Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMIA YA WAUGUZI DAR ES SALAAM NA BAADHI YA MIKOA WAJITOKEZA KUMUAGA OFISA MKUU WA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII MAREHEMU CLAVERY MPANDANA

Sehemu ya Wauguzi wa Jijini Dar es Salaam na wale wa kutoka mikoa ya jirani wakiwa wamejumuika pamoja kuongoza jeneza lenye mwili wa aliyekuwa  Ofisa Muuguzi Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Clavery Mpandana,aliefariki dunia hivi karibuni katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kabla ya kwenda kuzikwa kwenye makaburi ya Kinondoni,jijini Dar es salaam. Mkurugenzi wa Uuguzi Agnes Mtawa, (kushoto ) akiwa anaanzisha wimbo katika kumuaga  Ofisa Muuguzi Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII WAFANYA USAFI MAENEO MBALIMBALI JIJINI DAR ES SALAAM

Mvuvi Waziri Mfaume ambaye ni mkazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam alikutwa na mpiga picha leo akishimba shimo kwa ajili ya kuhifadhia uchafu kandokando ya barabara ya Barrack Obama ambayo zamani ilifahamika kwa jina la barabara ya bahari (Ocean Road). Anayeonekana akifagia eneo hilo ni Mama Chiku Hamadi Mkazi wa Mwananyamala. Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wakifanya usafi wa mazingira leo katika soko la samaki la Feri ikiwa ni kutekeleza agizo la Mhe. Rais...

 

10 years ago

GPL

MAMIA WAJITOKEZA VIWANJA VYA LEADERS CLUB JIJINI DAR ES SALAAM KUMUAGA MHARIRI EDSON KAMUKARA

 Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mhariri wa Kampuni ya Mwanahalisi, Edson Kamukara wakati ulipowasili viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam leo asubuhi, kwa ajili ya kuagwa. Kamukara alifariki dunia juzi na mazishi yake yanatarajia kufanyika nyumbani kwao Muleba mkoani Kagera.…

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII DKT. SEIF RASHID AFUNGUA MKUTANO WA MADAKTARI DAR ES SALAAM LEO

  Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Ajali na Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI), Dk. Othman Kiloloma akizungumza na wandishi wa habari (pichani hawapo), katika mkutano wa nne wa mafunzo ya upasuaji wa ubongo , uti wa mgongo na mishipa ya fahamu Dar es Salaam leo. Mkutano huo ulifunguliwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Seif Rashid, unao endelea hadi Mei 15-2015. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)Aliyekuwa Mkurugenzi wa Tiba MOI, Dk. Abednego Kinasha akitoa...

 

9 years ago

Vijimambo

WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII YAZINDUA MFUMO WA UTUNZAJI WA TAARIFA ZA VITUO VYA AFYA TANZANIA BARA

 Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Donan Mmbando (kulia), akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa mfumo wa taarifa ya vituo vya afya nchini uliofanyika Dar es Salaam leo asubuhi. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Tehama wa   wizara hiyo, Hermes Rulagirwa na Ofisa wa Tehama, Kenani Mwansasu. Hapa ni kupongezana baada ya uzinduzi huo.
 Mkuu wa Kitengo cha Tehama wa   wizara hiyo, Hermes Rulagirwa (kulia), akizungumza na wanahabari. Wadau mbalimbali wa sekta ya Afya wakiwa kwenye...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii someni hapa

SIKU zote Watanzania tumekuwa tukiamini kwamba maendeleo ya taifa letu hili bado ni duni sana. Pamoja na kilio chetu hiki cha uhaba wa maendeleo, leo nataka nizungumzie ugonjwa hatari wa saratani...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mamia wajitokeza viwanja vya Leaders Club Jijini Dar kumuaga Mhariri Edson Kamukara

Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mhariri wa Kampuni ya Mwanahalisi, Edson Kamukara wakati ulipowasili viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam jana asubuhi, kwa ajili ya kuagwa. Kamukara alifariki dunia juzi na mazishi yake yanatarajia kufanyika nyumbani kwao Muleba mkoani Kagera.

Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Reginald Mengi (katikati), akiwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk.Wilibrod Slaa kwenye...

 

9 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII WATOA TAARIFA YA UGONJWA WA KIPINDUPINDU

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Donan Mmbando akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya Mlipuko wa Ugonjwa wa kipindupindu uliopo sasa ulianza mnamo 15 Agosti 2015, katika Manispaa ya Kinondoni na baadae kusambaa katika Manispaa zote za Mkoa wa Dar es Salaam leo jijini Dar es Salaam.  Waandishi  wa habari wakimsikiliza  Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Donan Mmbando, leo jijini Dar es SalaamWadau mbalimbali wakiwa katika mkutano huo leo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani