kuaga mwili wa aliekuwa muigizaji na muongozaji wa filamu hapa nchini,Marehemu Adam Kuambiana inaendelea hivi sasa kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.Marehemu kuambiana anatarajiwa kuzikwa leo hii kwenye Makaburi ya Kinondoni hapa hapa jijini Dar.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
Michuzi9 years ago
MichuziTAMASHA LA KUELEKEA KUMBUKUMBU YA SIKU YA MTOTO NJITI DUNIANI LAANZA LEO KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUBU JIJINI DAR ES SALAAM
Sehem ya wadau mbali mbali na wanchi walio fika katika tamasha la kuelekea kumbukumbu ya siku ya mtoto njiti Duniani leo katika viwanja vya Leaders Clubu jijini Dar es Salaam Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe Paul Makonda, akizungumza na wananchi juu ya Serikali itaendelea kushirikiana na wadau mbali mbali ili kuhakikisha watoto njiti wanapata huduma stahiki katika mazingira rafiki ili waweze kuishi kama watoto wengine katika tamasha la kuelekea kumbukumbu ya siku ya mtoto njiti Duniani...
11 years ago
GPLVODACOM EXPO LAANZA VIWANJA VYA LEADERS CLUB
Jukwaa la Vodacom expo. Matina Nkurlu, Meneja uhusiano wa Vodacom Tanzania akijadiliana jambo na mwenzie.…
11 years ago
GPLMWILI WA MSANII KUAMBIANA WAAGWA VIWANJA VYA LEADERS CLUB
Mwili wa marehemu ukiwasili kwenye viwanja vya Leaders tayari kwa kuagwa Jeneza likiwa sehemu maalum ya kuagia (PICHA NA…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania