YAMOTO BAND YAZINDULIWA RASMI DAR LIVE USIKU WA KUAMKIA LEO
Dogo Aslay akiwapagawisha mashabiki wakati wa uzinduzi rasmi wa Yamoto Band. Mashabiki wakiwa…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLYAMOTO BAND YAZINDULIWA RASMI DAR LIVE USIKU HUU
11 years ago
GPLKANUMBA FOUNDATION YAZINDULIWA USIKU WA KUAMKIA LEO DAY DAR LIVE
10 years ago
GPLTWANGA PEPETA WAKIWASHA MOTO KATIKA UZINDUZI WA YAMOTO BAND NDANI YA DAR LIVE USIKU HUU
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Yamoto Band Hakukaliki Dar Live Leo
HAKAI mtu! Unaweza sema kwa maana nyingine wakati bendi inayokimbiza mjini, Yamoto leo (Desemba 19), itakapoporomosha ngoma mpya na zote zinazobamba ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar.
Akizungumza na kona ya Muziki wa Dansi, Mohamed Seif ‘Mudy K’ alisema kuwa kwa mara ya kwanza baada ya kubamba na Ngoma ya Cheza kwa Madoido, Yamoto watatambulisha ngoma yao mpya ijulikanayo kama Imo.
“Mbali na Imo, Yamoto pia watatambulisha nyimbo nyingine mbili...
11 years ago
GPL10 years ago
VijimamboFM ACADEMIA 'WAZEE WA NGWASUMA' YAMOTO BAND NA BARBANAS KUWASHA MOTO USIKU WA ONYESHO LA 'USIKU MWEUPE' JIJINI DAR
Na Mwandishi Wetu. FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma' Yamoto Band na Barbanas, kesho watakuwa na onesho maalum liitwalo 'Usiku Mweupe' litakalofanyika kwenye ukumbi wa Escape One, uliopo mikocheni Dar es Salaam.Mratibu wa onesho hilo Wiliam Malecela, alisema kuwa kila kitu kipo vizuri ambapo onesho hilo litaanza saa 3, usiku.Alisema kuwa dhumuni la kufanya onesho la pamoja kwa bendi hizo na msanii huyo anayefanya vizuri katika muziki wa kizazi kipya ni kutaka kuuinua muziki wa dansi ambao...
11 years ago
GPLYAMOTO NA SKYLIGHT BAND ZAFANYA KUFURU DAR LIVE
9 years ago
Global Publishers20 Dec
Baby J anogesha onesho la Yamoto Band Dar Live
Baby J akiwapagawisha mashabiki.….akiwaimbisha mashabiki.Mabaunsa wakijaribu kuwatuliza vijana waliotaka kumvaa Baby J.Baby Jay akiimba sambamba na Maromboso wa Yamoto Band.Baada ya Baby Jay mwanamuziki aliyeibukia kupitia shindano la BSS, Juma Kayumba naye alivamia jukwaa na kuwapagawisha kwa ‘live band’ ambapo aligeuka koffi Olomide kwa muda na kupiga kibao cha Selfie ‘Ikotite’.Muimbaji wa Taarabu, Zena Mohammed akiimba sambamba na Yamoto Band kibao alichoshirikiana na bendi hiyo ambacho...
9 years ago
GPLYAMOTO BAND KUZINDUA STAILI MPYA DAR LIVE