TAMASHA LA KUELEKEA KUMBUKUMBU YA SIKU YA MTOTO NJITI DUNIANI LAANZA LEO KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUBU JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://3.bp.blogspot.com/-oOSKmH33lKc/Vj98MB0DFkI/AAAAAAAIE5o/me3VaH6VHN8/s72-c/unnamed%2B%252817%2529.jpg)
Sehem ya wadau mbali mbali na wanchi walio fika katika tamasha la kuelekea kumbukumbu ya siku ya mtoto njiti Duniani leo katika viwanja vya Leaders Clubu jijini Dar es Salaam
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe Paul Makonda, akizungumza na wananchi juu ya Serikali itaendelea kushirikiana na wadau mbali mbali ili kuhakikisha watoto njiti wanapata huduma stahiki katika mazingira rafiki ili waweze kuishi kama watoto wengine katika tamasha la kuelekea kumbukumbu ya siku ya mtoto njiti Duniani...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog17 Nov
Siku ya Mtoto Njiti Duniani: Huduma za gharama nafuu zenye ufanisi katika kuzuia vifo vya watoto njiti Tanzania, inasema UNICEF na wadau wengine
World Prematurity Day press release – SWA FINAL Nov 17 2014.docx by moblog
9 years ago
MichuziMAADHIMISHO YA SIKU YA MTINDIO WA UBONGO DUNIANI KITAIFA YAFANYIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM
Na Dotto MwaibaleWAKUU wa Shule mbalimbali wametakiwa...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-O3uRP5vH3Nw/VEvTPd-wOsI/AAAAAAAGtX8/DwJwOsJGljo/s72-c/unnamed%2B(84).jpg)
Maadhimisho ya siku ya mtoto wa kichwa kikubwa na mgongo wazi duniani yafanyika leo jijini Dar es salaam.
![](http://3.bp.blogspot.com/-O3uRP5vH3Nw/VEvTPd-wOsI/AAAAAAAGtX8/DwJwOsJGljo/s1600/unnamed%2B(84).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-14CSpDCHKPE/VEvTQL1ZBwI/AAAAAAAGtYU/cuSwBhMRYxg/s1600/unnamed%2B(85).jpg)
9 years ago
Dewji Blog09 Oct
Siku ya Posta Duniani kuadhimishwa leo katika ofisi TCRA jijini Dar es Salaam
Ofisa Uhusiano wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Joseph Ngowi, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam , kuhusu maadhimisho ya Siku ya Posta duniani, inayoadhimishwa, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) jijini, kabla ya kumkaribisha Meneja Masoko wa shirika hilo, David George (kulia) kuzungumza masuala mbalimbali yanayohusu maadhimisho ya siku hiyo, leo jijini Dar.
Meneja Masoko wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), David George, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es...
9 years ago
Dewji Blog09 Oct
Siku ya Posta Duniani kuadhimishwa leo katika ofisi za TCRA jijini Dar es Salaam
Ofisa Uhusiano wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Joseph Ngowi, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam , kuhusu maadhimisho ya Siku ya Posta duniani, inayoadhimishwa, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) jijini, kabla ya kumkaribisha Meneja Masoko wa shirika hilo, David George (kulia) kuzungumza masuala mbalimbali yanayohusu maadhimisho ya siku hiyo, leo jijini Dar.
Meneja Masoko wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), David George, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es...
10 years ago
MichuziMAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMA KATIKA VIWANJA VYA MNAZIMMOJA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
11 years ago
MichuziMSD YASHIRIKI MAONESHO YA KITAIFA YA SIKU YA MALARIA DUNIANI KATIKA HOTELI YA HYATT JIJINI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
VijimamboBOHARI YA DAWA (MSD) YASHIRIKI MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
GPLMAMIA WAJITOKEZA VIWANJA VYA LEADERS CLUB JIJINI DAR ES SALAAM KUMUAGA MHARIRI EDSON KAMUKARA