Mamia wajitokeza viwanja vya Leaders Club Jijini Dar kumuaga Mhariri Edson Kamukara
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mhariri wa Kampuni ya Mwanahalisi, Edson Kamukara wakati ulipowasili viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam jana asubuhi, kwa ajili ya kuagwa. Kamukara alifariki dunia juzi na mazishi yake yanatarajia kufanyika nyumbani kwao Muleba mkoani Kagera.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Reginald Mengi (katikati), akiwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk.Wilibrod Slaa kwenye...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMAMIA WAJITOKEZA VIWANJA VYA LEADERS CLUB JIJINI DAR ES SALAAM KUMUAGA MHARIRI EDSON KAMUKARA
 Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mhariri wa Kampuni ya Mwanahalisi, Edson Kamukara wakati ulipowasili viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam leo asubuhi, kwa ajili ya kuagwa. Kamukara alifariki dunia juzi na mazishi yake yanatarajia kufanyika nyumbani kwao Muleba mkoani Kagera.…
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
10 years ago
VijimamboALIYEKUWA MHARIRI WA KAMPUNI YA MWANAHALISI, EDSON KAMUKARA KIJIJINI AZIKWA BUKOBA
10 years ago
Michuzi
10 years ago
MichuziMAMIA YAMUAGA MWANDISHI KAMUKARA JIJINI DAR ES SALAAM LEO.
Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii MAMIA wamejitokeza katika kuaga mwili wa aliyekuwa Mhariri wa Mawio na Mwanahalisi online ,Edson Kamukara aliyefariki mwishoni wiki na anatarajiwa kuzikwa Juni 29 mkoani Kagera. Wakizungumza wakati wa kuaga kwa aliyekuwa Mhariri wa Mawio na Mwanahalisi online ,Edson Kamukara wamesema ni pigo kwa tasnia ya habari kutokana na kuwa na kusimamia kitu anachoamini kwa kuzingatia maadili ya uandishi wa habari .
Akizungumza juu ya kifo chake ,Mwenyekiti wa...
Akizungumza juu ya kifo chake ,Mwenyekiti wa...
11 years ago
GPLMAMIA WAMUAGA MAREHEMU ADAM KUAMBIANA VIWANJA VYA LEADERS
Jeneza lenye mwili wa marehemu Adam Kuambiana likiwa mbele ya waombolezaji. Shilole (kulia) akiwa na baadhi ya waombolezaji.…
10 years ago
MichuziMAMIA YA WAUGUZI DAR ES SALAAM NA BAADHI YA MIKOA WAJITOKEZA KUMUAGA OFISA MKUU WA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII MAREHEMU CLAVERY MPANDANA
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania