Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMIA WAJITOKEZA VIWANJA VYA LEADERS CLUB JIJINI DAR ES SALAAM KUMUAGA MHARIRI EDSON KAMUKARA

 Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mhariri wa Kampuni ya Mwanahalisi, Edson Kamukara wakati ulipowasili viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam leo asubuhi, kwa ajili ya kuagwa. Kamukara alifariki dunia juzi na mazishi yake yanatarajia kufanyika nyumbani kwao Muleba mkoani Kagera.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mamia wajitokeza viwanja vya Leaders Club Jijini Dar kumuaga Mhariri Edson Kamukara

Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mhariri wa Kampuni ya Mwanahalisi, Edson Kamukara wakati ulipowasili viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam jana asubuhi, kwa ajili ya kuagwa. Kamukara alifariki dunia juzi na mazishi yake yanatarajia kufanyika nyumbani kwao Muleba mkoani Kagera.

Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Reginald Mengi (katikati), akiwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk.Wilibrod Slaa kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

MAMIA YAMUAGA MWANDISHI KAMUKARA JIJINI DAR ES SALAAM LEO.

Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii MAMIA wamejitokeza katika kuaga mwili wa aliyekuwa Mhariri wa Mawio na Mwanahalisi online  ,Edson Kamukara aliyefariki mwishoni wiki na anatarajiwa kuzikwa  Juni 29 mkoani Kagera. Wakizungumza wakati wa kuaga kwa aliyekuwa Mhariri wa Mawio na Mwanahalisi online  ,Edson Kamukara  wamesema ni pigo kwa tasnia ya habari kutokana na kuwa na kusimamia kitu anachoamini kwa kuzingatia maadili ya uandishi wa habari .
Akizungumza juu ya kifo chake ,Mwenyekiti wa...

 

10 years ago

Vijimambo

ALIYEKUWA MHARIRI WA KAMPUNI YA MWANAHALISI, EDSON KAMUKARA KIJIJINI AZIKWA BUKOBA


Na Faustine Ruta, Bukoba.Mwili wa aliyekuwa Mhariri wa Kampuni ya Mwanahalisi, Edson Salvatory Kamukara aliyefariki alhamisi ya wiki iliyopita jijini Dar es Salaam umezikwa leo Nyumbani kwao Muleba mkoani Kagera katika Kijiji cha Ihangiro kitongoji cha Bukujungu na kuagwa na mamia ya waombolezaji.Marehemu Edson alizaliwa 27,03.1980 na kufariki wiki iliyopita juni 25, 2015 na amezikwa jana Jumatatu juni 29, 2015. Marehemu walizaliwa Mapacha na ameacha Pacha mwenzake Edda na  ameacha Mtoto...

 

10 years ago

Michuzi

MAMIA YA WAUGUZI DAR ES SALAAM NA BAADHI YA MIKOA WAJITOKEZA KUMUAGA OFISA MKUU WA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII MAREHEMU CLAVERY MPANDANA

Sehemu ya Wauguzi wa Jijini Dar es Salaam na wale wa kutoka mikoa ya jirani wakiwa wamejumuika pamoja kuongoza jeneza lenye mwili wa aliyekuwa  Ofisa Muuguzi Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Clavery Mpandana,aliefariki dunia hivi karibuni katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kabla ya kwenda kuzikwa kwenye makaburi ya Kinondoni,jijini Dar es salaam. Mkurugenzi wa Uuguzi Agnes Mtawa, (kushoto ) akiwa anaanzisha wimbo katika kumuaga  Ofisa Muuguzi Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa...

 

9 years ago

Michuzi

TAMASHA LA KUELEKEA KUMBUKUMBU YA SIKU YA MTOTO NJITI DUNIANI LAANZA LEO KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUBU JIJINI DAR ES SALAAM

 Sehem ya wadau mbali mbali na wanchi walio fika katika  tamasha la kuelekea kumbukumbu ya siku ya mtoto njiti Duniani leo katika viwanja vya Leaders Clubu jijini Dar es Salaam Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe Paul Makonda,  akizungumza na wananchi juu ya Serikali itaendelea kushirikiana na wadau mbali mbali ili kuhakikisha watoto njiti wanapata huduma stahiki katika mazingira rafiki ili waweze kuishi kama watoto wengine katika tamasha la kuelekea kumbukumbu ya siku ya mtoto njiti Duniani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani